Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
Taifa teule la mashoga siku 12 limeujua mziki wa Iran.Sio kuuliwa tu wapalestina ni magaidi wanatakiwa wauwawe wote
View: https://youtu.be/SibRpRo5-lA?si=kBuL3qxuGRri4OzC
Taifa teule la mashoga siku 12 limeujua mziki wa Iran.Sio kuuliwa tu wapalestina ni magaidi wanatakiwa wauwawe wote
Taifa teule la mashoga siku 12 limeujua mziki wa Iran.
View: https://youtu.be/SibRpRo5-lA?si=kBuL3qxuGRri4OzC
Kwanza nimeshangaa sana kwa kuanza kujihami Nikajiuliza kuna nini? Unataka kuficha nini? Kwa nini unasema itakuwa ngumu kukuelewa?Niaje waungwana
Mtu ukiisoma na kuijadili hii thread kimihemko, na kiitikadi bila kuzingatia uhalisia wa kilichoandikwa, hakika itakuwa ngumu mno kunielewa.
Lakini ukiisoma na kuijadili hii thread kisomi, kiakili na kiuweledi. I'm telling you that itakuwa rahisi mno kwako kuielewa na kufahamu kilichoandikwa.
1. Ni ujinga kufikiri kuwa Netanyahu kapata umaarufu kwa Ukatili ambao hujautaja ni Katili kwa vipi?TWENDE SASA KWENYE MADA 👇
Netanyahu ni mmoja wa viongozi wakubwa ambao wamejipatia umaarufu mkubwa kupitia njia za
1. UKATILI
2. CHUKI
3. VITA
4. MAUAJI YA KIMBARI (hii ni kwa mujibu wa kesi yake huko ICC)
5. NA UFISADI (kwa mujibu wa kesi yake ya ufisadi huko Israel)
Hizo ni tuhuma tu unazomtuhumu wewe Mmatumbi mwenzangu wakati wayahudi wenyewe wanamuona kama Shujaa wao!! Kwa hiyo kelele zako haziwezi kumzuia Ng’ombe kunywa maji!!Inasemekana jamaa hutumia kichaka cha vita, na migogoro ya kisiasa nchini Israel, kuiba mabilioni ya kodi za walalahoi wanyonge wa kiyahudi, na kwenda kuyaficha Marekani.
Uchumi wa Israel na nchi za Kiarabu (hasa zile za Ghuba kama Saudia, UAE, Qatar, na zingine kama Misri na Jordan) unatofautiana kwa kiasi kikubwa kutokana na mambo kama ukubwa wa nchi, rasilimali za asili, na miundo ya kiuchumi. Hapa nitatoa muhtasari wa uchumi wa Israel na nchi za Kiarabu kwa kulinganisha viashiria vya kiuchumi kama Pato la Taifa (GDP), GDP kwa kila mtu, na sekta zinazoongoza:Sasa basi kinachofanya nimfananishe Netanyahu na viongozi wa nchi za shithole ni aina mbovu ya uongozi wake. Yani kama kiongozi ameshindwa kutengeneza mifumo ya kujitegemea. Anataka kila kitu wawe wanategemea kutoka Marekani na Ulaya. Huyu ana tofauti gani na kina Ndayishimiye wa Burundi?
Israel kama nchi huru Ina haki ya kujiendesha inavyotaka kulingana na watu wake wanavyotaka hivyo wewe Mmatumbi mwenzangu huna haki ya kuwapangia wayahudi walishindwa vipi na waziri Mkuu wao aende mara ngapi Marekani. Nakushauli tu wewe endelea kula Maharage ya jana mpaka hapo akili yako itakapokaa sawa!!A) Viongozi wa shithole countries wana utaratibu wa kukimbilia Ulaya, na Marekani kuomba misaada ya kuendesha nchi zao, Na Netanyahu amekuwa akifanya hivyo hivyo. Muda wa miezi 6 tu ashaenda Marekani mara 2 kuomba hela, dawa na silaha za kupambana na vikundi vya vijana wasiozidi elf 20.
Kati ya nchi zenye Elimu bora Israel imo israel wana bora sana na watu wenye ujdzie mbalimbali wako huko wataalamu wa kila Nyanja utakuta huko Israel. Ujinga wako na upumbavu wako wewe unamuona Benjamini Netanyahu mtoto wake kuwa Miami Marekani wewe unaumia sana!!! Nakushauli sana kabla husara tafuta pesa na wewe upeleke mtoto wako huko Miami Marekani!!B) Viongozi wa shithole wana utaratibu wa kupeleka watoto wao Ulaya kusoma, kwa sababu ya kukwepa uduni wa elimu katika nchi zao, Netanyahu na yeye hivyo hivyo, mtoto wake anaishi na kusomea huko Miami, Marekani kwa sababu ya kukwepa ubovu wa elimu yao huko nchini Israel. Huyu anaonekana hata akipata ugonjwa wa serious ambao utaonekana kuhatarisha usalama wa maisha yake basi ataenda tu kutibiwa Marekani.
Wewe hapo umeshindwa kuishauri Serikali yako leo hii kwa kuwa umekula Maharage ya jana ndiyo unajifanya kuishauri serikali ya Israel huoni kuwa huo ni ujinga uliopindukia?Mtu unashindwa kuelewa ni kina nani ambao huwa wanampa ushauri wa namna hii Netanyahu!!
Ni kwanini wasingemshauri atumie mbinu zile walizotumia wajapan na wachina!
Kumbuka Israel ndiyo Baba wa teknolojia,Udaktari na mambo mbalimbali ya maendeleo kama vile kilimo n.k.Japan walitumia ukaribu wao na nchi za magharibi kupeleka watu wao Ulaya na Marekani, kujifunza mambo mbali mbali kama vile teknolojia, udaktari na mambo mbali mbali ya kimaendeleo. Baada ya muda wajapan walirudi nchini kwao Japan na kuleta mapinduzi makubwa ya kiuchumi nchini kwao, na duniani kwa ujumla. Hadi kupelekea nchi zilizokuwa zinaidharau Japan kuanza kuiheshimu, na kuiogopa kwa teknolojia na maendeleo yao.
Hiyo ndiyo shida ya kula Maharage ya Jana sasa hivi unahangaika ovyo na Israel wakati nchini kwako wana shida za kufa mtu lakini mshauri wa michongo umeng’ang’ana na Israel ambayo wewe haikusaidii chochote sana sana tu umepandikiziwa chuki za kijinga na Wafuga Midevu na Majini wenzako.Hizo nchi zote nlizozitaja hapo juu (ukiitoa Israel) zinajitegemea kiuchumi, teknolojia, elimu nk.
Sasa kwanini hawa wanaoitwa the "chosen ones" washindwe akili, na maarifa na nchi hizo nlizozitaja hapo juu? Wataendelea kuwa wanaenda Marekani, na Ulaya kuomba misaada ya kijeshi, madawa na hela za kuendeshea serikali mpaka lini?
Why wasitumie hela za misaada hiyo kujenga taasisi imara za kujisimamia, na kujitegemea kama China na Japan?
Hapo umeonyesha wazi unavyotumika vibaya na Wafuga Midevu na Majini wenzako!! Wewe ndiyo wanakutumia kuelezea chuki zao dhidi ya Israel na kwa ujinga ulio nao na wewe umeamua kuufakamia UHARO huu kutuletea hapa.Hata waajemi (Iran) ambao wana vikwazo vya kiuchumi, na kijeshi kwa zaidi ya miaka 50, hatujawahi kuwaona wakikimbilia Marekani, UK, Ufaransa, China, Russia au Uturuki kuomba hela za kuendesha serikali, pamoja na silaha za bure.
Sasa kulikoni Israel asiokuwa na vikwazo?
Wanakwama wapi?
Na Netanyahu ana mpango gani kwa future ya baadae!
Maana kuna msemo unaosema kuwa "Mtegemea vya ndugu, hufa masikini".
Ni aibu kwa Netanyahu kwenda Marekani mara 2 kwa muda wa miezi 6, bila kiongozi mkuu wa Marekani Donald Trump kufanya hivyo kwa Israel.
Hili lingefanywa na kiongozi wa nchi ya shithole kila mtu angemcheka, ila kwa Netanyahu watu wamekaa kimya mpaka wenye akili tumeamua kumsanua.
Kumbe wewe shoga nilikuwa sijui aksante kwa taarifa!!!We ndiyo mjinga ambae uko brainwashed na wanaume au we ni shoga?
Wajinga kama wewe daima hamtaki kuongelea Oct 07,2023 maana mnajua unyama wa kutisha walioufanya Hamas. Mmekalia kubwabwaja tu “Wanaua watoto!! Wanaua wanawake” lakini mnaogopa kusema Oct 07,2023 kuhofia kuumbuka lakini dunia inajua maovu waliyoyafanya na Israel Ina haki ya kujilinda na udhalimu huo!!!Kingine swala la ukatili wa waisrael halikuanza 7th October. Lakini kama wanapambana na Hamas kwa sababu ya hiyo 7th October. Vipi na lile swala la kuwapa silaha makaburu ili kuwangamiza waafrika weusi waliokuwa wanadai haki zao? Nalo lilitokana na tukio la October au ilikuaje?
Umeandika upuuzi mtupu ambao hata mtoto wa Netanyahu huko Miami akiusoma atakushangaa sana kwa kumpamba baba yake kwa taarifa za uongo kuliko uhalisia wenyewe.Kwanza nimeshangaa sana kwa kuanza kujihami Nikajiuliza kuna nini? Unataka kuficha nini? Kwa nini unasema itakuwa ngumu kukuelewa?
Sasa nimeelewa baada ya kusoma uzi wako wote na kuona imejaa UHARO mtupu!!!
1. Ni ujinga kufikiri kuwa Netanyahu kapata umaarufu kwa Ukatili ambao hujautaja ni Katili kwa vipi?
2. Ni ujinga kufikiri kuwa Netanyahu kapata umaarufu kwa Chuki maana hata hapa hujaielezea
3. Kuhusu Vita Israel haijawahi kuanzisha vita yoyote bali waarabu daima huwa wanazianzisha daima Israel anakuja kuimaliza kwa ushindi wa kuishindo. Na katika vita vyote hivyo Israel haijawahi kushindwa hata vita moja.
4. Ni ujinga kufikiri kuwa huko Gaza kuna mauaji ya kimbari labda tu uwe hujui tafiti ya Mauaji ya kimbari!!.
5. Ni ujinga na utoto kufikiri kwamba Kesi ya ufisadi ya December 2016 ije impe umaarufu Netanyahu leo hii wakati hata hajatiwa hatiani na Mahakama.
Hizo ni tuhuma tu unazomtuhumu wewe Mmatumbi mwenzangu wakati wayahudi wenyewe wanamuona kama Shujaa wao!! Kwa hiyo kelele zako haziwezi kumzuia Ng’ombe kunywa maji!!
Uchumi wa Israel na nchi za Kiarabu (hasa zile za Ghuba kama Saudia, UAE, Qatar, na zingine kama Misri na Jordan) unatofautiana kwa kiasi kikubwa kutokana na mambo kama ukubwa wa nchi, rasilimali za asili, na miundo ya kiuchumi. Hapa nitatoa muhtasari wa uchumi wa Israel na nchi za Kiarabu kwa kulinganisha viashiria vya kiuchumi kama Pato la Taifa (GDP), GDP kwa kila mtu, na sekta zinazoongoza:
Uchumi wa Israel
- Pato la Taifa (GDP): Mnamo 2025, GDP ya Israel inakadiriwa kuwa takriban dola bilioni 557 (kulingana na makadirio ya IMF).Je, uchumi wa Israel umeathiriwa vipi na vita? - BBC News Swahili
- GDP kwa kila Mtu: Takriban dola 53,000, ambayo ni ya juu sana ikilinganishwa na nchi nyingi za Kiarabu, isipokuwa baadhi ya nchi za Ghuba kama UAE na Qatar.
- Sekta Zilizo za Msingi: Israel ina uchumi wa hali ya juu uliojikita kwenye teknolojia ya hali ya juu (high-tech), uvumbuzi, na ujasiriamali. Inaitwa "Start-Up Nation" kwa sababu ya idadi kubwa ya makampuni ya teknolojia, hasa katika usalama wa mtandao, teknolojia ya matibabu, na kilimo cha hali ya juu. Sekta ya teknolojia inachangia takriban 17% ya GDP.Israeli - Wikipedia, kamusi elezo huruJinsi uchumi wa Israel unavyoathiriwa na vita vya Gaza - BBC News Swahili
Israel kama nchi huru Ina haki ya kujiendesha inavyotaka kulingana na watu wake wanavyotaka hivyo wewe Mmatumbi mwenzangu huna haki ya kuwapangia wayahudi walishindwa vipi na waziri Mkuu wao aende mara ngapi Marekani. Nakushauli tu wewe endelea kula Maharage ya jana mpaka hapo akili yako itakapokaa sawa!!
Kati ya nchi zenye Elimu bora Israel imo israel wana bora sana na watu wenye ujdzie mbalimbali wako huko wataalamu wa kila Nyanja utakuta huko Israel. Ujinga wako na upumbavu wako wewe unamuona Benjamini Netanyahu mtoto wake kuwa Miami Marekani wewe unaumia sana!!! Nakushauli sana kabla husara tafuta pesa na wewe upeleke mtoto wako huko Miami Marekani!!
Wewe hapo umeshindwa kuishauri Serikali yako leo hii kwa kuwa umekula Maharage ya jana ndiyo unajifanya kuishauri serikali ya Israel huoni kuwa huo ni ujinga uliopindukia?
Kumbuka Israel ndiyo Baba wa teknolojia,Udaktari na mambo mbalimbali ya maendeleo kama vile kilimo n.k.
Pia usisahau kuwa Japan si Israel!!!!!
Hiyo ndiyo shida ya kula Maharage ya Jana sasa hivi unahangaika ovyo na Israel wakati nchini kwako wana shida za kufa mtu lakini mshauri wa michongo umeng’ang’ana na Israel ambayo wewe haikusaidii chochote sana sana tu umepandikiziwa chuki za kijinga na Wafuga Midevu na Majini wenzako.
Hapo umeonyesha wazi unavyotumika vibaya na Wafuga Midevu na Majini wenzako!! Wewe ndiyo wanakutumia kuelezea chuki zao dhidi ya Israel na kwa ujinga ulio nao na wewe umeamua kuufakamia UHARO huu kutuletea hapa.
Kwa taarifa yako tu shilingi 1,000/ ni sawa na Shekel 1.50 ndiyo ujue sasa wewe ni Shithole kati ya Shithole wote!!!!!!
Pia tambua kuwa Israel huwezi kuilinganisha na nchi yoyote ya ki Afrika kwa lolote na kwa chochote!!! Tunawazidi tu kwa wingi!!!!
Kobaaz mibusha ni mimaamuma kwelikweli wana akili za kula tende za misaada ya waarabu na kufakamia ubwabwa wa hitima.Wajinga kama wewe daima hamtaki kuongelea Oct 07,2023 maana mnajua unyama wa kutisha walioufanya Hamas. Mmekalia kubwabwaja tu “Wanaua watoto!! Wanaua wanawake” lakini mnaogopa kusema Oct 07,2023 kuhofia kuumbuka lakini dunia inajua maovu waliyoyafanya na Israel Ina haki ya kujilinda na udhalimu huo!!!
Huyo mkenya siku nyingi nilisha mfahamu hana analo lijua, hana habari huko viongozi wa Israel hasa wale wako kikosi cha 8200 Iran aliweza kupenya mpaa kagundua majina yao, wanapo ishi na siri zao nyingi sana. Gazeti la Haaretz wanasema hao viongozi wako na wasi wasi sana sababu Iran akitumia Artificial intelligence kutoa sura zao, itakuwa easy target haswa wengi wao inasemekana wanajulikana kama vile wamehusika na war crimes kule Gaza.Nina imani huyo MT255 uliem quote hapa haelewi kilichozungumzwa kwa sababu ya ufinyu wa elimu, ndomaana kina Netanyahu na wazungu wengine wamekuwa wakiutumia ufinyu huo wa machawa wao kuwadanganya kila kitu.
Hata Trump mwenyewe alikiri kuwa Israel ilipigwa sana kuliko walivyodanganywa na Netanyahu, ila kwa sababu ya kutokujua English, imekuwa ngumu kwa machawa hao kumuelewa Trump.
Wakati Netanyahu anapambana kuficha kipigo walichopigwa na Iran, Trump yeye kakataa unafiki na kuamua kusema ukweli mbele ya dunia tena katika kikao cha NATO.
Halafu linakuja yahudi la bonyokwa kutaka kumsuta Trump kwamba Israel haikushambuliwa. Ama kweli bora uwe mlemavu wa mwili kuliko kuwa mlemavu wa akili 🤣🤣🤣
Huyo mkenya siku nyingi nilisha mfahamu hana analo lijua, hana habari huko viongozi wa Israel hasa wale wako kikosi cha 8200 Iran aliweza kupenya mpaa kagundua majina yao, wanapo ishi na siri zao nyingi sana. Gazeti la Haaretz wanasema hao viongozi wako na wasi wasi sana sababu Iran akitumia Artificial intelligence kutoa sura zao, itakuwa easy target haswa wengi wao inasemekana wanajulikana kama vile wamehusika na war crimes kule Gaza.
Wengi wanalalamikia Netanyahu kuwa yeye ndio sababu ya kuyaweka maisha yako kwenye hatari, sa hawana raha huko Israel au hata wanaogopa kusafiri.
Huyo MK254 yeye anadhani vita basi kupiga afu ikisinama yameisha, hajui kuna mambo mengi sana yabahusika na vita.
'This Is Scary': Iranian Hack Leaks Data on Thousands of Israelis With Military Ties - National Security & Cyber - Haaretz.com 'This is scary': Iranian hack leaks data on thousands of Israelis with military ties
View: https://youtu.be/VUr5ZzXEVjs?si=lo0KRM_T2PNV4L5h
Huyo mkenya siku nyingi nilisha mfahamu hana analo lijua, hana habari huko viongozi wa Israel hasa wale wako kikosi cha 8200 Iran aliweza kupenya mpaa kagundua majina yao, wanapo ishi na siri zao nyingi sana. Gazeti la Haaretz wanasema hao viongozi wako na wasi wasi sana sababu Iran akitumia Artificial intelligence kutoa sura zao, itakuwa easy target haswa wengi wao inasemekana wanajulikana kama vile wamehusika na war crimes kule Gaza.
Wengi wanalalamikia Netanyahu kuwa yeye ndio sababu ya kuyaweka maisha yako kwenye hatari, sa hawana raha huko Israel au hata wanaogopa kusafiri.
Huyo MK254 yeye anadhani vita basi kupiga afu ikisinama yameisha, hajui kuna mambo mengi sana yabahusika na vita.
'This Is Scary': Iranian Hack Leaks Data on Thousands of Israelis With Military Ties - National Security & Cyber - Haaretz.com 'This is scary': Iranian hack leaks data on thousands of Israelis with military ties
View: https://youtu.be/VUr5ZzXEVjs?si=lo0KRM_T2PNV4L5h
Ukweli ni kwamba huwezi kuwa taifa teule lenye kutegemea backup kutoka kwa jirani. Hii point of weakness mkuuNiaje waungwana
Mtu ukiisoma na kuijadili hii thread kimihemko, na kiitikadi bila kuzingatia uhalisia wa kilichoandikwa, hakika itakuwa ngumu mno kunielewa.
Lakini ukiisoma na kuijadili hii thread kisomi, kiakili na kiuweledi. I'm telling you that itakuwa rahisi mno kwako kuielewa na kufahamu kilichoandikwa.
TWENDE SASA KWENYE MADA 👇
Netanyahu ni mmoja wa viongozi wakubwa ambao wamejipatia umaarufu mkubwa kupitia njia za
1. UKATILI
2. CHUKI
3. VITA
4. MAUAJI YA KIMBARI (hii ni kwa mujibu wa kesi yake huko ICC)
5. NA UFISADI (kwa mujibu wa kesi yake ya ufisadi huko Israel)
Inasemekana jamaa hutumia kichaka cha vita, na migogoro ya kisiasa nchini Israel, kuiba mabilioni ya kodi za walalahoi wanyonge wa kiyahudi, na kwenda kuyaficha Marekani.
Sasa basi kinachofanya nimfananishe Netanyahu na viongozi wa nchi za shithole ni aina mbovu ya uongozi wake. Yani kama kiongozi ameshindwa kutengeneza mifumo ya kujitegemea. Anataka kila kitu wawe wanategemea kutoka Marekani na Ulaya. Huyu ana tofauti gani na kina Ndayishimiye wa Burundi?
A) Viongozi wa shithole countries wana utaratibu wa kukimbilia Ulaya, na Marekani kuomba misaada ya kuendesha nchi zao, Na Netanyahu amekuwa akifanya hivyo hivyo. Muda wa miezi 6 tu ashaenda Marekani mara 2 kuomba hela, dawa na silaha za kupambana na vikundi vya vijana wasiozidi elf 20.
B) Viongozi wa shithole wana utaratibu wa kupeleka watoto wao Ulaya kusoma, kwa sababu ya kukwepa uduni wa elimu katika nchi zao, Netanyahu na yeye hivyo hivyo, mtoto wake anaishi na kusomea huko Miami, Marekani kwa sababu ya kukwepa ubovu wa elimu yao huko nchini Israel. Huyu anaonekana hata akipata ugonjwa wa serious ambao utaonekana kuhatarisha usalama wa maisha yake basi ataenda tu kutibiwa Marekani.
Mtu unashindwa kuelewa ni kina nani ambao huwa wanampa ushauri wa namna hii Netanyahu!!
Ni kwanini wasingemshauri atumie mbinu zile walizotumia wajapan na wachina!
Japan walitumia ukaribu wao na nchi za magharibi kupeleka watu wao Ulaya na Marekani, kujifunza mambo mbali mbali kama vile teknolojia, udaktari na mambo mbali mbali ya kimaendeleo. Baada ya muda wajapan walirudi nchini kwao Japan na kuleta mapinduzi makubwa ya kiuchumi nchini kwao, na duniani kwa ujumla. Hadi kupelekea nchi zilizokuwa zinaidharau Japan kuanza kuiheshimu, na kuiogopa kwa teknolojia na maendeleo yao.
Kadhalika China nayo ilipopata mwanya wa kupenyeza watu wao huko Ulaya na Marekani, waliitumia njia hiyo kujifunza mambo ya teknolojia, uchumi, tiba, na maendeleo. Leo hii tunavyoongea China inashika nafasi ya pili kwa uchumi duniani, ikiwa imeziacha mbali nchi zilizotawala dunia kama vile UK, Ufaransa, Ujerumani, Uholanzi nk.
Tukija kwa India nayo pia haikubaki nyuma kimaendeleo ya teknolojia, uchumi, udaktari nk.
Hizo nchi zote nlizozitaja hapo juu (ukiitoa Israel) zinajitegemea kiuchumi, teknolojia, elimu nk.
Sasa kwanini hawa wanaoitwa the "chosen ones" washindwe akili, na maarifa na nchi hizo nlizozitaja hapo juu? Wataendelea kuwa wanaenda Marekani, na Ulaya kuomba misaada ya kijeshi, madawa na hela za kuendeshea serikali mpaka lini?
Why wasitumie hela za misaada hiyo kujenga taasisi imara za kujisimamia, na kujitegemea kama China na Japan?
Wale wasomi wao wanaoishi Ulaya na Marekani, wanaogopa nini kurudi nyumbani kwao kuijenga nchi yao, na kuiendeleza kama vile walivyofanya wachina na wajapan?
Hata waajemi (Iran) ambao wana vikwazo vya kiuchumi, na kijeshi kwa zaidi ya miaka 50, hatujawahi kuwaona wakikimbilia Marekani, UK, Ufaransa, China, Russia au Uturuki kuomba hela za kuendesha serikali, pamoja na silaha za bure.
Sasa kulikoni Israel asiokuwa na vikwazo?
Wanakwama wapi?
Na Netanyahu ana mpango gani kwa future ya baadae!
Maana kuna msemo unaosema kuwa "Mtegemea vya ndugu, hufa masikini".
Ni aibu kwa Netanyahu kwenda Marekani mara 2 kwa muda wa miezi 6, bila kiongozi mkuu wa Marekani Donald Trump kufanya hivyo kwa Israel.
Hili lingefanywa na kiongozi wa nchi ya shithole kila mtu angemcheka, ila kwa Netanyahu watu wamekaa kimya mpaka wenye akili tumeamua kumsanua.
Nitajie nchi yoyote duniani ambayo inajitegemea yenyewe na haitegemei nchi nyingine kabisa!!!Ukweli ni kwamba huwezi kuwa taifa teule lenye kutegemea backup kutoka kwa jirani. Hii point of weakness mkuu
Inabidi maandishi yaangaliwe upya something not right somewhere
Acha ujinga hakuna kitu cha maana hata kimoja walichotengeneza. Huu ni uongo uliokuwa unatumiwa kabla ya sim za viganjani na teknolojia havijaja kuwaumbua.PACK Wajinga kama wewe mnaeneza na kupotosha taarifa hasa kuhusu Israel hivi unajua hata simu na Computer unayoitumia Ina vifaa ambavyo wayahudi ndiyo walitengeneza lakini kwa kuwa wewe ni zuzu uliyemezeshwa chuki dhidi ya Israel yote hayo huyajui akili zako zote ziko kwa Mtoto wa Netanyahu!! Nimekushauli sana kabla hujafa tafuta pesa na wewe umpeleke mtoto wako Miami!!! Bila hivyo utaendelea kuteseka dhidi ya Israel tu!!!
Ni kweli baba yake ni msomi na kaka yake alikuwa commando, lakini yeye bado anakabiliwa na mashtaka ya rushwa, elite unakumbana na mashtaka ya rushwa?
Anakabiliwa na mashtaka ya rushwa, utapeli, na udanganyifu (kukubali vyakula anasa kama sigara na champagne katika malipo ya faida ya media)
Ana tofauti gani ni kina Sylvio Berlusconi, Imelda Marcos, Mobutu au Jacob Zuma? Miaka ijayo atasomwa na wajukuu zetu katika list sawa na Hitler kama mtu aliyeongoza mauaji ya halaiki. Ameitoa Israel kutoka kuhurumiwa kwa the so called "Holocaust" mpaka kutenda "Genocide"
Katika list ya viongozi wenye IQ kubwa duniani hayumo. Amezidiwa na kina Mandela, Kwame Nkrumah, Nyerere, Thabo Mbeki na Patrice Lumumba, kina mama Angela Merkel na Ellen Serlief. Nina uhakika hata Traore anaweza kumzidi kwa sasa
Hilo gazeti la mabasha zako afu mbona hata Israel official walisema mpaa camera zao wazizime wewe upo dunia ipiHabari za Magazetini wewe unazifanyia kazi?
Wenye akili ya kutafakari kama wewe na mimi ni wachache sana hapa JF.Ukweli ni kwamba huwezi kuwa taifa teule lenye kutegemea backup kutoka kwa jirani. Hii point of weakness mkuu
Inabidi maandishi yaangaliwe upya something not right somewhere
Kutegemea kunatofautiana. China na Russia zinategemeana lakini kila nchi inajitegemea yenyewe katika mambo ya msingi kama vile uchumi, ulinzi, maendeleo ya viwanda nk.Nitajie nchi yoyote duniani ambayo inajitegemea yenyewe na haitegemei nchi nyingine kabisa!!!
Acha ujinga na kuukataa ukweli angali vyote hapo chini Wayahudi ndiyo walivyovibuni na kuvitengeneza kama unajiona nawe ni Mwamba acha kuvitumia!!!!Acha ujinga hakuna kitu cha maana hata kimoja walichotengeneza. Huu ni uongo uliokuwa unatumiwa kabla ya sim za viganjani na teknolojia havijaja kuwaumbua.
Mlidanganywa mengi kuhusu Israel mpaka mengine hata waisrael wenyewe wanashangaa lakini leo hii ukweli umedhihirika kuwa kila kilichosimuliwa kuhusu Israel na wayahudi ni uongo mtupu walioutumia kuwahadaa wajinga kama wewe.
Angalau ukiniambia wachina ndio wayahudi wenyewe waliozungumzwa kwenye stori zenu naweza kukuelewa kwa sababu wanafanya vitu vyenye tija katika nchi yao na duniani kwa ujumla. Ila kwa hao wayahudi wenu waliojificha kwenye kimvuli cha wazungu kamwe hamuwezi tena kuidanganya dunia again.
Wayahudi wangekuwa hivyo kama ulivyodanganywa basi leo hii Israel ndio ingekuwa nchi ya kwanza kwa teknolojia, uchumi, maendeleo, silaha na utajiri. Lakini leo hii ukiwaangalia masikini ya Mungu wanashindwa hata na India wanafanya mambo ya maana katika nchi yao na yanaonekana.
Israel kinyume na kupewa silaha, hela na madawa ipigane na wanamgambo wa Hamas, hakuna kingine cha maana ambacho wameshafanya katika nchi yao. Ni nchi ya hovyo na ya watu wajinga kupindukia. Kila mzungu kutoka Uturuki, Ugiriki, Ufaransa na nchi yoyote ya Ulaya ukienda Israel na kudai yeye ni myahudi wanampokea na kumfanya ni wa kwao, wakati kiuhalisia ni mzungu wa Ulaya.
Hata Netanyahu ni Mpoland ila amepelekwa Israel kwa mission maalum za wazungu wenzake huko USA, UK, Germany nk.
Vita ya juzi walisema wametawala anga la Iran, lakini cha kushangaza mijengo, kambi za jeshi na hospital vikawa vinaangushwa kila siku. Sasa sijui hiyo mijengo, kambi za jeshi na hospital vilikuwa vinaanguka vyenyewe au vinaangushwa na Mossad?
Walidanganya kuwa makombora ya Iran yalikuwa yanazuiwa na mifumo ya anga. Lakini Trump akaja kuwashushua kuwa Israel iliumizwa very hard hadi kupelekea Marekani kuingilia kati kuisaidia kupambana dhidi ya nchi moja na baadae kuomba poo ili Netanyahu na genge lake wapumue.