Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Watu wako bize na mambo yao.Uzi huu sio wa chuki na siandiki kama mpinzani. Ila nawaambia ukweli mtaani kwa watanzania weengii masikinii kwanza hawajui kama kuna uchaguzi.
Si kwamba hawampendi Mama, ila hawaoni sababu ya kuenda kwenye uchaguzi.
Hiviii wanaenda kuchagua nini!? Ilhali Lissu yupo jela. Hii kura ya ndio au hapana inamaanisha nini!?
Nawashauri CCM. Acheni endelea tumia pesa za walipa Kodi kwenye kampeni batili.
Achana nao.Wanapita kutoa vitambulisho vya wapiga kura Kwa wasionavyo nimeshangaa nikataka ni wahoji kwamba usahili si umepita
Sijajua kwanini Polepole bado anasisitiza Uchaguzi usitishwe Hasa akimsihi Rais Mama Samia huku akujua mchakato umefika kati kati.nikajua ni mimi tu ndo naona kama hakuna uchaguzi, maana pamepoa huenda kuliko hata enzi zile za Mwl. wakati wa chama kimoja
Anashindana na kivuli chake, hana uwezo wa kushindana na mgombea serious!.Kwani Samia anashindana na nani kwenye box la kura na kula?
Hakuna kampeni ni mikutano ya hadharaUzi huu sio wa chuki na siandiki kama mpinzani. Ila nawaambia ukweli mtaani kwa watanzania weengii masikinii kwanza hawajui kama kuna uchaguzi.
Si kwamba hawampendi Mama, ila hawaoni sababu ya kuenda kwenye uchaguzi.
Hiviii wanaenda kuchagua nini!? Ilhali Lissu yupo jela. Hii kura ya ndio au hapana inamaanisha nini!?
Nawashauri CCM. Acheni endelea tumia pesa za walipa Kodi kwenye kampeni batili
Umeviona huko mtaani kwako?Write your reply...chama sio chadema peke yake kuna vyama 17 vingine vinashiriki
Tangu JF ipigwe ban amepotea , akija kushtuka kwamba huku mambo yalikuwa yanaendelea kama hakukuwa na kitu atajilaumu sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Erythrocyte niitafute nikuuzie VPN mana hizi mada unazipenda sana 😂
Hakuna wangese hao mambo Yote ni 29.10Uzi huu sio wa chuki na siandiki kama mpinzani. Ila nawaambia ukweli mtaani kwa watanzania weengii masikinii kwanza hawajui kama kuna uchaguzi.
Si kwamba hawampendi Mama, ila hawaoni sababu ya kuenda kwenye uchaguzi.
Hiviii wanaenda kuchagua nini!? Ilhali Lissu yupo jela. Hii kura ya ndio au hapana inamaanisha nini!?
Nawashauri CCM. Acheni endelea tumia pesa za walipa Kodi kwenye kampeni batili
Asiye sikia la mkuu, mguu huota tender. ( Maisha ni somo) Kifo cha aliyekuwa mtarajiwa wa fuoni ni kwamba sauti ya watu ni sauti ya Mungu.Uzi huu sio wa chuki na siandiki kama mpinzani. Ila nawaambia ukweli mtaani kwa watanzania weengii masikinii kwanza hawajui kama kuna uchaguzi.
Si kwamba hawampendi Mama, ila hawaoni sababu ya kuenda kwenye uchaguzi.
Hiviii wanaenda kuchagua nini!? Ilhali Lissu yupo jela. Hii kura ya ndio au hapana inamaanisha nini!?
Nawashauri CCM. Acheni endelea tumia pesa za walipa Kodi kwenye kampeni batili
Mimi nitakujibu kama mTanzania, asiye lazimika kushabikia chama au mtu yeyote; bali nikiwa shabiki wa Tanzania asiyejutia lolote juu ya msimamo huo..Uzi huu sio wa chuki na siandiki kama mpinzani. Ila nawaambia ukweli mtaani kwa watanzania weengii masikinii kwanza hawajui kama kuna uchaguzi.