Hivi ndivyo wakenya wanavyodharaulika wakiwa nchini kwao

Hivi ndivyo wakenya wanavyodharaulika wakiwa nchini kwao

Duh, majamaa Kingereza kibao actions hamna kitu
 
MK254 nakuona unapokea kichapo kwa unyenyekevu hapo

Hivi mtanyanyaswa na wageni kiasi hiki mpaka lini? Mpaka Rais wenu ananyanyasika na mchina, leo anawaahidi wananchi hiki Kesho Xi anacancel 😂😂😂
 
Hawa ndio ulisema watambabaisha aslay?

Wanaume wawili wanatandikwa na one Russian junky in the mamaland 😂😂😭
Nyani haoni kundule. Wale wawili walipewa kichapo cha mbwa na mkenya unawafahamu? Walimshtaki kwa Millard ayo
 
[emoji23][emoji23][emoji23]hao ni ndugu zao wa damu jamani,acha wawatandike.

Mkenya kupigwa ni kawaida tu.
 
Na wale wanaopigwa kungfu na wachina na kutolipwa mishahara nchi Fulani? Tuwaite aje?
Sasa kupigwa kung fu ni tofauti na kupigwa na MTU unayeweza kumpiga wewe kisa mzungu hao watz waliopigwa kung fu walijaribu kupambana ila kung fu iliwaokoa wachina siyo nyinyi mnachalazwa bakora na kupigwa huku mkimsujudia anaye wapiga
 
Nyani haoni kundule. Wale wawili walipewa kichapo cha mbwa na mkenya unawafahamu? Walimshtaki kwa Millard ayo
Hiyo ndiyo tofauti sisi tukipigwa atukubali kumsujudia aliye tupiga Ila Kwa mkenya ni tofauti mnapigwa huku mnasujudu na kubusu miguu ya anaye wapiga
 
Back
Top Bottom