ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kurahisisha swali langu tutolee mfano umefunga ndoa ya kiserikali kwa jina lako halisi then ukaenda kanisa fulani ukataka ufunge tena ndoa je watu wa kanisani huwa wana utaratibu wa ku check kwenye mfumo huo ili wagundue kuwa uliwahi kufunga ndoa??nachojua ni uzazi na vifo ndo labda RITA wana sajili kimfumo je na ndoa vipi?