Hivi ndivyo wafanyakaz wa maduka wanavyowaibia na kuwafirisi.

Hivi ndivyo wafanyakaz wa maduka wanavyowaibia na kuwafirisi.

Uzi itabidi upelekwe jukwaa la lugha maana wadau badala ya kuchangia mada wengi wamejikita kwenye kuonyeshana umwamba kwenye kiswahili yaani kama ni mkutano mwenyekiti anakuwa ameshindwa kukimudu kikao kwa kuruhusu ajenda zingine ndani ya ajenda kuu, kwa mantinki hiyo hata sie wachangiaji tumetoka kwenye ajenda. Vinginevyo asnate kwa tahadhari uliyotoa mleta uzi

Hii topic imewagusa mno wanaowaibia maboss kwa duka,hivyo wameamua kuchakachua hii topic ili kupoteza lengo,lakini mimi nina himani wenye biashara zao wameupitia uzi huu na wataufanyia kazi.Ninachoangalia ujumbe umefika hao wanaochakachukua topic hii wala sijali,hawaniumizi kichwa
 
nani aliokwambia watu wote tumesoma kwa kiswahili?

Elimu ni elimu, iwe Kiswahili au Kichina, lakini wewe hiyo elimu yako, iwe kwa lugha yoyote ile, ni finyu sana, hapo ndipo kwenye tatizo.

Ungekuwa na elimu ya kukutosha, yoyote ile, ungefurahi unapoelekezwa kwa faida yako.
 
Niliexperience hicho kitu mkuu kwenye biashara ya mgahawa. Wafanyakazi wanamaliza chakula mapema then wananunua kingine wanapika fasta bila wewe kujua na kuanza kuuza, wakishindwa kumaliza wanasema biashara mbaya leo maana tangu mchana hadi sasa hatujamaliza. So kilichobaki na kulala ndo hasara kwako, wao faida yao walishaiba kile kilichoisha mchana then wakapika kingine ili wasingizie chakula hakikuisha
 
Elimu ni elimu, iwe Kiswahili au Kichina, lakini wewe hiyo elimu yako, iwe kwa lugha yoyote ile, ni finyu sana, hapo ndipo kwenye tatizo.

Ungekuwa na elimu ya kukutosha, yoyote ile, ungefurahi unapoelekezwa kwa faida yako.

Jadili topic sasa. Ndio maana kuna jukwaa la lugha ungeenda kunirekebishia kule. Sasa jadili topic usichakachue
 
Elimu ni elimu, iwe Kiswahili au Kichina, lakini wewe hiyo elimu yako, iwe kwa lugha yoyote ile, ni finyu sana, hapo ndipo kwenye tatizo.

Ungekuwa na elimu ya kukutosha, yoyote ile, ungefurahi unapoelekezwa kwa faida yako.

Elimu ni elimu, hata ya madrasa?????? Ungekuta wavaa vipedo wote na wavaa ushungi wanajilipua na kusubiria mabikira 12 peponi? Acha uongo..., Elimu ni elimu ila siyo ya madrasa.
 
Elimu ni elimu, hata ya madrasa?????? Ungekuta wavaa vipedo wote na wavaa ushungi wanajilipua na kusubiria mabikira 12 peponi? Acha uongo..., Elimu ni elimu ila siyo ya madrasa.

Madrasa = madarasa, mahali watu wanapo durusu, wewe inaonesha hujasomea darasani, ndiy maana umekuwa finyu kiasi hicho.
 
Madrasa = madarasa, mahali watu wanapo durusu, wewe inaonesha hujasomea darasani, ndiy maana umekuwa finyu kiasi hicho.

ndiy ------ ndiyo

Rudi darasani wewe au tatizo elimu dunia?
 
Madrasa = madarasa, mahali watu wanapo durusu, wewe inaonesha hujasomea darasani, ndiy maana umekuwa finyu kiasi hicho.

Ndiy ndiyo nini? Wewe unajifanya unajua kiswahili hukosei mbona wewe mwenyewe haujui kiswahili.
 
Tuwe makini wafanyakazi wengi tunaowaacha kwenye maduka kutokana na ubize wetu siyo waaminifu.

Wafanyakaz wengi huangalia bidhaa inayouzika sana hivo nayeye analeta mzigo wake na anaanza kuuza wa kwake kwanza.

We ukija kupiga hesabu unaona hesabu ziko sawa kumbe yeye anauza wa kwake kwanza.

Muwe mnafanya upelelezi lasivyo mtafilisika. Wafanyakaz wa duka wengi siyo waaminifu na hawana huruma .

Japo si wote wapo wachache waaminifu

umenena kwakuwa na mimi ni mjasirimali kariakoo ila ni muajiriwa tena nje ya nchi sina muda wa kufuatilia,umenifumbua macho mpk basi.mungu azidi kukupa ufahamu.asante sana tena sana
 
ni dhambi sana kwa kweli, mi kuna mtu namjua kabisa anauza duka la simu, anachofanya na yeye anaagiza mzigo wake toka dubai na anauzia hapo hapo dukani kwa boss wake..huyo boss wake anaishi mkoa mwingine ambako ana biashara huko pia kwa hivyo wanajaichia na mizigo yao wanauza yoote, boss akikaribia kuja ndio wanatoa simu zake wanadisplay zao wanazificha..halafu wanasingizia biashara mbaya, kumbe wanauza mizigo yao..
hapo mwenye duka anawalipa mshahara, marupurupu, analipia umeme, kodi ya nyumba, ulinzi, TRA, n.k wao hawalipi chochote na mizigo yao wanauza hapo hapo..fikiria wanapata faida mara ngapi...
kuna siku huyo ndugu yang aliibiwa pesa nyingi, kimoyo moyo nikasema huwenda ni dhambi za kumdhulumu boss wao
aise kweli wanadhambi mbaya sana .wafanyabiashara inabidi wawe wanashirikiana,ikiwezekana ndugu msaidie huyo mzee kwa kumtaarifu.si vizuri kuona mtu anaangamia alafu ukamwacha aangamie
 
Uko sahihi Mkuu, kuna jamaa yangu ana pub mkoa sku moja nilitembelea kwake tukakaa sana pub kwake the whole weekend, nikaona anawateja sana, katika kumcomliment akasema wateja huwa wanakuja "anapokuwepo na yeye anakunywa" asipokuwepo wanapita tu wanaenda viwanja vingine, kwa vile na mimi nilishapita huko nawafahamu vizuri wadada wa kazi nikahisi kuna kitu, nikajipa kazi three days nafika pale na kukaa counter namtaniatania dada wa pale na nilihakiki hisia zangu kuwa ni za ukweli, tukakaa na jamaa na kubuni mbinu ya kufanya surveillance pale bila wao kujua, ilikuwa rahisi sana kuwanasa wakabaki wanalialia tu. Hii mbinu hasa ni kwa biashara za namna hiyo, kwenye whole sale kuna kitu huwa wanaita wenyewe "kupiga nyoka", say unauza sukari au vitasa kwa jumla, akichomoa kitasa kimoja kwa kila caton unakuta na yeye anatoka na vitasa vya kutosha, au kwenye kila mfuko wa 50kg anatoa 0.5kg ya sukari, akipiga mifuko mia anatoka na 50kg......wateja ndiyo wanaumia na wewe unaharibu jina!!
 
Kuna watu leo rafik zangu nilikuwa nachat nao nikawauliza kuhusu ili wakaniambia vile wanavyoiba.

Aisee niliumia sana ni kama vile ndio mimi naibiwa ila wakat nachat nao nilikuwa nawasifia ili wanipe zaidi habari wanavyoiba na wakanipa habari zaidi wanavyoiba.

Niliochat nao hao wahizi ni wafanyakaz wa maduka ya jumla na rejareja na mgahawa na bar etc

Yani bila usimamizi na upelelezi lazima ufirisiwe ndio maana wahindi hawa trust ngozi nyeusi
 
= Hueleweki.

Hujui Kiswahili na hauna shule ya kushindana na mimi. Nnakusikitikia sana kijana kwa kuacha kuendelea kusoma kwa umri wako ulivyo mdogo na kujishughulisha na mitandao.

Pole sana.
Bibie tuache bhana wewe unayejua Kiswahili nenda BAKITA ukapambane na wenzako wa level zako....huku ni habar za biznar tu wajasiriamali tunatafuta namna ya kuongeza kipato.
Money stunna anajitapa ukisikia sauti yake akiongeo kiswahili lazima udate naye mwishowe uumpe penziii kitovu cha uzembe......mtafute basi ili uje udhibitishe kama analolote kuhusiana na hii lugha adhimu ya Kiswahili.
 
Back
Top Bottom