Hivi Netanyahu ana elimu kweli, mbona anaendesha nchi kama viongozi wa shithole countries?

Unajua hizi
Propaganda uchwara... Unaendeshaji serikali na uchumi wa nchi nyingine, huku nchi yako ikiomba msaada kwa nchi zingine kama vile Ufaransa, Ujerumani, Uholanzi nk?

Why wasitumie utajiri huo katika nchi yao kama vile China, Japan, India nk?
BBC,CNN, Washington post na vyombo vingine vya magharibi vimefanikiwa kuwa brain wash waafrika,waafrika wamefanywa kama mazezeta vile
 
Hi
Hivi kqma una akili angalau kidogo unashindwa kujua lile ni Jimbo la Marekani liliwekwa kimkakati Mashariki ya kati kusimamia maslahi ya marekani iwe mvua liwe jua!! Unashangaza sana.
 
Bila shaka BBC na CNN zinakubrain wash acha kufuata mkumbo wewe mtoto wa kiume
Kama hutaki Acharya, mayahudi ni watu matajiri pale marekani, hakuna cha CNN wa BBC izo takwimu hawawezi kuwa nazo, ni behind the scene hizoo
 
Kwa mujibu wao itakuwa upande wa viongozi, sio binadamu wote, kwa akili gani alizonazo azidi binadamu wote?
 
Kama kuomba omba kunampa mtu IQ, basi Matonya wetu alitakiwa awe na IQ kubwa zaidi ya Netanyahu.
 
Qur'an ilisha toa jibu zamani kuhusu wa Israel wamelaniwa, sa mtu aliye laniwa lazima apate pate aibu hapa hapa dunia, we nchi inayo tegemea kusaidiwa unaiona iko sawa kweli. Sawa sawa na wewe uwe omba omba au kutegemea kusaidiwa nani atakuheshimu.

Tatizo sio elimu tatizo ni akili, marehemu Sheikh Zaid na Sultan Qaboos mmoja wao alikuwa hana elimu alipeleka nchi kutoka kwenye umasikini mpaa kuwa nchi tajiri yenye biashara na maendelea makubwa Middle East ambayo ni UAE. Sultan Qaboos alikuwa ana elimu lakini alitumia akili yake kufocus kwenye maendeleo ya nchi na kuepusha vita na kuwa rafiki na pande zote, alifanya Oman kuheshimiwa mpaa na nchi zinazo jiita Super power.

Netanyahu nilifatilia elimu yake alisomea Architecture na Master ya Bussiness lakini kafailed kote kwenye engineer au kwenye bussiness, ndio sababu anaishi kijambazi jambazi

Elimu si certificate utundike afu useme nimesoma ni akili yako vipi utayatumia, wengi wamesoma wameishia jela na kuwa majambazi. Wako walio kuwa hawakusoma lakini wametumia akili kuliko walio soma na wamefanikiwa kuwahudumia mataifa yao na family zao

Elimu ni kitu kizuri sana ukikitumia vizuri, tazama Japan, China na India wametumia akili zao kuinvest kwenye technology na wamepiga hatua. Hao walio laniwa wao wako kuinvest kwenye mambo ya kuuwa watu tu, sa mtu akili yake yupo kutafuta silaha kila kukicha kama sio lana ni nini.
 
Jamaa ni mtu wa kawaida tu anaeendishwa naa common sense
 
Haya tupe na habari za baba yako. mababa wanaosheherekea birthday zao ni matajiri ila wewe baba yako ni masikini.
 
Ulichoongea kama hakina ushahidi basi ni uongo
 
Uzuri ni kwamba aliyeandika mada hii n mwananchi wa Namtumbo na inawezekana ana maisha magumu kulinganisha na Netanyahu 😂
 
Hivi mleta mada ulifaulu mtihani wa darasa la saba kweli?
 
Netanyahu aliwaaminisha na kuwapa hope Wa Israel walioko nje kama US, Europe na sehemu zingine duniani, kuwa anawaandalia makazi ya kudumu kwa kuwanyang”anya Palestine ardhi yao.

Wayahudi wenye passport mbili mbili na wengine moja za nje wakarudi kwa wingi sana na wote wana makampuni na wenye elimu zao kubwa tu.

Sasa akajiona mbabe wa Mashariki ya Kati na kuanza kumpiga Iran

Yaliyotokea mmeyaona
Israel waliipamba sana mpaka maisha yakawa ghali sana na vijana wengi kushindwa kumudu maisha hata ya kununua nyumba.

Mishahara ya $4000 haiwezi hata siku moja ukanunua nyumba ya mortgage Israel
Kwani nyumba zilivuka $1m kwa Tel Aviv
Na Jerusalem ni $650,000
Vijana wakaamua kuondoka na kuja UK na wengine German na nchi zingine

Sasa baada ya vita hii Iran alipiga mpaka kwenye mafuta ambayo ndio yalikuwa tegemezi kubwa na sasa mafuta yamepanda bei sana na wenye biashara zao wanataka malipo ya hasara.

Watu zaidi ya 40,000 wameamua kuhama mazima na hawatarudi tena, maana Netanyahu aliwahakikishia maisha mazuri na amani tele.

Watu wanaenda kwenye promised land nyingine sasa ambayo ni Cyprus huko ndio wanaweka makazi ya kudumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…