ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
swali la hovyo sana - "Nape Nnauye"Kurahisisha swali langu tutolee mfano umefunga ndoa ya kiserikali kwa jina lako halisi then ukaenda kanisa fulani ukataka ufunge tena ndoa je watu wa kanisani huwa wana utaratibu wa ku check kwenye mfumo huo ili wagundue kuwa uliwahi kufunga ndoa??nachojua ni uzazi na vifo ndo labda RITA wana sajili kimfumo je na ndoa vipi?
Hamna huo mfumo, kuna mtu namjua alifunga ndoa ya pili zote kanisani tena dhehebu moja bila talaka kwenye ndoa ya mwanzo, japo walikua wametengana.Kurahisisha swali langu tutolee mfano umefunga ndoa ya kiserikali kwa jina lako halisi then ukaenda kanisa fulani ukataka ufunge tena ndoa je watu wa kanisani huwa wana utaratibu wa ku check kwenye mfumo huo ili wagundue kuwa uliwahi kufunga ndoa??nachojua ni uzazi na vifo ndo labda RITA wana sajili kimfumo je na ndoa vipi?
Acha waje wanaofahamu nami nipate kujua , sina hakika kama serikali pia wanafanya hivyoKurahisisha swali langu tutolee mfano umefunga ndoa ya kiserikali kwa jina lako halisi then ukaenda kanisa fulani ukataka ufunge tena ndoa je watu wa kanisani huwa wana utaratibu wa ku check kwenye mfumo huo ili wagundue kuwa uliwahi kufunga ndoa??nachojua ni uzazi na vifo ndo labda RITA wana sajili kimfumo je na ndoa vipi?
Kwa nini msiende Rita kuhakiki.Rita wanasajili ndoa za kanisani kwa yale makanisa yanayotoa vyeti vya rita kwani kitabu cha vyeti kikiisha kinatakiwa kirudishwe rita .
Kuna baadhi ya makanisa hawatoi vyeti vya serikali .
Kuhusu makanisa kuhakiki mfumo wa rita hawana hiyo access .
Sisi RC kuna utaratibu wa kutangaza mara 3 kama kuna mtu anapingamizi. asipojitokeza basi ndoa inafungwa