Hivi ndivyo wenye picha za ngono katika simu watakavyonaswa

" Tuma kwenye namba hii"
Hizi msg wamewakamata wangapi tuanzie hapo.
Sawa watakamata lakini inaongeza nini na kupunguza kitu gani?
Watu wanaibiwa kila siku kwenye simu zao je takwimu zikoje?

Kweli kwa maadili ni mbaya lakini wanaweza kufunga mitandao ya ngono pia wakitaka
 
Kwa hyo unataka kusema CHAPUTA sasa waachane na softcopy wapambane na hardcopy?
 
Makonda kishapoteza ushawishi kwenye jambo lolote ! amesaliwa na la kulia madhabauni tu
 
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]
 


Jando na unyago vimezuiwa ati ni mila potofu, eti ukimwi n.k. Matokeo yake watu hawakojozwi, hawajui kukojoza- maana halisi ya maisha na msisimko wa life unakosa. Human being is a sexual dude. Tunaishi kwa matarajio ya kutia/ kutiwa na kufurahia tendo.

Shuleni mambo yahusuyo kugongana hayafundishwi.
Churches na Msikitini wanatoa shule ya kubanduana kiduchu tena kwa tahadhari na kificho. Hivyo kutokidhi haja.

Watu wameamua kutafuta ujuzi kwa mbinu nyingin ili wa- enjoy life mnawasumbua.

Acheni waTz wapige tuition wale / waliwe nyabenga kisawasawa waone life katika mwanga Bora.

Life gumu acheni watu watatuane wapunguze mawazo.
 
Wewe nawe mpiga zumari tu!
 
Kuna siku simu inaweza kupotea au kuharibika, sasa huko picha zikasambaa, ukweli kuacha picha za utupu Katika simu ni Bomu
Lakini ni Bomu kwangu Mimi hata Mwenyekiti wangu wa mtaa halimhusu.
 
Very stupid thread! Hii inaitwa gumboot diplomacy. Aliyeandika uzi ni lisisiemu lijinga.Linataka kuwatisha watu na faragha zao.Go to hell, nigger!
 
Kwa Tanzania hii hii nayoijua au nyingine?...basi walomteka Mo wangekamatwa kabisa.
 
Nimesoma yote sijaona namna watakavyoingia kwenye hiyo simu ukienda kununua simu hivi unapangiwa cha kuweka kwani kwa hiyo simu
 
Iyo itakua inawahusu ma men wa dar
 
KWELI NIPO AFRICA JESHI LA UGANDA LINAZINDUA KONDOM RC WA TZ ANAPAMBANA NA PORNO VIDEO ALAFU WANACHUO HAWANA MIKOPO DUH
 
Waanza kufungia website za ngono waone voda na mitandao mingine watakavyolalamika matumizi ya bundle yanapungua kwa 80%

Kwanza hio teknolojia policcm wetu failure wa std 7 na form 4 wanaijua kweli au ndio hadithi za abunwasi
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…