Hivi ndivyo wafanyakaz wa maduka wanavyowaibia na kuwafirisi.

Hivi ndivyo wafanyakaz wa maduka wanavyowaibia na kuwafirisi.

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Tuwe makini wafanyakazi wengi tunaowaacha kwenye maduka kutokana na ubize wetu siyo waaminifu.

Wafanyakaz wengi huangalia bidhaa inayouzika sana hivo nayeye analeta mzigo wake na anaanza kuuza wa kwake kwanza.

We ukija kupiga hesabu unaona hesabu ziko sawa kumbe yeye anauza wa kwake kwanza.

Muwe mnafanya upelelezi lasivyo mtafilisika. Wafanyakaz wa duka wengi siyo waaminifu na hawana huruma .

Japo si wote wapo wachache waaminifu
 
"Kuwafirisi" = kuwafilisi.

"Uangalia" = huangalia.

"Mtafirisika" = mtafilisika.

Hata ukiwa na mada nzuri vipi, ukikosea-kosea kuandika unaikosesha ladha.

Tikitendee haki Kiswahili ni lugha tamu.

Tikitendee- tukitendee
 
Mada imetulia nyie. Acheni mambo ya kusahihisha herufi. Hata waajiriwa wa kuuza chips wengi wao wezi. Wanaweka kuku wao na chips zao. Wanauza kwanza zao ndio then wanauza zako. Hata kwenye masaluni ya wanawake...wizi upo mkubwa.
 
Asante kwa kunirekebisha. Una lingine la kuongeza au kuchangia kwenye mada

Kaifanyie marekebisho post yako.

Tanzania kuna kila aina ya wizi. Hilo wala si geni na ndio moja ya sababu za kupanda bei za vitu.

Mfanya biashara anapopanga bei za kuuza huweka na hizo za kuibiwa.

Bongo bingo.
 
Ahsante, lakini kumbuka kuna tofauti ya typo na kuandika isivyo na kuahribu lugha. Hiyo yangu ni typo tu na ntairekebisha.

Mada=maada
kuahribu=kuharibu
typo=?
bibi unazidi kukiharibu zaidi kiswahili. Usikimbilie kusahihisha makosa ya mwenzako kabla hujajitathimini wewe kwanza.
 
Money Stunna, kumbe na wewe ni Mangi

Mimi siyo mchaga japo watu wengi wanajua mi mchaga ata nilivyokuwa na miaka 4 niliwai potea ilikuwa Dar kupelekwa polis nikazungushwa kwa wachaga wote maeneo hayo hakina mushi, masawa, mosha etc wote wakasema hawanijui kwa bahati nzuri baadaye mama akaja kunitoa.

Kiswahili changu nikiongea ni cha kipekee na mvuto pia ni vile nimechanga ma lugha mengi hivo imesababisha kuwa cha tofauti na chako kiko kama cha mombasa.

Nikiongea kiswahili kama ni msichana lazima u fall in love vile natamka maneno kwa uzuri hadi raha.

Nikiendelea kuandika watu ( wenye roho ngumu ) wataponda ngoja nihishie hapa
 
Last edited by a moderator:
Kaifanyie marekebisho post yako.

Tanzania kuna kila aina ya wizi. Hilo wala si geni na ndio moja ya sababu za kupanda bei za vitu.

Mfanya biashara anapopanga bei za kuuza huweka na hizo za kuibiwa.

Bongo bingo.

Unachotakiwa kufanya ni kumonitor kwanza trend ya biashara yako kabla hujamkabidhi kijana wa kazi hasa kwenye items ambazo ni frequently asked. Pia weka records za mauzo yako na umuoenyeshe ili ajue bidhaa gani zinatoka haraka.
Thereafter endelea kumaintain a good relationship with your customers hata kama hutaonekana mara kwa mara eneo la kazi but b'ness should continue as usual.
So once your employee corrude in any way it's just simple to detect.
Ila inategemea na aina ya biashara you dealing with.
 
Mimi siyo mchaga japo watu wengi wanajua mi mchaga ata nilivyokuwa na miaka 4 niliwai potea ilikuwa Dar kupelekwa polis nikazungushwa kwa wachaga wote maeneo hayo hakina mushi, masawa, mosha etc wote wakasema hawanijui kwa bahati nzuri baadaye mama akaja kunitoa.

Kiswahili changu nikiongea ni cha kipekee na mvuto pia ni vile nimechanga ma lugha mengi hivo imesababisha kuwa cha tofauti na chako kiko kama cha mombasa.

Nikiongea kiswahili kama ni msichana lazima u fall in love vile natamka maneno kwa uzuri hadi raha.

Nikiendelea kuandika watu ( wenye roho ngumu ) wataponda ngoja nihishie hapa

nihishie ~~niishie...
ila mkuu wewe ni mkongwe hapa jf na nimeshasoma post zako nyingi mno sijawahi kuona hii aina ya kiswahili labda kama kuna mtu umemuuzia ID yako
 
na kwenye bar ndio kiboko. wakiuza crate nne tano mapema wanafanya replacement. maduka ya jumla yako jirani haraka tu wanaleta. usipogundia, mfanyakazi anakusanya nyingi kuliko mwenyewe, huku anakinga mshahara mwisho wa mwezi. kuna kitu najiuliza hii ni tabia ya watanzania au ulimwengu ndivyo ulivyo. kwa sababu kila ukiajiri mtu anakuangalia umejisahau wapi akupige. yaani kuwekeza mradi bongo ukasimama, inahitaji roho ya paka.
 
Hii ni Tabia ya Watanzania sehemu nyingine mtu ana heshimu kazi sababu ndio anapopatia mshahara.

TZ anakufirisi harafu ukifirisika unaona amefungua la kwake inasikitisha sana sababu wengine ukopa pesa za biashara
 
Mada=maada
kuahribu=kuharibu
typo=?
bibi unazidi kukiharibu zaidi kiswahili. Usikimbilie kusahihisha makosa ya mwenzako kabla hujajitathimini wewe kwanza.

Wengine wanajifanya wanajua zaidi kiswahili uku wao ndio waharibifu wakubwa
 
Ahsante, lakini kumbuka kuna tofauti ya typo na kuandika isivyo na kuahribu lugha. Hiyo yangu ni typo tu na ntairekebisha.

Wewe ndio umeandika kiswahili gani? Kimejaa makosa mpaka aibu ueleweki umeandika nini?
 
Back
Top Bottom