Wewe ndio ujiulize hujui Historia unasikiliza propaganda, Watawala wa mwisho wa Eneo hilo ni Waturuki kisha waingereza, na waliishi wote wayahudi,Waarmenia,Wakristo na Wayahudi, jinsi dunia inavyowashambulia wayahudi kwa sasa na kuwapa kila lawama kama wao ndio wameanzisha ndio ilikuwa hivyo enzi hizo so Mayor Rothchilds akaanzisha Zionist kuwa Wayahudi sehemu salama ya kuishi bila chuki na bughudha ni Promises land yao Israel so wakaanza kurejea kwa wingi maana Tajiri mkubwa wa Dunia amedhamini Safari na kianzio cha Maisha, Arabs waliuza sana Nyumba zao same kama Wazaramu walivyouza Dar Es Salaam, utata ukaanza na huko chuki zikajaa si unajua misikitini baada ya swala yale mawaidha yakawa yanachochea sumu ya chuki, wakaanza mauaji ya kustukiza eh wayahudi wakaona enh mbona tutakwisha na huku kwetu hatujadhurumu wala kuonea mtu wanatuua yaani muarabu anauza nyumba au kiwanja kisha anamvizia mteja wake anamuua. vikao vikaanza taarifa zikafika kwa wakaoloni Uingereza , na wao wakaona hawa hawaivi tuwatenganishe, Israel wake upande mmoja na Arabs upande wa Jordan ikawa hivyo Wayahudi wakaondoshwa pande zote za waarabu jordan .nk
Wayahudi wakaanza kampeni wakitaka upande wao uwe huru wajitegemee maana kulishaanza kupendeza na kwa waarabu hali tete kuchafu fujo n.k Uingereza wakawap uhuru huku arabs wakikataa eti kwao.
Ugomvi ukaenda hadi Umja wa mataifa maeneo yakagawanywa Israel ikakubali huo Mgawanyo japo mdogo na eneo kubwa likiwa ni jangwa wakasema poa tu, eh kabla waarabu hawajakubali si wakalianzisha vita wakitaka eneo lote liwe la waarabu Jordan vita ya kuwaangamiza wayahudi ikaanza wakiwazingira, wayahudi wakapambana na kuwadhibiti wakawafukuza nje ya mipaka na wengine wakawaacha ndio kila arabs akijipanga kumuangamiza Israel anakwama na malipo yake huwa ni makubwa same na Hamas malipo yao hawatarudia tena inaitwa mwana ukome. so ingekuwa Israel ni makatiri wangewaua waarabu wote. ukichukua vice versa Arabs akipata nguvu anaua wayahudi wote hadi wa Nje ya Israel trust me Quran imewaamuru wafanya hivyo siku wakipata nguvu. so Arabs ni wat wa iblis cheka nao tu ila siku watakuliza