Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
- Thread starter
- #41
Uzi itabidi upelekwe jukwaa la lugha maana wadau badala ya kuchangia mada wengi wamejikita kwenye kuonyeshana umwamba kwenye kiswahili yaani kama ni mkutano mwenyekiti anakuwa ameshindwa kukimudu kikao kwa kuruhusu ajenda zingine ndani ya ajenda kuu, kwa mantinki hiyo hata sie wachangiaji tumetoka kwenye ajenda. Vinginevyo asnate kwa tahadhari uliyotoa mleta uzi
Hii topic imewagusa mno wanaowaibia maboss kwa duka,hivyo wameamua kuchakachua hii topic ili kupoteza lengo,lakini mimi nina himani wenye biashara zao wameupitia uzi huu na wataufanyia kazi.Ninachoangalia ujumbe umefika hao wanaochakachukua topic hii wala sijali,hawaniumizi kichwa