Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Tuwe makini wafanyakazi wengi tunaowaacha kwenye maduka kutokana na ubize wetu siyo waaminifu.
Wafanyakaz wengi huangalia bidhaa inayouzika sana hivo nayeye analeta mzigo wake na anaanza kuuza wa kwake kwanza.
We ukija kupiga hesabu unaona hesabu ziko sawa kumbe yeye anauza wa kwake kwanza.
Muwe mnafanya upelelezi lasivyo mtafilisika. Wafanyakaz wa duka wengi siyo waaminifu na hawana huruma .
Japo si wote wapo wachache waaminifu