Hivi Ndugu zangu Watanzania mnajua huku mtaani hakuna vibe la uchaguzi . Mshaurini Rais aahirishe

Uzi huu sio wa chuki na siandiki kama mpinzani. Ila nawaambia ukweli mtaani kwa watanzania weengii masikinii kwanza hawajui kama kuna uchaguzi.

Si kwamba hawampendi Mama, ila hawaoni sababu ya kuenda kwenye uchaguzi.

Hiviii wanaenda kuchagua nini!? Ilhali Lissu yupo jela. Hii kura ya ndio au hapana inamaanisha nini!?

Nawashauri CCM. Acheni endelea tumia pesa za walipa Kodi kwenye kampeni batili.
Watu wako bize na mambo yao.
 
nikajua ni mimi tu ndo naona kama hakuna uchaguzi, maana pamepoa huenda kuliko hata enzi zile za Mwl. wakati wa chama kimoja
Sijajua kwanini Polepole bado anasisitiza Uchaguzi usitishwe Hasa akimsihi Rais Mama Samia huku akujua mchakato umefika kati kati.

Polepole ananichanganya.
 
kama hakuna uchaguzi basi asizungumzwe mtu mmoja , wajitoe wote wanaogombea urais mpaka udiwani kwa vyama vyote, na hii itamaanisha waliokua kwenye hivyo vyeo waendelee kuwa navyo mpaka siku isiyojulikana.
 
Mgombea uraisi kwa tiketi ya ccm licha ya kukosa mvuto, wananchi hatumtaki
 
Uzi huu sio wa chuki na siandiki kama mpinzani. Ila nawaambia ukweli mtaani kwa watanzania weengii masikinii kwanza hawajui kama kuna uchaguzi.

Si kwamba hawampendi Mama, ila hawaoni sababu ya kuenda kwenye uchaguzi.

Hiviii wanaenda kuchagua nini!? Ilhali Lissu yupo jela. Hii kura ya ndio au hapana inamaanisha nini!?

Nawashauri CCM. Acheni endelea tumia pesa za walipa Kodi kwenye kampeni batili
Hakuna kampeni ni mikutano ya hadhara
 
Samia amejua kuibagaza nchi, ni kiongozi wa ajabu kuwahi kutokea.

Samia amejiandikia historia mbaya, itakayokujwa kusomwa na vizazi hadi vizazi.
 
Uzi huu sio wa chuki na siandiki kama mpinzani. Ila nawaambia ukweli mtaani kwa watanzania weengii masikinii kwanza hawajui kama kuna uchaguzi.

Si kwamba hawampendi Mama, ila hawaoni sababu ya kuenda kwenye uchaguzi.

Hiviii wanaenda kuchagua nini!? Ilhali Lissu yupo jela. Hii kura ya ndio au hapana inamaanisha nini!?

Nawashauri CCM. Acheni endelea tumia pesa za walipa Kodi kwenye kampeni batili
Hakuna wangese hao mambo Yote ni 29.10
 
Asiye sikia la mkuu, mguu huota tender. ( Maisha ni somo) Kifo cha aliyekuwa mtarajiwa wa fuoni ni kwamba sauti ya watu ni sauti ya Mungu.
 
Uzi huu sio wa chuki na siandiki kama mpinzani. Ila nawaambia ukweli mtaani kwa watanzania weengii masikinii kwanza hawajui kama kuna uchaguzi.

Si kwamba hawampendi Mama, ila hawaoni sababu ya kuenda kwenye uchaguzi.

Hiviii wanaenda kuchagua nini!? Ilhali Lissu yupo jela. Hii kura ya ndio au hapana inamaanisha nini!?

Nawashauri CCM. Acheni endelea tumia pesa za walipa Kodi kwenye kampeni batili
Mimi nitakujibu kama mTanzania, asiye lazimika kushabikia chama au mtu yeyote; bali nikiwa shabiki wa Tanzania asiyejutia lolote juu ya msimamo huo..

1. Mstari wako wa kwanza tu, tayari umekwisha sema uongo. Ni mTanzania gani asiyejuwa hadi wakati huu kuwa kuna juhudi kubwa za kuhujumu nchi yetu; kwa kupanga uchaguzi feki! Kuna faida gani kusema uongo huo!

2. Unaendeleza uongo huo huo katika mstari wako wa pili, ambao unaonyesha wewe ni mnafiki mkubwa; au kichwani umepungukiwa; unaposema "Si kwamba hawampendi Mama" Unao ushahidi kwamba hao watu wanampenda mama?
Halafu, ulivyo mpuuzi, hapo hapo unajichanganya na kusema "...ila hawaoni sababu ya kuenda kwenye uchaguzi", wakati hapo juu kwenye mstari wa kwanza unasema "hawajui kama kuna uchaguzi"

Hii inakufanya uonekane kuwa na akili na tabia zinazo shabihiana na zile za Samia mwenyewe; mtu asiyeweza kusema jambo lolote ukamwamini anasema ukweli.

3. Huo mstari wa tatu umeweka kama gheresha tu; kwani ni lazima Tundu ashiriki ndipo ujuwe kuna uchaguzi? Mbona humzungumzii Luhaga Mpina?

4. Unawatupia lawama CCM, lakini hukumbuki kuwa hata wao ni wahanga tu wa hila hizo hizo anazo zifanya Samia na Genge lake kwa waTanzania.
 
Back
Top Bottom