KERO Hivi ndivyo wakazi wa Vijibweni Kigamboni tunavyoteseka na barabara mvua ikinyesha

KERO Hivi ndivyo wakazi wa Vijibweni Kigamboni tunavyoteseka na barabara mvua ikinyesha

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Hii ni njia ya Vijibweni Kigamboni, kero hii kabla ya uchaguzi na baada ya uchaguzi, mpaka sasa hatujapata utatuzi, mvua ikinyesha huwezi subiri chombo cha usafiri wa umma hapo, unasimama upande upi kusubiria na je, sisi waenda kwa miguu unatoka nyumbani smart tazama njia sasa.

1778579644598.jpeg

Vijibweni.jpg

1778579710986.jpeg

1778579740579.jpeg

​
 
Hiyo njia bado Haina lami? Nikipita pale darajani huuwa naona lami inaelekea vijibweni
 
Itakua wamelichukua wahusika wanalifanyia kazi ....
Utu kazi
 
Poleni sana

Hapo mkijiongeza mnaanzisha mradi wa kufuga samaki

Au unanunua boti ndogo ama zile za kujaza upepo unaanzisha usafiri wa dala dala wa boti.

Ila poleni sana. Nchi ikifikia uchumi wa kati mtasaidika
 
Back
Top Bottom