Elections 2010 Hivi ndivyo wizi wa kura ulivyofanyika!

But you can't compare Dr. Slaa to Dr. King by any measure.....Dr. King was an intellectual giant, a philosopher, Nobel peace prize lareate, and an orator, among many other things.............

Dr. King is in a different league compared to Dr. Slaa......and I dare say it, that it is somewhat insulting to compare the two!!!!!

hata mbuyu ulianza kama mchicha wewe msomi umeifanyia nini nchi yako hapo tutakapo shindwa kupata buku kufukia mashimo yaliyo chimbwa madini na wageni na kutuachia sumu wajukuu zetu watafukua makaburi yetu kupima mafuu ya vichwa vyetu kama akili zetu zilikuwa SAWA au mithili ya masokwe fulani.....ENDELEA DR SLAA USIKATISHWE TAMAA NA HAO MABULULENI KUMESHA PAMBAZUKA MAPAMBANO YAMEANZA KATI YA WALALA HOI NA WALALAHAI SONGA MBELE KAMANDA,,,,,,,
 
But you can't compare Dr. Slaa to Dr. King by any measure.....Dr. King was an intellectual giant, a philosopher, Nobel peace prize lareate, and an orator, among many other things.............

Dr. King is in a different league compared to Dr. Slaa......and I dare say it, that it is somewhat insulting to compare the two!!!!!
Waweza kuwalinganisha Dr. Slaa na Martin Luther King Junior.........................wote walipambana na dhuluma na walijitoa mhanga kwa hilo.........................mambo ya wake za watu sijui yanaingiaje humu...............tukianza kuchora harakati za wana-CCM na wake za watu , mbona jamvi hili halitakalika........................Let us pay respect to our local heroes and Dr. Slaa will always shine with them up there.....whether we like it or not........................
 
NIVYEMA TUKAPATA DATA ZA MAJIMBO YOTE YENYE MATOKEO NA DISPARITIES ZILIZOPO. TAARIFA HIYO IPANGWE KWENYE JEDWALI NA TUPEWE JUMLA YA KURA ZA SLAA NA JK KWA MUJIBU WA TAARIFA ZA ROs NA NEC.

TUNATAKA TUJUE UCHAKACHUAJI ULIFANYIKA KWA KIWANGO GANI NAKAMA JK ALISHINDA USHINDI WAKE HARARI NI KURA NGAPI. HAUKNA HAJA YA KUFICHA UKWELI ILI HATA TUNAPOWALEZA WANACHI MANTIKI YA KUSUSIA BUNGE WALICHUKULIE SWALA HILO KWA UZITO ULEULE WA VIONGOZI WA CHADEMA
 
sijui kwa nini ulinganisho wa watu wawili unachukua nafasi kubwa katika mjadala sensitive namna hii wa wizi na uvurugaji wa kura. nini tija ya ufananishi huu na ile ya kurekebisha matatizo yaliyotukumba katika kupiga, kujumlisha, na kutangaza idadi ya kura? Je, hii inaashiria uwezo wetu wa kupima umuhimu wa hoja husika katika maisha yetu ya sasa na vizazi vijavyo?

Ni kiasi gani na kwa namna gani uchakachuaji huu umeathiri siasa zetu sasa hivi kitaifa na kimataifa? Tunatumiaje hili janvi kupunguza madhara haya na kuempusha madhara zaidi sasa na siku za usoni? Tunahakikishaje wananchi wanaelewa hili tatizo na madhara yake ili kuepuka spinning inayoendelea ya kudharau na kubeza chadema wanaolalamika? Je, hili ni tatizo la chadema peke yao? Nadhani pengine hii ndiyo ilikuwa nia ya mleta hoja hii hapa janvini, kama siyo nitashukuru kurekebishwa.
 
Hapa kinachotakiwa sio kuweka ushahidi kidogo tu "Ni kuweka the fully monty, the kitchen sink" ninaamanisha kitungwe kitabu na story A to Z kila kitu na kitabu ikiwezekana kigawiwe bure mitaani na kuwekwa kwenye libriaries ili hata wajukuu zetu waone jinsi mababu zao tulivyotapeliwa, Kitabu kitungwe kionyeshe Jinsi Watanzania Walivyoibiwa Kura Zao :embarrassed:
 
But you can't compare Dr. Slaa to Dr. King by any measure.....Dr. King was an intellectual giant, a philosopher, Nobel peace prize lareate, and an orator, among many other things.............

Dr. King is in a different league compared to Dr. Slaa......and I dare say it, that it is somewhat insulting to compare the two!!!!!

Haya ndio madhara ya kufanya u-intern kwenye Dr. King Center - unaishia ku-hero worship tu! Mbona mpaka kesho watu wanam-compare MLK Jr na Malcolm X ambaye hana Nobel Peace Prize yenu mapacifist!
 
But you can't compare Dr. Slaa to Dr. King by any measure.....Dr. King was an intellectual giant, a philosopher, Nobel peace prize lareate, and an orator, among many other things.............

Dr. King is in a different league compared to Dr. Slaa......and I dare say it, that it is somewhat insulting to compare the two!!!!!
I think you can be compared to Martin luther King Jr, cause you are intellectual giant, a phillosopher, Nobel pize lareate, and an orator,among many other things......., I have no Idea why Tanzanians are poor while we deserve peolple like you?....PROFESSOR OF LIFE,,,TELL ME HOW DO YOU CALL A DEER WHICH HAS ONE LEG, ONE EYE AND NO DICK......USE UR INTELLECTUAL TO DRIVE US AWAY FROM POVERTY SIR.
 
sijui kwa nini ulinganisho wa watu wawili unachukua nafasi kubwa katika mjadala sensitive namna hii wa wizi na uvurugaji wa kura. nini tija ya ufananishi huu na ile ya kurekebisha matatizo yaliyotukumba katika kupiga, kujumlisha, na kutangaza idadi ya kura? Je, hii inaashiria uwezo wetu wa kupima umuhimu wa hoja husika katika maisha yetu ya sasa na vizazi vijavyo?

Ni kiasi gani na kwa namna gani uchakachuaji huu umeathiri siasa zetu sasa hivi kitaifa na kimataifa? Tunatumiaje hili janvi kupunguza madhara haya na kuempusha madhara zaidi sasa na siku za usoni? Tunahakikishaje wananchi wanaelewa hili tatizo na madhara yake ili kuepuka spinning inayoendelea ya kudharau na kubeza chadema wanaolalamika? Je, hili ni tatizo la chadema peke yao? Nadhani pengine hii ndiyo ilikuwa nia ya mleta hoja hii hapa janvini, kama siyo nitashukuru kurekebishwa.
 
sijui kwa nini ulinganisho wa watu wawili unachukua nafasi kubwa katika mjadala sensitive namna hii wa wizi na uvurugaji wa kura. nini tija ya ufananishi huu na ile ya kurekebisha matatizo yaliyotukumba katika kupiga, kujumlisha, na kutangaza idadi ya kura? Je, hii inaashiria uwezo wetu wa kupima umuhimu wa hoja husika katika maisha yetu ya sasa na vizazi vijavyo?

Ni kiasi gani na kwa namna gani uchakachuaji huu umeathiri siasa zetu sasa hivi kitaifa na kimataifa? Tunatumiaje hili janvi kupunguza madhara haya na kuempusha madhara zaidi sasa na siku za usoni? Tunahakikishaje wananchi wanaelewa hili tatizo na madhara yake ili kuepuka spinning inayoendelea ya kudharau na kubeza chadema wanaolalamika? Je, hili ni tatizo la chadema peke yao? Nadhani pengine hii ndiyo ilikuwa nia ya mleta hoja hii hapa janvini, kama siyo nitashukuru kurekebishwa.

Mkuu unapoona ukweli wa aina yoyote ile unachakachuliwa lazima uuweke sawa. Uchakachuaji wa ukweli kuhusu kumlinganisha Dr. King na Dr. Slaa ilibidi usahihishwe kwanza kisha tuendelee na mjadala. Tukirudi kwenye mada kuu: Kosa moja goli moja - kosa lilifanyika siku ya kuhesabu kura ambapo watu walijikita kufuatilia na kulinda kura za Ubunge na kusahau za Urais japo walikumbushwa sana hadi humu jamvini! Kilichobaki sasa ni kutorudia kosa kwa kuanza kujenga mazingira ya kuziba mianya yote ya uchakachuaji kati ya sasa na 2015. Nawasilisha.
 
Duh! jamani hivi kweli Bongo tunatumia mfumo gani huu wa demokrasia?..Kama kuna vituo ambavyo hadi leo hesabu yake haijatolewa, inawezekana vipi NEC kumtangaza mshindi hali hawana hesabu kamili ya kura zote zilizopigwa?

Siyo lazima NEC wasubiri matokeo ya miji midogo kutangaza matokeo. Kama population ni ndogo, na namba za watu waliopiga kura haziwezi kufikia zile ambazo tayari zimeshapigwa, NEC wanao uwezo kutangaza matokeo bila ya kusubiri hayo matokeo. Is all about Mathematics.
 
Mmmh! hii kama ni kweli mbona hiyo tume inatia kichefuchefu! nimekasirika mpaka nasikia hamu ya kuandamana hata kama barabara nzima nitakuwa peke yangu!
 
MAKAMBA katibu WA CCM , wali"mnanihii" mwaka 78, mpaka kwa aibu,akaacha kazi ya ualimu.Mwenyekitie Kamfunga Mzee Nguza Viki, kwa sababu alimia"nanihii wake". Kapora demu wa Lyumba na KAMUWEKA LYUMBA ndani na visa vingine vingi? Kamshitaki Prof Mahalu kwa sababu tu alikataa kimada cha Mwenyekiti wakati ni waziri kisifanye kazi ubalozi wa TZ Italy.Kwa roho hiyo hapaswi hata kuwa raisi. NDO MAANA SISI TUNAPINGAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA kuwa hatumtambui :A S crown-1:, huyo ni wenu na makamba. FUL STOP

Weka ushahidi kwa uyasemayo. Ushahidi kwa Dk. Slaa ni wazi kabisa, magazeti yamechapisha, mume wa mke aliyempora kashitaki. Na sasa eti Martin Luther King wa Tanzania, hata haya hamuoni, uozo wa maadili, tena kwa mtu aliyesomea dini, amri kumi anazijuwa ghaibu. Kumtaka awe rais wa wa Tanzania. Ajabu hii, halafu kumfananisha na mtu kama Doctor Martin Luther King. Hebu wacheni kujidhalilisha.
 
But you can't compare Dr. Slaa to Dr. King by any measure.....Dr. King was an intellectual giant, a philosopher, Nobel peace prize lareate, and an orator, among many other things.............

Dr. King is in a different league compared to Dr. Slaa......and I dare say it, that it is somewhat insulting to compare the two!!!!!

Dr. Slaa kwanza inabidi aende kozi ya kiswahili. Anachapia kichizi.
 
Wana JF bana, tunachakachua mpaka title ya uzi hii ya M L King Junior imetokea wapi wapendwa!
 
mnajadili MLKjr na Dr. Slaa siyo mapendekezo ya hoja zilizotolewa humo ndani... mweh!

MKJJ, moja ya kosa walilolifanya CHADEMA ilikuwa ni kuchelewesha kutoa ushahidi wao.

Ilitakiwa mwanzani kabisa kabla hata hawajasusia hafla ya kutangazwa kwa matokeo, kuapishwa na hotuba ya JK wawe wameshatoa data zote kwa ukamilifu ili Watanzania wote wawaelewe na kuwaamini. Sasa wamechelewa sana kiasi kwamba mgawanyiko ni mkubwa.

Wanawajibika bado kutoa Final Tally yao yote ili iwe compared na ile ya NEC. Pia waweke hadharani evidence za UwT walivyochakachua nk.
 
Superman, unafikiri hata kama Chadema ingeweza kutoa matokeo yote na ushahidi wote basi watu wangekubaliana kuwa ushindi wa CCM una mashaka? Tarehe 3 Novemba wakati Dr. Slaa ametoa wito kuwa kuna tofauti za kura na akatolea mfano wa jimbo moja tu la Geita isingetosha kuwafanya Tume wasitishe na kusikiliza? Leo hii yametolewa majimbo mengi zaidi na baadaye yatatolewa zaidi unafikiri wana CCM na mashabiki wao watakuja na kusema "tupitie kura zote ili Rais wetu asionekane kabebwa"? Really?
 
Back
Top Bottom