Hivi Ndugu zangu Watanzania mnajua huku mtaani hakuna vibe la uchaguzi . Mshaurini Rais aahirishe

Hivi Ndugu zangu Watanzania mnajua huku mtaani hakuna vibe la uchaguzi . Mshaurini Rais aahirishe

blogger

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
13,696
Reaction score
17,306
Uzi huu sio wa chuki na siandiki kama mpinzani. Ila nawaambia ukweli mtaani kwa watanzania weengii masikinii kwanza hawajui kama kuna uchaguzi.

Si kwamba hawampendi Mama, ila hawaoni sababu ya kuenda kwenye uchaguzi.

Hiviii wanaenda kuchagua nini!? Ilhali Lissu yupo jela. Hii kura ya ndio au hapana inamaanisha nini!?

Nawashauri CCM. Acheni endelea tumia pesa za walipa Kodi kwenye kampeni batili
 
Uzi huu sio wa chuki na siandiki kama mpinzani. Ila nawaambia ukweli mtaani kwa watanzania weengii masikinii kwanza hawajui kama kuna uchaguzi.

Si kwamba hawampendi Mama, ila hawaoni sababu ya kuenda kwenye uchaguzi.

Hiviii wanaenda kuchagua nini!? Ilhali Lissu yupo jela. Hii kura ya ndio au hapana inamaanisha nini!?

Nawashauri CCM. Acheni endelea tumia pesa za walipa Kodi kwenye kampeni batili.
Wenyewe wanasema masikio yetu yapo likizo!
 
Hatujui...
Je Gharama zote hizi za nini!!

Hivi huko Ccm watu wana akili.
She could simply be installed than this unnecessary expenditure!!
Anatafuta picha za kuombea hela kwa wazungu hawezi kuacha hilo sahau boss unataka tukose hela tena?
 
Hawaoni sababu ya kwenda kwenye mkutano wa CCM lakini siku ya kura wataenda kumpigia kura Samia.
Usibabaishwe na Ile Kijani katika mikutano ya CCM. Ndio inavyokuwa kwa muda mrefu sasa lakini bado CCM inashinda.
 
Uzi huu sio wa chuki na siandiki kama mpinzani. Ila nawaambia ukweli mtaani kwa watanzania weengii masikinii kwanza hawajui kama kuna uchaguzi.

Si kwamba hawampendi Mama, ila hawaoni sababu ya kuenda kwenye uchaguzi.

Hiviii wanaenda kuchagua nini!? Ilhali Lissu yupo jela. Hii kura ya ndio au hapana inamaanisha nini!?

Nawashauri CCM. Acheni endelea tumia pesa za walipa Kodi kwenye kampeni batili.
Kama nchi tumefikia hali mbaya sana, huko kwenye makundi sogosi ya kijani wanashinda wanabweka bweka tu kuwa octoba wanatiki wanatiki lakini wakiulizwa wanamtikia nani dhidi ya nani wanabwabwaja tu

Tunajua lengo ni yeye apate kura nyingi kuliko waliomtangulia ili watumie taarifa hizo kuwadanganyia mataifa na kuombea misaada na mikopo. Yaani kifupi wanatafuta namna ya kumuhalalishi kimataifa kwasababu ndani hwanashida na hata hawajali kwasababu walishajua "hatuna cha kuwafanya"

Mahangaiko yoote ya kupita nyumba kwa nyumba, ofisi kwa ofisi, soko kwa soko kuomba namba za vitambulisho vya mpiga kura ni kwasababu wanajua kabisa hakuna atakayejisumbua kwenda kupiga kura zaidi ya wao wenyewe wanaccm ndiomaana wanataka wawasaidie na wengine siku hiyo
 
Nilikuwa naongea na kada mkubwa Sana wa chama chao anasema hata wao hawaoni sababu ya kupoteza fedha kwani mwaka huu hakuna uchaguzi
(Na hebu msikilizeni pole pole nae amekuwa akisisitiza hii kauli kwamba mwaka huu hakuna uchaguzi na kumuomba mama aache maana kitampata kitu).
Hali ni ya hatari kuliko tunavyodhani
 
Back
Top Bottom