A
Hii comment uifanyie laminationAisee kero left right and centre!
Mna Mbunge na Diwani kweli ndugu Anonymous Guest huko kwenu Vijibweni Kigamboni? Poleni sana.Hii ni njia ya Vijibweni Kigamboni, kero hii kabla ya uchaguzi na baada ya uchaguzi, mpaka sasa hatujapata utatuzi, huwezi subiri chombo cha usafiri wa umma hapo, unasimama upande upi kusubiria na je, sisi waenda kwa miguu unatoka nyumbani smart tazama njia sasa.