Bila uchaguzi wa uongo wataonekana ni invalid so Bora hata wafanye maigizo.Hatujui...
Je Gharama zote hizi za nini!!
Hivi huko Ccm watu wana akili.
She could simply be installed than this unnecessary expenditure!!
Hizo jumuia za CCM si vyama vya opposition.Write your reply...chama sio chadema peke yake kuna vyama 17 vingine vinashiriki
Wenyewe wanasema masikio yetu yapo likizo!Uzi huu sio wa chuki na siandiki kama mpinzani. Ila nawaambia ukweli mtaani kwa watanzania weengii masikinii kwanza hawajui kama kuna uchaguzi.
Si kwamba hawampendi Mama, ila hawaoni sababu ya kuenda kwenye uchaguzi.
Hiviii wanaenda kuchagua nini!? Ilhali Lissu yupo jela. Hii kura ya ndio au hapana inamaanisha nini!?
Nawashauri CCM. Acheni endelea tumia pesa za walipa Kodi kwenye kampeni batili.
Anatafuta picha za kuombea hela kwa wazungu hawezi kuacha hilo sahau boss unataka tukose hela tena?Hatujui...
Je Gharama zote hizi za nini!!
Hivi huko Ccm watu wana akili.
She could simply be installed than this unnecessary expenditure!!
Kama nchi tumefikia hali mbaya sana, huko kwenye makundi sogosi ya kijani wanashinda wanabweka bweka tu kuwa octoba wanatiki wanatiki lakini wakiulizwa wanamtikia nani dhidi ya nani wanabwabwaja tuUzi huu sio wa chuki na siandiki kama mpinzani. Ila nawaambia ukweli mtaani kwa watanzania weengii masikinii kwanza hawajui kama kuna uchaguzi.
Si kwamba hawampendi Mama, ila hawaoni sababu ya kuenda kwenye uchaguzi.
Hiviii wanaenda kuchagua nini!? Ilhali Lissu yupo jela. Hii kura ya ndio au hapana inamaanisha nini!?
Nawashauri CCM. Acheni endelea tumia pesa za walipa Kodi kwenye kampeni batili.
Ungewahoji tuWanapita kutoa vitambulisho vya wapiga kura Kwa wasionavyo nimeshangaa nikataka ni wahoji kwamba usahili si umepita