Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Wakenya hawa watu weupe wanakufanyeni vile watakavyo mkiwa kwenye ardhi yenu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakenya hawa watu weupe wanakufanyeni vile watakavyo mkiwa kwenye ardhi yenu?
Sio chini ya JPM! Uliza Balozi wa EU!nyani haoni kundule
Duh umetisha! Wanaulizana mzungu WA wapi amekupiga.Hapo nyang'au ndio kwanza wanaona sifa kupigwa na muzungu.
Haha noma sanaHapo nyang'au ndio kwanza wanaona sifa kupigwa na muzungu.
Kabla hata JPM, Nyerere ndio aliyo tujaza ujasiri wa kupambana na hii mijitu myeupe, kwa maneno ya kuwakejeli kama:Sio chini ya JPM! Uliza Balozi wa EU!
Hawa ndio ulisema watambabaisha aslay?Na wale wanaopigwa kungfu na wachina na kutolipwa mishahara nchi Fulani? Tuwaite aje?
[emoji2][emoji2]Hawa ndio ulisema watambabaisha aslay?
Wanaume wawili wanatandikwa na one Russian junky in the mamaland [emoji23][emoji23][emoji24]
Nyani haoni kundule. Wale wawili walipewa kichapo cha mbwa na mkenya unawafahamu? Walimshtaki kwa Millard ayoHawa ndio ulisema watambabaisha aslay?
Wanaume wawili wanatandikwa na one Russian junky in the mamaland 😂😂😭
[emoji23][emoji23][emoji23]hao ni ndugu zao wa damu jamani,acha wawatandike.
Mkenya kupigwa ni kawaida tu.
Sasa kupigwa kung fu ni tofauti na kupigwa na MTU unayeweza kumpiga wewe kisa mzungu hao watz waliopigwa kung fu walijaribu kupambana ila kung fu iliwaokoa wachina siyo nyinyi mnachalazwa bakora na kupigwa huku mkimsujudia anaye wapigaNa wale wanaopigwa kungfu na wachina na kutolipwa mishahara nchi Fulani? Tuwaite aje?
Hiyo ndiyo tofauti sisi tukipigwa atukubali kumsujudia aliye tupiga Ila Kwa mkenya ni tofauti mnapigwa huku mnasujudu na kubusu miguu ya anaye wapigaNyani haoni kundule. Wale wawili walipewa kichapo cha mbwa na mkenya unawafahamu? Walimshtaki kwa Millard ayo