Hivi Netanyahu ana elimu kweli, mbona anaendesha nchi kama viongozi wa shithole countries?

Hivi Netanyahu ana elimu kweli, mbona anaendesha nchi kama viongozi wa shithole countries?

watu wakianza kujadili ulawiti unaofanywa na makasisi na mapade kutakalika humu, mbona visa vipo vingi online, si utumie tu google search uone? Mara ngapi Papa ametakiwa kuomba radhi huko Latin Amerika kwa niaba ya Kanisa ?au unataka ujitoe ufahamu? Jadili mada iliyopo, nawe unaingia kwenye kundi la watu weny low IQ kukwepesha mada na kuingilia mrengo wa dini.

Catholic Church sexual abuse cases​

6 May 2025
Alexa MacPherson (left) was sexually abused from the age of three by Priest Peter Kanchong (right)

Abuse victims question if Pope Francis did enough to stop predators​

A Catholic priest abused Alexa MacPherson for six years. Did Pope Francis do enough on child abuse?
US & Canada
3 May 2025
Sean Faloon standing in front of Clonduff parochial house on a sunny day in spring 2025.  He has short, greying dark hair and is wearing a dark flat cap, glasses and a blue jumper over a polo shirt.

Relief as 'monument to a monster' paedophile priest knocked down​

A man, who was abused by a priest, says it was "stomach-churning" for many people to see the building.
Northern Ireland
4 Mar 2025
A black and white photo of the late Fr Malachy Finegan.  He has short, white hair and glasses and is wearing a black suit and a priest's collar.'s collar.

Man to receive £115k in damages in priest sex abuse case​

A man who claimed he was sexually abused in school by Fr Malachy Finegan is to receive compensation.
Northern Ireland
23 Feb 2025
Priest hands clasped together in red robes

Bishop apologises over alleged abuse by priest​

The Diocese said it had received "credible allegations of sexual abuse" against Fr Patrick O'Neill.
Northern Ireland
Advertisement

14 Feb 2025
An aerial view of the Bishop's House off the Armagh Road in Newry.   Built in 1932 from grey Newry granite, the imposing two-storey residence is four bays wide and has an arched oak front door.'s House off the Armagh Road in Newry.   Built in 1932 from grey Newry granite, the imposing two-storey residence is four bays wide and has an arched oak front door.

Bishop's House items sold to help settle abuse claims​

Ornate furniture and paintings are among items sold to help a diocese meet its safeguarding bills.
Northern Ireland
12 Feb 2025
Nikella is sitting in a living room. She has short brown hair.

'Let out the poison' - new study aims to find the truth on NI abuse​

The study is gathering the stories of survivors of abuse in "faith settings", who hope it could lead to a public inquiry.
Northern Ireland
10 Dec 2024
Rebecca has long dark hair and is wearing a green and cream polo neck sweater. She is sitting on the stairs with her hands on her lap and looking over the bannister into the camera. There is a plant with big green leaves behind her. She is not smiling.

Monks cruel to child sexual abuse victims - review​

One survivor of abuse on the island says she does not know how she survived after her ordeal.
Wales
4 Dec 2024
Sean Faloon speaking to the BBC in 2018.  He has short, dark hair and is wearing thin-framed glasses, a black flat cap, a dark fleece and a blue shirt.

Sex abuse victim wants to 'face demons' before demolition​

Victims criticise the way in which plans to demolish a building where abuse took place were managed.
Northern Ireland
1 Dec 2024
Parochial house in Hilltown. It's a large house with separate building to the left and a large porch area with two windows boarded up.'s a large house with separate building to the left and a large porch area with two windows boarded up.

Proposals to demolish parochial house of accused priest​

The parochial house Hilltown is currently vacant and is partially boarded up following an arson attack.

HIVI VITU VIPO KWA VIONGOZI/MAKASISI WA DINI ZOTE, HAINA HAJA YA KUSHAMBULIANA KWA HILO KWA KUWA KILA BINADAMU ANA UDHAIFU WAKE,#TURUDI NA MADA
Nilitarajia utalaani kitendo hicho kumbe kwa sababu kafanya kasisi kwako unahalalisha?
 
Kaa kimya kama hujui chochote kuliko kuongea jambo linalokufanya uonekane mjinga usiojua dunia iko vipi.

Israel na USA ni kaka na dada au baba na shangazi, mbwea wewe.

Kuna mambo mengi sana hasa ya kiuchumi na kijasusi wanashirikiana au wanategemeana na hilo halijaja hivi hivi tu.

Labda nikujuze tu matajiri wa marekani unaowasomaga kwenye forbes list zaidi ya 40% wana asili ya kiyahudi yaani kwanzia kwa John D Rockefeller hadi kwa akina Paul Getty na sasa kwa akina Michael Bloomberg, wote hao ni wayahudi kiasili na siku zote huwa wana ushawishi mkubwa sana kwenye serikali ya marekani. Kwa hiyo huo msaada anaotoa marekan kwa Israel sio msaada kma uonavyo wewe bali ni wayahudi wanayoitumia serikali ya marekani kulipigania taifa lao la asili.

Kingine pia marekani ndio taifa lenye wakazi wengi wayahudi wengi kuliko hata Israel yenyewe, na ukienda jeshini na vyombo vya usalama wamejaa.

Hivyo basi sio jambo la kustahajabisha kuona marekani yuko bega kwa bega na myahudi kwenye kila vita.
Naona bwege mungine umekuja kujamba jamba kama mwenzako hapo juu. Acha nikufunze kile usichokijua wewe poyoyo.

Kwanza unatakiwa kujua kwamba uyahudi ni imani kama ilivyo Ukristo, Uislamu nk. Katika hiyo imani ya kiyahudi kuna wazungu, wahindi, waethiopia nk. Hivyo ukimuona mzungu anajiita myahudi usifikiri kuwa yeye ana asili ya Israel No. Inajiita hivyo kwa sababu ameamua kufuata imani ya kiyahudi ambayo mtu yoyote anaweza kuifuata.

Wayahudi wote kuanzia wayahudi wazungu, wayahudi waethiopia nk wanaamini kuwa Israel ndio nchi yao ya ahadi kama vile wakristo wanavyoamini kuwa hivyo hivyo kuwa Israel ni nchi yao ya ahadi so mkristo yoyote akiipigania Israel haimaanishi kwamba Mkristo huyo ni Muisrael, bali anaipigania hiyo Israel kwa sababu ya imani yake.

Hivyo hivyo waislam wahindi, waislam waafrika, waarabu nk wanaamini kuwa Makka (Saudi Arabia) ndio mji wao mtakatifu. Na kila mwaka utaona wenye uwezo wanaenda kuhiji. But hii haimaanishi kuwa waislam hao asili yao ni Saudi Arabia au mji wa Makka. Wanafanya hivyo kwa sababu ya imani tu na sio kingine.

Leo hii unaweza kumuona mzungu myahudi huko Marekani anaipambania Israel kwa sababu ya imani yake, ila ukifuatilia asili yake utakuta babu zake wana asili ya Uingereza, ila walifika Marekani kwa sababu ya Ukoloni. Na baadae mzungu huyo akaamua kufuata imani ya uyahudi, kama babu zako walivyoamua kufuata imani ya kikristo na kuisapoti Israel kwa sababu ya uyahudi au ukristo.

Hapo chini nakuwekea picha za wahindi wayahudi, waethiopia wayahudi ili ujue kwamba sio kila myahudi ni Muisrael wengine wanaweza kuwa watu weusi tena wajinga kama wewe ila wameamua tu kukumbatia imani au dini ya kiyahudi.

Tumia kichwa chako kuimarisha akili yako ili ujifunze historia kwanza bwege wewe, sio kutumia kichwa chako kujaza manywele kichwani na kamasi puani, huku ukiwa haujui dunia inakwendaje.

Ndiomaana raisi wa China aliwambieni ukweli nyinyi vilema wa akili Echolima1 .
 
Attachments

  • post04-ethiopiajews.jpg
    post04-ethiopiajews.jpg
    17.2 KB · Views: 18
  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    10.7 KB · Views: 13
  • 13820411_474e176b5f9b4f73a0efd5c863b1537b_jpeg9007ab240faecd3b84b2d425535ccbd1.jpeg
    13820411_474e176b5f9b4f73a0efd5c863b1537b_jpeg9007ab240faecd3b84b2d425535ccbd1.jpeg
    67.3 KB · Views: 18
Naona bwege mungine umekuja kujamba jamba kama mwenzako hapo juu. Acha nikufunze kile usichokijua wewe poyoyo.

Kwanza unatakiwa kujua kwamba uyahudi ni imani kama ilivyo Ukristo, Uislamu nk. Katika hiyo imani ya kiyahudi kuna wazungu, wahindi, waethiopia nk. Hivyo ukimuona mzungu anajiita myahudi usifikiri kuwa yeye ana asili ya Israel No. Inajiita hivyo kwa sababu ameamua kufuata imani ya kiyahudi ambayo mtu yoyote anaweza kuifuata.

Wayahudi wote kuanzia wayahudi wazungu, wayahudi waethiopia nk wanaamini kuwa Israel ndio nchi yao ya ahadi kama vile wakristo wanavyoamini kuwa hivyo hivyo kuwa Israel ni nchi yao ya ahadi so mkristo yoyote akiipigania Israel haimaanishi kwamba Mkristo huyo ni Muisrael, bali anaipigania hiyo Israel kwa sababu ya imani yake.

Hivyo hivyo waislam wahindi, waislam waafrika, waarabu nk wanaamini kuwa Makka (Saudi Arabia) ndio mji wao mtakatifu. Na kila mwaka utaona wenye uwezo wanaenda kuhiji. But hii haimaanishi kuwa waislam hao asili yao ni Saudi Arabia au mji wa Makka. Wanafanya hivyo kwa sababu ya imani tu na sio kingine.

Leo hii unaweza kumuona mzungu myahudi huko Marekani anaipambania Israel kwa sababu ya imani yake, ila ukifuatilia asili yake utakuta babu zake wana asili ya Uingereza, ila walifika Marekani kwa sababu ya Ukoloni. Na baadae mzungu huyo akaamua kufuata imani ya uyahudi, kama babu zako walivyoamua kufuata imani ya kikristo na kuisapoti Israel kwa sababu ya uyahudi au ukristo.

Hapo chini nakuwekea picha za wahindi wayahudi, waethiopia wayahudi ili ujue kwamba sio kila myahudi ni Muisrael wengine wanaweza kuwa watu weusi tena wajinga kama wewe ila wameamua tu kukumbatia imani au dini ya kiyahudi.

Tumia kichwa chako kuimarisha akili yako ili ujifunze historia kwanza bwege wewe, sio kutumia kichwa chako kujaza manywele kichwani na kamasi puani, huku ukiwa haujui dunia inakwendaje.

Ndiomaana raisi wa China aliwambieni ukweli nyinyi vilema wa akili Echolima1 .
Huko kote umefikaje mambo ya dini unayaletaje hapa? Kwa nini usipeleke kwenye jukwaa la dini? Ulikuja hapa na hoja ya kuwaponda Wayahudi baada ya kushindwa na kuonekana wewe ni muongo sasa tena unakuja na mambo ya Udini!!! Nikushauli tu hoja yako hii uipeleke kwenye Jukwaa la dini!!!
Ndiomaana raisi wa China aliwambieni ukweli nyinyi vilema wa akili @Echolima1 .
Ndiyo maana mnaitwa mbwa na Mahmood Abbas kwa kukosa akili kwenu!!

View: https://youtube.com/shorts/X_0AhsbClTI?si=JJ82Ky9JrufAjgni
 
Baba yake Netanyahu alitakiwa kutumia condom, ametuletea majanga duniani. Huyu ni zaidi ya devil. Hitler akasome
 
Baba yake Netanyahu alitakiwa kutumia condom, ametuletea majanga duniani. Huyu ni zaidi ya devil. Hitler akasome
Kweli kabisa Shetaninyau hana tofauti na shetani mwenyewe. Yani anaishi kwa kunywa damu za watu kupitia vita.
 
Kweli kabisa Shetaninyau hana tofauti na shetani mwenyewe. Yani anaishi kwa kunywa damu za watu kupitia vita.
Bahati nzuri sana yeye mwenyewe hasikii UHARO wako!!!!

Yeye yupo hapo kuwanyoosha magaidi wa Kiarabu na kiajemi kutoka Iran!!
 
Mtume Muhammad hakuliwa kwa simu wacheni uwongo.
Muongo ni wewe.

Nimejikuta nacheka hadi Basi hahahahahahahaha wewe mtu ndie anaongoza kwa uongo duniani katika watu walio hai ukiacha Ayatollah Khamenei unayefuata ni wewe dah. This is a breaking news kabisa kusikia Mohammad hakufa kwa Sumu najua umekosea kuandika umeandika Simu simaanishi hivyo, Alafu why uongo wako hauna Source inayosupport maandiko yako au unajitungia? for what Mjinga hujigamba na hana source au na wewe ni Mtume after Mohammad,Ummary na Jewish Woman aliyetoa wahyi ya Adhabu ya Kaburi. ?

From Islamic Source Muslim Sunni wanasema Mohammad killed by Jewish Woman and Shia Muslim wanasema Aisha ndie alimuua Mohammad na hawampendi kwa sababu alimu expose Mohammad kwa Uongo wake wote,
Kuwa Hakuenda Mbinguni kukutana na Allah so Swala Tano ni fabircte za Mudy alizotoa kwa Sabian religion,
Alisema Mohammad ana uchi wa Sex na Allah ana faver kwa kumpa aya za kusex na mwanamke yeyote for free and kuoa wake wengi nje kabisa ya uislam.
Mbuzi kula Aya mbili Kumpa machuchu mgeni anyonye mara saba ili apoteze hamu ya kusex na Kumpiga mtu mawe hadi afe akifumwa anazini. Aya hizo hazipo tena kwenye Quran.
Aliulizwa na malaika Gabriel kwamba Allah Amenituma Kwako Mtume Muhammad Nikuulize Unataka Kuondoka Ulimwengu huu au baki hapa kwa Sababu Mwenyezi Mungu Anakungoja wewe na Mtume akachagua Kuondoka.
Alivyotumwa Jibril ni Hadithi tuwekee ewe Fake muslim muongo mkuu. Quran imesema akiongopa kuhusu Quran atakatwa mshipa mkuu wa Moyo Aorta na ndio alivyokufa kwa kusikia maumivu ya moyo wake akilalamika sana kuwa anahisi mshipa unakatika akilia ni prove aliongopa kuhusu Quran kama wewe ulivyo muongo alafu tulishakufahamisha hili ukaelewa nadhani ushasahau
Quran 69:44–46
44. And if he (Muhammad SAW) had forged a false saying concerning Us (Allâh Ìá ÌáÇáå),

45. We surely should have seized him by his right hand (or with power and might),

46. And then certainly should have cut off his life artery (Aorta),

47. And none of you could withhold Us from (punishing) him.

(83)
Chapter: The sickness of the Prophet (saws) and his death

Alivyokufa akilia Sahih Hadith Sahih al-Bukhari 4428 Book 64, Hadith 450
The Prophet (ﷺ) in his ailment in which he died, used to say, "O `Aisha! I still feel the pain caused by the food I ate at Khaibar, and at this time, I feel as if my aorta is being cut from that poison."
Kumbuka, Uislamu unadumisha msimamo kuhusu kifo cha mitume.
Kihistoria tu inasemekana ni myth ukumbuke Hadith au? maaa hujui kitu
Manabii wamechaguliwa na Mungu. Kwa hiyo wao ni wanadamu wasio na makosa, Mungu hatawahi kumdharau nabii wake,
Mohammad hakuwa Nabii kwani hakuna alichotabiri ili uwe Prophet lazima useme kitu kitakachotokea ambacho watu hawajui Mudy alikuwa muonyaji kwa watu wa Mecca na Jirani according to Quran, hakuwa na miujiza zaidi alisex na kuua na kudanganya eti katokewa na Malaika kumbe jini, aeti kaenda Mbinguni na kurejea usiku mmoja wakat malaika wanatumia miaka elfu kwenda kurudi elfu
Kwa mfano, Yesu anafikiriwa kusulubiwa
Sio kufirikiwa kuna Mashahidi walishuhudia Roman,Jewish,Samaritan,Greek N.K ilipopita miaka 600 muarabu anasema Yesu hakusurubiwa bila ushahidi wowote Arabs wakaamini hahahaha
na Wakristo lakini Waislamu hawakufikiri hivyo hata siku moja. Kwa sababu kusulubiwa kwenyewe kulikuwa ni mauaji yasiyo na heshima.
Heshima kivipi na yeye alisema aliamua mwenyewe, Mtume wenu kifo chake kilikuwa cha Heshima? kua mtu kisha akamchukua mkewe akambaka and akamuambia ampikie Nyama? ndio mwanamke akamuwekea Sumu kudadeki aibu
Kwa hiyo Waislamu hawaamini kusulubiwa kwake. Badala yake alipandishwa na ALLAH mbinguni.
Allah mwenyewe kupanda juu hajui kulivyo ndio ampandishe Yesu? Allah anajua Dunia imebebwa na Nyangumi, Allah anajua Jua linazama kwenye matope.
 
Muongo ni wewe.

Nimejikuta nacheka hadi Basi hahahahahahahaha wewe mtu ndie anaongoza kwa uongo duniani katika watu walio hai ukiacha Ayatollah Khamenei unayefuata ni wewe dah. This is a breaking news kabisa kusikia Mohammad hakufa kwa Sumu najua umekosea kuandika umeandika Simu simaanishi hivyo, Alafu why uongo wako hauna Source inayosupport maandiko yako au unajitungia? for what Mjinga hujigamba na hana source au na wewe ni Mtume after Mohammad,Ummary na Jewish Woman aliyetoa wahyi ya Adhabu ya Kaburi. ?

Fo Islamic Source Muslim Sunni wanasema Mohammad killed by Jewish Woman and Shia Muslim wanasema Aisha ndie alimuua Mohammad na hawampendi kwa sababu alimu expose Mohammad kwa Uongo wake wote,
Kuwa Hakuenda Mbinguni kukutana na Allah so Swala Tano ni fabircte za Mudy alizotoa kwa Sabian religion,
Alisema Mohammad ana uchi wa Sex na Allah ana faver kwa kumpa aya za kusex na mwanamke yeyote for free and kuoa wake wengi nje kabisa ya uislam.
Mbuzi kula Aya mbili Kumpa machuchu mgeni anyonye mara saba ili apoteze hamu ya kusex na Kumpiga mtu mawe hadi afe akifumwa anazini. Aya hizo hazipo tena kwenye Quran.

Alivyotumwa Jibril ni Hadithi tuwekee ewe Fake muslim muongo mkuu. Quran imesema akiongopa kuhusu Quran atakatwa mshipa mkuu wa Moyo Aorta na ndio alivyokufa kwa kusikia maumivu ya moyo wake akilalamika sana kuwa anahisi mshipa unakatika akilia ni prove aliongopa kuhusu Quran kama wewe ulivyo muongo alafu tulishakufahamisha hili ukaelewa nadhani ushasahau
Quran 69:44–46
44. And if he (Muhammad SAW) had forged a false saying concerning Us (Allâh Ìá ÌáÇáå),

45. We surely should have seized him by his right hand (or with power and might),

46. And then certainly should have cut off his life artery (Aorta),

47. And none of you could withhold Us from (punishing) him.

(83)
Chapter: The sickness of the Prophet (saws) and his death

Alivyokufa akilia Sahih Hadith Sahih al-Bukhari 4428 Book 64, Hadith 450
The Prophet (ﷺ) in his ailment in which he died, used to say, "O `Aisha! I still feel the pain caused by the food I ate at Khaibar, and at this time, I feel as if my aorta is being cut from that poison."

Kihistoria tu inasemekana ni myth ukumbuke Hadith au? maaa hujui kitu

Mohammad hakuwa Nabii kwani hakuna alichotabiri ili uwe Prophet lazima useme kitu kitakachotokea ambacho watu hawajui Mudy alikuwa muonyaji kwa watu wa Mecca na Jirani according to Quran, hakuwa na miujiza zaidi alisex na kuua na kudanganya eti katokewa na Malaika kumbe jini, aeti kaenda Mbinguni na kurejea usiku mmoja wakat malaika wanatumia miaka elfu kwenda kurudi elfu

Sio kufirikiwa kuna Mashahidi walishuhudia Roman,Jewish,Samaritan,Greek N.K ilipopita miaka 600 muarabu anasema Yesu hakusurubiwa bila ushahidi wowote Arabs wakaamini hahahaha

Heshima kivipi na yeye alisema aliamua mwenyewe, Mtume wenu kifo chake kilikuwa cha Heshima? kua mtu kisha akamchukua mkewe akambaka and akamuambia ampikie Nyama? ndio mwanamke akamuwekea Sumu kudadeki aibu

Allah mwenyewe kupanda juu hajui kulivyo ndio ampandishe Yesu? Allah anajua Dunia imebebwa na Nyangumi, Allah anajua Jua linazama kwenye matope.
Ukweli kwamba Mtume Muhammad alinyweshwa sumu na hakufa wakati huo wakati sahaba wake mwingine alikufa kwa sumu hiyo imeonyesha kuwa Mtume mwenyewe alilindwa na Mwenyezi Mungu.

Wazo la mwanamke wa Kiyahudi kuweka sumu kwenye chakula ni kupima kama Mtume alikuwa nabii wa kweli. Kama ni nabii hawezi kufa pale pale, je alikufa pale pale?

Alipita kwenye mtihani yule mwanamke wa kiyahudi aligundua Mtume Muhammad ni Mtume, na wakati Gabriel alipokuja kumwambia ili wengine wasile, Mtume Muhammad tayari alikuwa ameshakula chakula hicho pamoja na sumu na hakuathirika wakati huo.

Sumu hiyo inaweza kuwa imeathiri afya ya Mtume baadaye wakati alipougua labda, lakini Mtume hakuwa kitandani kutokana na tukio hilo la sumu.

Sumuhiyo haikuwa sababu ya kifo chake ambacho kilitokea baadaye kwa miaka karibu 5 na bada ya kumaliza misheni yake.

Kwa hio alicho taka kikijua yule mwanamke wa kiyahudi kama Mtume Muhammad ni Mtume alikipata, sababu hakufa kwa sumu, pili wengine Mtume aliwazuia kula sababu Gabriel alimuambia chakula kina sumu, alawazuia wasile. Point hi ya sumu mnajisumbua tu, ndio inaonyesha wazi Mtume Muhammad alikuwa Mtume.
 
Ukweli kwamba Mtume Muhammad alinyweshwa sumu na hakufa wakati huo wakati sahaba wake mwingine alikufa kwa sumu hiyo imeonyesha kuwa Mtume mwenyewe alilindwa na Mwenyezi Mungu.

Wazo la mwanamke wa Kiyahudi kuweka sumu kwenye chakula ni kupima kama Mtume alikuwa nabii wa kweli. Kama ni nabii hawezi kufa pale pale, je alikufa pale pale?

Alipita kwenye mtihani yule mwanamke wa kiyahudi aligundua Mtume Muhammad ni Mtume, na wakati Gabriel alipokuja kumwambia ili wengine wasile. Mtume Muhammad tayari alikuwa ameshakula chakula hicho pamoja na sumu na hakuathirika wakati huo.

Sumu hiyo inaweza kuwa imeathiri afya ya Mtume baadaye wakati alipougua labda, lakini Mtime hakuwa kitandani kutokana na tukio hio sumu. Sumu.hiyo haikuwa sababu ya kifo chake ambacho kilitokea baadaye kwa miaka karibu 5 na bada ya kumaliza misheni yake.

Kwa hio alicho taka kikijua yule mwanamke wa kiyahudi kama Mtume Muhammad ni Mtume alikipata sababu hakufa kwa sumu, pili wengine Mtume aliwazuia kula sababu Gabriel alimuambia chakula kina sumu alawazuia wasile. Point hi ya sumu mnajisumbua tu, ndio inaonyesha wazi Mtume Muhammad alikuwa Mtume.
Mkuu unapoteza muda wako bure kubishana na mtu aliekimbia shule ili akawe mchunga nguruwe wa mchungaji wao huko kijijini kwao.
 
Soma vizuri post yangu namba 1 au namba 2.
Nimesema kama wao ni matajiri kama mnavyolishwa matango pori kwanini wasiutumie utajiri huo kuleta maendeleo ya kiuchumi, kiteknolojia na kielimu katika nchi yao kama walivyofanya wachina, wajapan, wahindi nk?

Tunawezaji kuamini hizi hadhithi wakati hatuoni mageuzi yoyote ya kiuchumi, kiteknolojia na kielimu nchini Israel?
Mtu tajiri, na mwenye akili timamu anawezaje kwenda kujenga uchumi wa nchi ya wenzake huku nchi yake ikiwa omba omba wa nchi nyingine?

Hiyo akili au matope?
Wewe Kaa na ujinga wako tu na Chuki zako tu dhidi ya Israel kwa sasa hivi Israel inarusha-
Satelaiti ya juu zaidi ya mawasiliano ya Israeli, Dror-1, imerushwa kwa mafanikio angani kutoka Cape Canaveral. Roketi ya SpaceX Falcon 9 ya hatua mbili ilibeba satelaiti hiyo, huku hatua ya kwanza ya nyongeza hiyo ikifanikiwa kutua tena Duniani.

Hatua ya pili kwa sasa inasukuma Dror-1 kwenye mzunguko wake, baada ya hapo itapeleka paneli na vyombo vyake vya jua. Satelaiti hiyo inatarajiwa kufikia nafasi yake ya kudumu katika takriban wiki mbili baada ya kukamilisha mizunguko kadhaa ya Dunia.
 
Attachments

  • IMG_7913.mp4
    5.3 MB
  • IMG_3644.jpeg
    IMG_3644.jpeg
    66.4 KB · Views: 13
  • IMG_3643.jpeg
    IMG_3643.jpeg
    93.9 KB · Views: 11
Mkuu unapoteza muda wako bure kubishana na mtu aliekimbia shule ili akawe mchunga nguruwe wa mchungaji wao huko kijijini kwao.
Maneno yako kweli kabisa huyo kila nikimkimbia ananifata afu nakuwa namjibu wacha nimjibu ya nwisho leo.
 
Maneno yako kweli kabisa huyo kila nikimkimbia ananifata afu nakuwa namjibu wacha nimjibu ya nwisho leo.
Ya unaweza kumjibu kwa lengo la kuwaelewesha watu wengine wenye akili timamu hapa JF. Lakini kwa huyo kilaza usitegemee kukuelewa kwa chochote utachomjibu, kwa sababu ameshaaminishwa kuwa yeye mtu mweusi ni dhalili mbele ya myahudi.

Sasa ikitokea mtu mungine akajaribu kumfungua macho, kumuonesha kuwa kuna wayahudi ni vilaza na wapumbavu zaidi ya sisi waafrika, jamaa anapinga kabisa ili tu aendelee kuamini kile kile cha ukilaza wake mbele ya myahudi.
 
Alisha niambia ndugu Kosugi nika mkwepa naona karudi tena nikadhania anatafuta elimu kumbe vile vile. Sawa ndugu wacha niwachane naye kabisa.
 
Back
Top Bottom