milioni milioni
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 1,845
- 1,066
Zile video za Nyomi banxx ntaachaje kwa mfano
Inchi ya kithenge hii cjapata kuonaKukosa kazi za kufanya wapuuzi tu.
Tanzania ina mambo mengi ya kufanya wanataka kupoteza muda na vitu vya kijinga, mtu anaangalia porn kwenye simu yake inaathiri mipango na maendeleo ya nchi?
Wamefeli suala la ving'amuzi wanaanza kujipa kazi za kishilawadu
Mtu anakuletea habariza DNA kwenye picha za ngono.Hawa polisj form four failure???
wanajifanya intelijensia sana hawa kumbe ni kina bashiteHawa polisj form four failure???
nchi inaongozwa na mizuka ya kisukumaWrite your reply...
hivi kulikuwa na haja gani kuwafukuza wakoloni!!
sasa si bora nyerere angetuacha tuendelee kutawaliwa na wazungu kuliko kutawaliwa na washamba flani kutoka kolo mi je..
NASA wanaumiza vichwa ni namna gani wanaweza kutengeneza chombo kitakacho enda mwezini na kupeleka raia wakaishi humu
TCRA wanaangaika na upimbi, yaani wasomi wetu sijui nani aliye waloga, nataman ningekuwa na power hawa wahuni wote wanaoitwa wasomi ningewakusanya mahali pamoja na kuwapiga moto,
Taifa haliwezi kuendelea kwa kuwa na wasomi wenye kuwaza kufanya upumbavu kama huu...