Hivi Netanyahu ana elimu kweli, mbona anaendesha nchi kama viongozi wa shithole countries?

Hivi Netanyahu ana elimu kweli, mbona anaendesha nchi kama viongozi wa shithole countries?

Kutegemea kunatofautiana. China na Russia zinategemeana lakini kila nchi inajitegemea yenyewe katika mambo ya msingi kama vile uchumi, ulinzi, maendeleo ya viwanda nk.

Lakini hii ya Israel kutegemea kila kitu kutoka Marekani na Ulaya inatia shaka na aibu. Kipindi cha Biden, Marekani iliwahi kusitisha upelekeji wa silaha ambazo zilionekana kutumiwa vibaya kwenye operation. Netanyahu aliumia na kumtangazia kila mtu kwamba kanyimwa silaha na kuachwa apambane kivyake na Hamas 🤣🤣🤣

Upuuzi kama huo wa kulalamikia kunyimwa silaha hauwezi kuuona kwa viongozi wa nchi zenye kujitegemea kama vile Iran, China, Russia au North Korea.
Ndiyo maana kila siku nasema ninyi wajinga sana mmeliharibu sana Jukwaa hili kwa habari zenu za uongo na upotoshaji kama huu uliouandika. Je wa jua kuwa Israel inapata mabilioni ya dola kwa kuuza silaha zake nje ya nchi? Au kwa sababu ya chuki zako juu ya wayahudi hata hizo habari unajitoa ufahamu ili usizijue?

Sasa nakufahamisha kuwa
Israel ina viwanda vya silaha vinavyochukua nafasi muhimu katika sekta ya ulinzi wake na uchumi wa kitaifa. Israel ni moja ya nchi zinazoongoza duniani katika utengenezaji wa mifumo ya silaha za hali ya juu, hasa kwa ajili ya ulinzi wa kitaifa, lakini pia kwa mauzo ya kimataifa. Viwanda hivi vinajumuisha makampuni makubwa ya umma na ya kibinafsi yanayotengeneza anuwai ya vifaa vya kijeshi, ikiwa ni pamoja na makombora, ndege zisizo na rubani (drones), vifaru, mifumo ya ulinzi wa anga, na silaha za teknolojia ya hali ya juu.

### Viwanda na Makampuni ya Silaha za Israel:

1. Israel Aerospace Industries (IAI): Hiki ni kampuni kikubwa cha serikali kinachotengeneza ndege za kijeshi, mifumo ya makombora kama vile Arrow (mifumo ya ulinzi wa anga dhidi ya makombora), satelaiti, na teknolojia ya rada.

2. Rafael Advanced Defense Systems: Inajulikana kwa kutengeneza mifumo ya silaha za hali ya juu kama vile Iron Dome, ambayo ni mfumo wa ulinzi wa anga unaolinda dhidi ya makombora ya masafa mafupi, na Spike, kombora la kutungua vifaru. Pia wanahusika katika utengenezaji wa ndege zisizo na rubani.

3. Israel Military Industries (IMI) Systems (sasa sehemu ya Elbit Systems): Hutengeneza silaha za ardhini kama bunduki, risasi, na mifumo ya roketi. Pia wamekuwa wakifanya kazi katika kuboresha vifaru kama Merkava.

4. Elbit Systems: Kampuni hii inaongoza katika utengenezaji wa vifaa vya elektroniki vya kijeshi, ikiwa ni pamoja na mifumo ya mawasiliano, vifaa vya uchunguzi, na teknolojia ya ndege zisizo na rubani.

5. Ayalon Institute: Hii ilikuwa kiwanda cha siri cha kutengeneza risasi kilichokuwa kimejificha chini ya kibbutz katika miaka ya 1940, na ingawa sio kiwanda cha kisasa, inaonyesha historia ya Israel ya kujitegemea katika utengenezaji wa silaha.https://en.wikipedia.org/wiki/1948_Arab%E2%80%93Israeli_War
 
Attachments

  • IMG_3627.jpeg
    IMG_3627.jpeg
    592.1 KB · Views: 15
Acha ujinga na kuukataa ukweli angali vyote hapo chini Wayahudi ndiyo walivyovibuni na kuvitengeneza kama unajiona nawe ni Mwamba acha kuvitumia!!!!

Chuki zako dhidi ya Wayahudi haziwezi kukusaidia!!!!
Hao wote uliowataja hapo hakuna myahudi hata mmoja. Ni mwendo wa kulishwa matango pori tu na Netanyahu. Nyinyi ndo wale mkiona mtu amepata mafanikio mnadai ni ndugu yenu na wakati hamtoki hata mkoa mmoja 🤣🤣🤣

Nimesema hivi... watu wenye akili hufanya kila kitu cha maana kwenye nchi zao, kama walivyofanya wachina na wajapan. Hii ya kuona mzungu kafanya jambo la maana huko Marekani, Uingereza au Ujerumani halaf mnakimbilia kumvika uyahudi wa mchongo huku mitandaoni mkuu haitasaidia.
 
Trump huyu huyu anayeandamwa na kesi 36 za forgery, hush money alieamua kugombea urais ili kukwepa kesi zifutwe!
Hata Musa Aliua Mmisri na aliendelea kufanya kazi ya Mungu wake. wewe ni Mbumbumbu wa Dini na Kazi za Mungu zinavyofanyika.
umbu mbu mbu wa hali ya juu!!! Mtu anayeabudu sana Mungu anaweza kuwa shoga,
Mtume Mohammad alikuwa Shoga, Alishanyonya tupu wa uume wa Mtu, Aliliwa Kiboga na group la Watu weusi usiku kucha, Alipoka wanja, kila akivaa nguo za Aisha ndipo Jibril alikuwa akimtokea kumpa verse. Mjomba wake Mohammad alikuwa Shoga na aliishi nae Nyumba Moja, na Katika Uislam Shoga adhabu yake ni kupigwa na Makobazi what are complained about Israel.
Tel Aviv ni Gay Capital of the world!
Gay wapo kila nchi even Yesu alisema kuna wengine wanazaliwa wakina na hizo tabia na wengine wanafanyishwa kuwa hivyo na watu wengine.
Amewalinda kwa lipi mbona wanaomba msaada wa US kila siku,
Lazima utambue msaada na mkopo nchi tajiri zinapena Mikopo. na lazima ulipwe, kama unapenda argument za kitaahira peleka madrassani kwenu.
hata hizo mythical Iron (cotton!) domes zimeshindwa kuzuia obsolete na primitive missiles za waajemi!!
Sasa kama Air Defense zimezuia missiles 85% kati ya Ballistics missile 450, 50 zimefika 90%open space 10% zimeleta impact and Drone 1,000 moja tu ndio imefika unaziita Cotton na soko limeongezeka ujinga bakini nao kwenu Tanzania. Waajemi kilichowapata hawana hamu wanadai Fidia tu sasa hivi. unaongea wakati mkuu wa Jeshi yupo ardhini kadanja hahahaha.
 
Ndiyo maana kila siku nasema ninyi wajinga sana mmeliharibu sana Jukwaa hili kwa habari zenu za uongo na upotoshaji kama huu uliouandika. Je wa jua kuwa Israel inapata mabilioni ya dola kwa kuuza silaha zake nje ya nchi? Au kwa sababu ya chuki zako juu ya wayahudi hata hizo habari unajitoa ufahamu ili usizijue?

Sasa nakufahamisha kuwa
Israel ina viwanda vya silaha vinavyochukua nafasi muhimu katika sekta ya ulinzi wake na uchumi wa kitaifa. Israel ni moja ya nchi zinazoongoza duniani katika utengenezaji wa mifumo ya silaha za hali ya juu, hasa kwa ajili ya ulinzi wa kitaifa, lakini pia kwa mauzo ya kimataifa. Viwanda hivi vinajumuisha makampuni makubwa ya umma na ya kibinafsi yanayotengeneza anuwai ya vifaa vya kijeshi, ikiwa ni pamoja na makombora, ndege zisizo na rubani (drones), vifaru, mifumo ya ulinzi wa anga, na silaha za teknolojia ya hali ya juu.

### Viwanda na Makampuni ya Silaha za Israel:

1. Israel Aerospace Industries (IAI): Hiki ni kampuni kikubwa cha serikali kinachotengeneza ndege za kijeshi, mifumo ya makombora kama vile Arrow (mifumo ya ulinzi wa anga dhidi ya makombora), satelaiti, na teknolojia ya rada.

2. Rafael Advanced Defense Systems: Inajulikana kwa kutengeneza mifumo ya silaha za hali ya juu kama vile Iron Dome, ambayo ni mfumo wa ulinzi wa anga unaolinda dhidi ya makombora ya masafa mafupi, na Spike, kombora la kutungua vifaru. Pia wanahusika katika utengenezaji wa ndege zisizo na rubani.

3. Israel Military Industries (IMI) Systems (sasa sehemu ya Elbit Systems): Hutengeneza silaha za ardhini kama bunduki, risasi, na mifumo ya roketi. Pia wamekuwa wakifanya kazi katika kuboresha vifaru kama Merkava.

4. Elbit Systems: Kampuni hii inaongoza katika utengenezaji wa vifaa vya elektroniki vya kijeshi, ikiwa ni pamoja na mifumo ya mawasiliano, vifaa vya uchunguzi, na teknolojia ya ndege zisizo na rubani.

5. Ayalon Institute: Hii ilikuwa kiwanda cha siri cha kutengeneza risasi kilichokuwa kimejificha chini ya kibbutz katika miaka ya 1940, na ingawa sio kiwanda cha kisasa, inaonyesha historia ya Israel ya kujitegemea katika utengenezaji wa silaha.https://en.wikipedia.org/wiki/1948_Arab%E2%80%93Israeli_War
Naona umeandika uongo hadi umesahau tarehe. Hiyo namba 5 mbona hai make sense. Yani nchi ya Israel ianzishwe mwaka 1948, halaf kiwanda cha silaha useme walikianzisha mwaka 1940 wakati hawakuwa na nchi!

Mi naona bora nikuache tu maana Netanyahu kaishafanikiwa kukutawala kiakili, sasa itakuwa ngumu mtu kama mimi kukuelewesha ukaelewa.
 
Wewe endelea kujitoa ufahamu tu ulikuwa umekomaza fuvu lako na kudai Israel haina silaha zake yenyewe na watu ukawaaminisha uongo wako huo sasa nimekuonyesha viwanda vitano umeanza kung’aa Ng’aa macho tu na kuleta visingizio vya kitoto!!!

Utake usitake Israel ni Baba lao na ni kidume huko Mashariki ya kati mpaka huko Iran!!! Angalia hapo chini uone Israel ilivyoinufaisha dunia kwa Teknolojia yake!!!!

View: https://youtu.be/NCCBPon2wKo?si=95aLr5eSlbdXaOSA
 
Hao wote uliowataja hapo hakuna myahudil hata mmoja. Ni mwendo wa kulishwa matango pori tu na Netanyahu. Nyinyi ndo wale mkiona mtu amepata mafanikio mnadai ni ndugu yenu na wakati hamtoki hata mkoa mmoja 🤣🤣🤣

Nimesema hivi... watu wenye akili hufanya kila kitu cha maana kwenye nchi zao, kama walivyofanya wachina na wajapan. Hii ya kuona mzungu kafanya jambo la maana huko Marekani, Uingereza au Ujerumani halaf mnakimbilia kumvika uyahudi wa mchongo huku mitandaoni mkuu haitasaidia.
Endelea tu kukomaza fuvu lako umepotosha watu kwa kuanzisha uzi wenye kupotosha watu sasa nimekuumbua umeanza ubishi wa kijinga.

Acheni kuliharibu jukwaa hili kwa maneno yenu ya uongo na upotoshaji. Mnadanganywa na waarabu na ninyi waarabu-koko mnaufakamia uongo huo na kuanza kujianika mitandaoni kuelezea chuki zenu mlizolishwa na mabwana zenu.

Umeanzisha uzi mrefu uliojaa UHARO mtupu binafsi nimekujibu hoja kwa hoja na umeshindwa kutetea/kudhibitisha uongo wako huo na sasa hivi unabwabwaja ovyo ovyo tu huna hoja!!!
 
Propaganda uchwara... Unaendeshaje serikali na uchumi wa nchi nyingine, huku nchi yako ikiomba msaada kwa nchi zingine kama vile Ufaransa, Ujerumani, Uholanzi nk?

Why wasitumie utajiri huo katika nchi yao kama vile China, Japan, India nk?
Wewe inabidi Ukapimwe mkojo maana Una matatizo mengi sana kichwani!!
 
9
MTU yeyote anapenda vita Mara nyingi anakuaga na IQ ndogo Sana kwakuwa hana uwezo wa kutumia akili kutatua changamoto zake .
kama hawana akili waliwezaje kuwaua Makamanda waandamizi wa Jeshi la Iran 30+? Na kujimilikisha anga lote la Iran na ndege-Vita zao zikawa zinaingia na kutoka kwa siku zote 12 bila bugudha?
 
Hebu njoo huku uone Wayahudi waliwazidi kete hata mtume wenu Zaynab, jasusi wa Kiyahudi aliyemuua Mtume Muhammad
Mtume Muhammad hakuliwa kwa simu wacheni uwongo. Aliulizwa na malaika Gabriel kwamba Allah Amenituma Kwako Mtume Muhammad Nikuulize Unataka Kuondoka Ulimwengu huu au baki hapa kwa Sababu Mwenyezi Mungu Anakungoja wewe na Mtume akachagua Kuondoka.

Kumbuka, Uislamu unadumisha msimamo kuhusu kifo cha mitume.

Manabii wamechaguliwa na Mungu. Kwa hiyo wao ni wanadamu wasio na makosa, Mungu hatawahi kumdharau nabii wake, Kwa mfano, Yesu anafikiriwa kusulubiwa na Wakristo lakini Waislamu hawakufikiri hivyo hata siku moja. Kwa sababu kusulubiwa kwenyewe kulikuwa ni mauaji yasiyo na heshima. Kwa hiyo Waislamu hawaamini kusulubiwa kwake. Badala yake alipandishwa na ALLAH mbinguni.
 
Netanyahu aliwaaminisha na kuwapa hope Wa Israel walioko nje kama US, Europe na sehemu zingine duniani, kuwa anawaandalia makazi ya kudumu kwa kuwanyang”anya Palestine ardhi yao.

Wayahudi wenye passport mbili mbili na wengine moja za nje wakarudi kwa wingi sana na wote wana makampuni na wenye elimu zao kubwa tu.

Sasa akajiona mbabe wa Mashariki ya Kati na kuanza kumpiga Iran

Yaliyotokea mmeyaona
Israel waliipamba sana mpaka maisha yakawa ghali sana na vijana wengi kushindwa kumudu maisha hata ya kununua nyumba.

Mishahara ya $4000 haiwezi hata siku moja ukanunua nyumba ya mortgage Israel
Kwani nyumba zilivuka $1m kwa Tel Aviv
Na Jerusalem ni $650,000
Vijana wakaamua kuondoka na kuja UK na wengine German na nchi zingine

Sasa baada ya vita hii Iran alipiga mpaka kwenye mafuta ambayo ndio yalikuwa tegemezi kubwa na sasa mafuta yamepanda bei sana na wenye biashara zao wanataka malipo ya hasara.

Watu zaidi ya 40,000 wameamua kuhama mazima na hawatarudi tena, maana Netanyahu aliwahakikishia maisha mazuri na amani tele.

Watu wanaenda kwenye promised land nyingine sasa ambayo ni Cyprus huko ndio wanaweka makazi ya kudumu.
Umeandika uzi mrefu sana ukiongea uongo na upotoshaji mkubwa watu mmekuwa na tabia mbaya ya kusema uongo na kupotosha habari hasa zinazohusu Israel mmejazwa chuki za kijinga na wafuga midevu na majini nanyi mmekubali kuufakamia UHARO huo na kueneza uongo na Upotoshaji huo.

Nimejaribu kuangalia labda umeweka hata ushahidi lakini sijaona kwa maana hiyo unaropoka tu maneno ambayo hayana ukweli wowote umeweka na figures za uongo bila hata kudhibitisha kwa vielelezo vyovyote ukitarajia kuwa hapa wote ni Mazuzu kama wewe!! Napenda tu kukufahamisha kuwa Jukwaa hili si la wajinga kama wewe!!!

Baada ya vita ya Israel na Iran kuanza June 13,2025 kulikuwa na wayahudi wengi walikuwa wako nje ya nchi kwa mapumziko na wengine kwenda kujivinjari sehemu mbali mbali duniani.
Huku nyumbani baada ya vita kuanza Israel ilifunga uwanja wa ndege wa Ben Gulion hivyo kutatiza watu wote waliokuwa nje ya nchi na ilibidi wakwame huko waliko na serikali ilikuwa ikifanya juhudi zote kuwarudisha nyumbani raia wake wote waliokuwa wamekwama katika nchi mbalimbali.

Kitendo hicho kilisababisha waongo na wapotoshaji kwa wewe waanze kueneza uongo kuwa raia wanakimbia nchi wakati si kwelo kabisa. Hapa nimekuwekea video wayahudi wakirudi nyumbani kwao kwa vifijo na nderemo. Hivi nyie kusema uongo na kupotosha habari huwa mnalipwa shilingi ngapi? Acheni Ujinga huo.????

View: https://x.com/oliaonx/status/1936424946399600680?s=61

View: https://x.com/jewishwarrior13/status/1854897716070900085?s=61

View: https://x.com/ellatravelslove/status/1935245049337417966?s=61

View: https://x.com/avimayer/status/1935210203814801837?s=61

View: https://x.com/israelwarroom/status/1935205209753420154?s=61
 
Nimkumbushe mleta mada Rais wake ni Samia, Nchi zote Duniani zinatamani Netanyahau awe Kiongozi wao mkuu
 
Propaganda uchwara... Unaendeshaje serikali na uchumi wa nchi nyingine, huku nchi yako ikiomba msaada kwa nchi zingine kama vile Ufaransa, Ujerumani, Uholanzi nk?

Why wasitumie utajiri huo katika nchi yao kama vile China, Japan, India nk?
Kaa kimya kama hujui chochote kuliko kuongea jambo linalokufanya uonekane mjinga usiojua dunia iko vipi.

Israel na USA ni kaka na dada au baba na shangazi, mbwea wewe.

Kuna mambo mengi sana hasa ya kiuchumi na kijasusi wanashirikiana au wanategemeana na hilo halijaja hivi hivi tu.

Labda nikujuze tu matajiri wa marekani unaowasomaga kwenye forbes list zaidi ya 40% wana asili ya kiyahudi yaani kwanzia kwa John D Rockefeller hadi kwa akina Paul Getty na sasa kwa akina Michael Bloomberg, wote hao ni wayahudi kiasili na siku zote huwa wana ushawishi mkubwa sana kwenye serikali ya marekani. Kwa hiyo huo msaada anaotoa marekan kwa Israel sio msaada kma uonavyo wewe bali ni wayahudi wanayoitumia serikali ya marekani kulipigania taifa lao la asili.

Kingine pia marekani ndio taifa lenye wakazi wengi wayahudi wengi kuliko hata Israel yenyewe, na ukienda jeshini na vyombo vya usalama wamejaa.

Hivyo basi sio jambo la kustahajabisha kuona marekani yuko bega kwa bega na myahudi kwenye kila vita.
 
Nimkumbushe mleta mada Rais wake ni Samia, Nchi zote Duniani zinatamani Netanyahau awe Kiongozi wao mkuu
Kweli upumbavu wa akili ni kilema pia.

Unamzungumzia mtu ambae kwenye uchaguzi wa kwao alishindwa!

Unamzungumzia mtu ambae tayari wananchi wake wamemfungulia kesi ya ufisadi na uhujumu uchumi hadi Trump kaomba waifute lakini wakakataa!!

Kweli mda mwingine watu wanafanya ujinga ni kipaji 🤣🤣
 
Benjamin Netanyahu ni Baba lao huko Mashariki ya kati utabwabwaja weeeee na uzi wa uongo sisi tutakuweka sana tu!!!

Mmeligeuza jukwaa hili kuwa la waongo na wapotoshaji ulisema Israel hawana chochote nimekuwekea hapo ushahidi na sasa unaanza kubwabwaja kuhusu Uchaguzi wewe siku hizi ni Myahudi? Unazungumzia kesi za Israel wewe Mmatumbi mwenzangu zinakuhusu nini? Je wajua sheria zao zinasemaje kuhusu kesi hiyo?.

Tatizo lako unaongozwa na chuki binafsi dhidi ya Israel ndiyo maana unabwabwaja kijinga kijinga tu
 
Mtume Mohammad alikuwa Shoga, Alishanyonya tupu wa uume wa Mtu, Aliliwa Kiboga na group la Watu weusi usiku kucha, Alipoka wanja, kila akivaa nguo za Aisha ndipo Jibril alikuwa akimtokea kumpa verse. Mjomba wake Mohammad alikuwa Shoga na aliishi nae Nyumba Moja, na Katika Uislam Shoga adhabu yake ni kupigwa na Makobazi what are complained about Israel
....this is a sign of low IQ, trying to invoke false narrative and religious sentiment to the matter which has nothing to do with religion. As a matter of fact, the Zionist Jews who are in Israel do not believe in the Gospel and the Bible but they try to invoke it to legitimise their ambitious settler colonial project in Palestine, so do their blind atheist supporters who dont believe in the Almighty God inthe first place. The failure of this entity is rooted in their hypocrisy in its conception. That being said, you are on ignore list!
 
Kwa ujinga kama huu ndiyo maana Sheikhe mzima analawiti watoto ndani ya nyumba ya Ibada na wewe unakalia kupayuka “Allah Akbar” tu
 
Attachments

  • IMG_3628.jpeg
    IMG_3628.jpeg
    112.3 KB · Views: 20
Kwa ujinga kama huu ndiyo maana Sheikhe mzima analawiti watoto ndani ya nyumba ya Ibada na wewe unakalia kupayuka “Allah Akbar” tu
watu wakianza kujadili ulawiti unaofanywa na makasisi na mapade kutakalika humu, mbona visa vipo vingi online, si utumie tu google search uone? Mara ngapi Papa ametakiwa kuomba radhi huko Latin Amerika kwa niaba ya Kanisa ?au unataka ujitoe ufahamu? Jadili mada iliyopo, nawe unaingia kwenye kundi la watu weny low IQ kukwepesha mada na kuingilia mrengo wa dini.

Catholic Church sexual abuse cases​

6 May 2025
Alexa MacPherson (left) was sexually abused from the age of three by Priest Peter Kanchong (right)

Abuse victims question if Pope Francis did enough to stop predators​

A Catholic priest abused Alexa MacPherson for six years. Did Pope Francis do enough on child abuse?
US & Canada
3 May 2025
Sean Faloon standing in front of Clonduff parochial house on a sunny day in spring 2025.  He has short, greying dark hair and is wearing a dark flat cap, glasses and a blue jumper over a polo shirt.

Relief as 'monument to a monster' paedophile priest knocked down​

A man, who was abused by a priest, says it was "stomach-churning" for many people to see the building.
Northern Ireland
4 Mar 2025
A black and white photo of the late Fr Malachy Finegan.  He has short, white hair and glasses and is wearing a black suit and a priest's collar.

Man to receive £115k in damages in priest sex abuse case​

A man who claimed he was sexually abused in school by Fr Malachy Finegan is to receive compensation.
Northern Ireland
23 Feb 2025
Priest hands clasped together in red robes

Bishop apologises over alleged abuse by priest​

The Diocese said it had received "credible allegations of sexual abuse" against Fr Patrick O'Neill.
Northern Ireland
Advertisement

14 Feb 2025
An aerial view of the Bishop's House off the Armagh Road in Newry.   Built in 1932 from grey Newry granite, the imposing two-storey residence is four bays wide and has an arched oak front door.

Bishop's House items sold to help settle abuse claims​

Ornate furniture and paintings are among items sold to help a diocese meet its safeguarding bills.
Northern Ireland
12 Feb 2025
Nikella is sitting in a living room. She has short brown hair.

'Let out the poison' - new study aims to find the truth on NI abuse​

The study is gathering the stories of survivors of abuse in "faith settings", who hope it could lead to a public inquiry.
Northern Ireland
10 Dec 2024
Rebecca has long dark hair and is wearing a green and cream polo neck sweater. She is sitting on the stairs with her hands on her lap and looking over the bannister into the camera. There is a plant with big green leaves behind her. She is not smiling.

Monks cruel to child sexual abuse victims - review​

One survivor of abuse on the island says she does not know how she survived after her ordeal.
Wales
4 Dec 2024
Sean Faloon speaking to the BBC in 2018.  He has short, dark hair and is wearing thin-framed glasses, a black flat cap, a dark fleece and a blue shirt.

Sex abuse victim wants to 'face demons' before demolition​

Victims criticise the way in which plans to demolish a building where abuse took place were managed.
Northern Ireland
1 Dec 2024
Parochial house in Hilltown. It's a large house with separate building to the left and a large porch area with two windows boarded up.

Proposals to demolish parochial house of accused priest​

The parochial house Hilltown is currently vacant and is partially boarded up following an arson attack.

HIVI VITU VIPO KWA VIONGOZI/MAKASISI WA DINI ZOTE, HAINA HAJA YA KUSHAMBULIANA KWA HILO KWA KUWA KILA BINADAMU ANA UDHAIFU WAKE,#TURUDI NA MADA
 
iQ yake ipo wapi? Hivi high IQ ni kwa ngozi nyeupe tu sijawahi kusikia kuna mwafrika ana high IQ
Sasa mtatoa wapi kama tu sehemu ya kukaa ubongo mmewekewa kokwa la parachichi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom