Hivi Netanyahu ana elimu kweli, mbona anaendesha nchi kama viongozi wa shithole countries?

Hivi Netanyahu ana elimu kweli, mbona anaendesha nchi kama viongozi wa shithole countries?

Niaje waungwana

Mtu ukiisoma na kuijadili hii thread kimihemko, na kiitikadi bila kuzingatia uhalisia wa kilichoandikwa, hakika itakuwa ngumu mno kunielewa.

Lakini ukiisoma na kuijadili hii thread kisomi, kiakili na kiuweledi. I'm telling you that itakuwa rahisi mno kwako kuielewa na kufahamu kilichoandikwa.

TWENDE SASA KWENYE MADA 👇

Netanyahu ni mmoja wa viongozi wakubwa ambao wamejipatia umaarufu mkubwa kupitia njia za
1. UKATILI
2. CHUKI
3. VITA
4. MAUAJI YA KIMBARI (hii ni kwa mujibu wa kesi yake huko ICC)
5. NA UFISADI (kwa mujibu wa kesi yake ya ufisadi huko Israel)

Inasemekana jamaa hutumia kichaka cha vita, na migogoro ya kisiasa nchini Israel, kuiba mabilioni ya kodi za walalahoi wanyonge wa kiyahudi, na kwenda kuyaficha Marekani.

Sasa basi kinachofanya nimfananishe Netanyahu na viongozi wa nchi za shithole ni aina mbovu ya uongozi wake. Yani kama kiongozi ameshindwa kutengeneza mifumo ya kujitegemea. Anataka kila kitu wawe wanategemea kutoka Marekani na Ulaya. Huyu ana tofauti gani na kina Ndayishimiye wa Burundi?

A) Viongozi wa shithole countries wana utaratibu wa kukimbilia Ulaya, na Marekani kuomba misaada ya kuendesha nchi zao, Na Netanyahu amekuwa akifanya hivyo hivyo. Muda wa miezi 6 tu ashaenda Marekani mara 2 kuomba hela, dawa na silaha za kupambana na vikundi vya vijana wasiozidi elf 20.

B) Viongozi wa shithole wana utaratibu wa kupeleka watoto wao Ulaya kusoma, kwa sababu ya kukwepa uduni wa elimu katika nchi zao, Netanyahu na yeye hivyo hivyo, mtoto wake anaishi na kusomea huko Miami, Marekani kwa sababu ya kukwepa ubovu wa elimu yao huko nchini Israel. Huyu anaonekana hata akipata ugonjwa wa serious ambao utaonekana kuhatarisha usalama wa maisha yake basi ataenda tu kutibiwa Marekani.

Mtu unashindwa kuelewa ni kina nani ambao huwa wanampa ushauri wa namna hii Netanyahu!!

Ni kwanini wasingemshauri atumie mbinu zile walizotumia wajapan na wachina!

Japan walitumia ukaribu wao na nchi za magharibi kupeleka watu wao Ulaya na Marekani, kujifunza mambo mbali mbali kama vile teknolojia, udaktari na mambo mbali mbali ya kimaendeleo. Baada ya muda wajapan walirudi nchini kwao Japan na kuleta mapinduzi makubwa ya kiuchumi nchini kwao, na duniani kwa ujumla. Hadi kupelekea nchi zilizokuwa zinaidharau Japan kuanza kuiheshimu, na kuiogopa kwa teknolojia na maendeleo yao.

Kadhalika China nayo ilipopata mwanya wa kupenyeza watu wao huko Ulaya na Marekani, waliitumia njia hiyo kujifunza mambo ya teknolojia, uchumi, tiba, na maendeleo. Leo hii tunavyoongea China inashika nafasi ya pili kwa uchumi duniani, ikiwa imeziacha mbali nchi zilizotawala dunia kama vile UK, Ufaransa, Ujerumani, Uholanzi nk.

Tukija kwa India nayo pia haikubaki nyuma kimaendeleo ya teknolojia, uchumi, udaktari nk.

Hizo nchi zote nlizozitaja hapo juu (ukiitoa Israel) zinajitegemea kiuchumi, teknolojia, elimu nk.

Sasa kwanini hawa wanaoitwa the "chosen ones" washindwe akili, na maarifa na nchi hizo nlizozitaja hapo juu? Wataendelea kuwa wanaenda Marekani, na Ulaya kuomba misaada ya kijeshi, madawa na hela za kuendeshea serikali mpaka lini?

Why wasitumie hela za misaada hiyo kujenga taasisi imara za kujisimamia, na kujitegemea kama China na Japan?

Wale wasomi wao wanaoishi Ulaya na Marekani, wanaogopa nini kurudi nyumbani kwao kuijenga nchi yao, na kuiendeleza kama vile walivyofanya wachina na wajapan?

Hata waajemi (Iran) ambao wana vikwazo vya kiuchumi, na kijeshi kwa zaidi ya miaka 50, hatujawahi kuwaona wakikimbilia Marekani, UK, Ufaransa, China, Russia au Uturuki kuomba hela za kuendesha serikali, pamoja na silaha za bure.

Sasa kulikoni Israel asiokuwa na vikwazo?

Wanakwama wapi?

Na Netanyahu ana mpango gani kwa future ya baadae!

Maana kuna msemo unaosema kuwa "Mtegemea vya ndugu, hufa masikini".

Ni aibu kwa Netanyahu kwenda Marekani mara 2 kwa muda wa miezi 6, bila kiongozi mkuu wa Marekani Donald Trump kufanya hivyo kwa Israel.

Hili lingefanywa na kiongozi wa nchi ya shithole kila mtu angemcheka, ila kwa Netanyahu watu wamekaa kimya mpaka wenye akili tumeamua kumsanua.
 
Netanyahu anatoka kwenye familia ya wasomi tena sio wasomi mbuzi all wana iq kubwa kuanzia kaka yake Nathan sio tz bob... Israel waziri mkuu anatoka from elite upoooo next time hudhuria vikao
 
Hivi ugomvi wa Palestina na Israel umeanza Oct 7, 2023? Hiyo Hamas imeanzishwa na nini? Na kwanini wanaipinga Israel ? Kabla ya 1948 kulikuwa na ugomvi wowote kati yao?
kwahiyo unataka shambulio la october 7th ,2023 liachwe?

like,really?

shambulio la hamas liachwe maana wao hamas wakishambuliwa ni uonevu?

kwahiyo october 7th iachwe,itakuja ingine ingeachwa tu?

mna mavi nyie
 
Kapigana vita na mataifa sita na amefikia maelengo Tramp kamuita wagonge chias urusi anahaha na Ukraie mwaka wa tatu...
 
Hebu soma vizuri thread yang halaf uniambie ni wapi nlipoandika kuhusu Waislam versus Christians.

Why umehusisha mambo ya Christians and Muslims katika andiko ambalo halihusiani na mambo ya dini?
Au kwako wewe kutajwa Netanyahu/ Israel au Iran tayari unahusisha na dini?

Nahitaji majibu ili kupima uwezo wako wa elimu uliyonayo.
siko hapa wewe kunipima elimu yangu

na sipo hapa kukudhibitishia wewe nina uelewa kiasi gani maana thats not my job

tumekuambia kuna records zinasema nentanyahi ni genius ana IQ zaidi ya 200

ukasema hizo records ni za CNN au BBC?

maana yake hapo umeona ni vyombo vya west vipo biased,wewe unaamini vyombo vya east ambavyo ni uislam

nikajua huyu atakua religious fanatic tu regardless,aidha mkristo au muislam,wote ni ma religious extremists tu

nimekwambia records ziko harvard aliposoma,kama huamini harvard kama jinsi huamini CNN au BBC basi amini University of Tehran

ukishaanza kutaja pande,whether CNN/BBC sijui RT,sijui CCC,sijui radio Tehran,na blah blah zingine tayari najua wewe ni religious extremist mtupu
 
Netanyahu anatoka kwenye familia ya wasomi tena sio wasomi mbuzi all wana iq kubwa kuanzia kaka yake Nathan sio tz bob... Israel waziri mkuu anatoka from elite upoooo next time hudhuria vikao
Ni kweli baba yake ni msomi na kaka yake alikuwa commando, lakini yeye bado anakabiliwa na mashtaka ya rushwa, elite unakumbana na mashtaka ya rushwa?

Anakabiliwa na mashtaka ya rushwa, utapeli, na udanganyifu (kukubali vyakula anasa kama sigara na champagne katika malipo ya faida ya media)

Ana tofauti gani ni kina Sylvio Berlusconi, Imelda Marcos, Mobutu au Jacob Zuma? Miaka ijayo atasomwa na wajukuu zetu katika list sawa na Hitler kama mtu aliyeongoza mauaji ya halaiki. Ameitoa Israel kutoka kuhurumiwa kwa the so called "Holocaust" mpaka kutenda "Genocide"

Katika list ya viongozi wenye IQ kubwa duniani hayumo. Amezidiwa na kina Mandela, Kwame Nkrumah, Nyerere, Thabo Mbeki na Patrice Lumumba, kina mama Angela Merkel na Ellen Serlief. Nina uhakika hata Traore anaweza kumzidi kwa sasa
 

After 10 years, US publication walks back claim that Netanyahu has genius IQ​

‘Insider’ now says the 2011 article does not meet its ‘current editorial standards’​

By Tal Schneider
Follow
17 November 2021, 2:54 pmUpdated: 21 November 2021, 1:29 pm
Share
3
Opposition leader Benjamin Netanyahu points at his hair during a speech at the Likud faction meeting in the Knesset, on October 25, 2021. (Yonatan Sindel/Flash90)
Opposition leader Benjamin Netanyahu points at his hair during a speech at the Likud faction meeting in the Knesset, on October 25, 2021. (Yonatan Sindel/Flash90)
Ten years after the Business Insider magazine has published a story claiming that Benjamin Netanyahu has an IQ of 180, the news site published an editor’s note recanting the claims in the article.
“This story was first published on April 6, 2011 and does not meet Insider’s current editorial standards,” reads the note at the top of the article which purports to list the IQs of a wide range of famous figures.
“Insider no longer publishes stories that rank individuals based on purported intelligence,” it says. “The sourcing and ranking methodology used in this story would not stand up under Insider’s current level of editorial scrutiny. For full transparency, we have decided not to take this article down.”
Israeli journalist Roy Barak said he first reached out two years ago to the Business Insider site — which has since rebranded as just “Insider” — to inquire about the validity of the article. And on Wednesday, Barak tweeted that he finally received a response from the site noting that it would be disavowing the claims made in the article.
The article, first published in 2011, has since been cited by a wide range of other news outlets purporting that the former prime minister has a genius IQ.

sijui kama uliieelewa hiyo article au ni sarcasm!
 
siko hapa wewe kunipima elimu yangu

na sipo hapa kukudhibitishia wewe nina uelewa kiasi gani maana thats not my job

tumekuambia kuna records zinasema nentanyahi ni genius ana IQ zaidi ya 200

ukasema hizo records ni za CNN au BBC?

maana yake hapo umeona ni vyombo vya west vipo biased,wewe unaamini vyombo vya east ambavyo ni uislam

nikajua huyu atakua religious fanatic tu regardless,aidha mkristo au muislam,wote ni ma religious extremists tu

nimekwambia records ziko harvard aliposoma,kama huamini harvard kama jinsi huamini CNN au BBC basi amini University of Tehran

ukishaanza kutaja pande,whether CNN/BBC sijui RT,sijui CCC,sijui radio Tehran,na blah blah zingine tayari najua wewe ni religious extremist mtupu
Kijana pole sana kwa kukaririshwa mambo ya udini.

Yani kwako wewe mtu akipingana na CNN au BBC unamfananisha na watu wanaoegemea maswala ya dini.

Sasa je Trump ambae huwa haviamini sana vyombo vya habari including BBC na yeye ni mdini?

Lakini pia nikisoma baadhi ya comment zako hapa JF kwa aina ya uandishi wako inaonekana wazi kuwa wewe umekuja ku comment hapa kwa sababu ya mihemko ya kidini ila unakimbilia kujificha kwa kuwabebesha wengine lawama za udini wako.

Anyway unachotakiwa kujua ni kwamba si kila anaepingana na Israel ni muislam. Kina Nyerere, Mandela, Desmond Tutu na wengine wengi walikuwa wakristo, lakini walipingana mno na Israel kutokana na ukatili wao.

Israel ndio lililokuwa taifa la kwanza kuwasaidia makaburu wazi wazi silaha na njia za kuwaangamiza waafrika wa Afrika Kusini waliokuwa wanadai haki zao katika nchi yao kama wanavyofanya kwa wapalestina bila kujali kuwa 99% ya waafrika kusini weusi ni christians.

Halikadhalika kuna viongozi wa nchi za kiislam ambazo zina ushirikiano mzuri na waisrael bila kujali mauaji wanayofanya waisrael kwa waislam wa Gaza na Palestina kwa ujumla wake.

Hivyo usikariri kuwa kila anaeonesha kumpinga Netanyahu, kutoamini BBC au kuongelea mambo ya Iran huyo ni miongoni mwa watu wa dini.. NO.

Kuna wengine hawahusiki na mambo ya dini lakini wanapingana na Israel au Netanyahu kutokana na ukatili wake dhidi ya binadamu huko Palestina au kule Afrika Kusini.

So fungua macho, jadili mambo bila kushirikisha dini yoyote. Hii itakusaidia kujadili mada kiuhuru zaidi mwana JF mwenzangu.

Dini ziache ziongelewe misikitini na makanisani au katika jukwaa la dini kama lipo hapa JF.
 
Ni kweli baba yake ni msomi na kaka yake alikuwa commando, lakini yeye bado anakabiliwa na mashtaka ya rushwa, elite unakumbana na mashtaka ya rushwa?

Anakabiliwa na mashtaka ya rushwa, utapeli, na udanganyifu (kukubali vyakula anasa kama sigara na champagne katika malipo ya faida ya media)

Ana tofauti gani ni kina Sylvio Berlusconi, Imelda Marcos, Mobutu au Jacob Zuma? Miaka ijayo atasomwa na wajukuu zetu katika list sawa na Hitler kama mtu aliyeongoza mauaji ya halaiki. Ameitoa Israel kutoka kuhurumiwa kwa the so called "Holocaust" mpaka kutenda "Genocide"

Katika list ya viongozi wenye IQ kubwa duniani hayumo. Amezidiwa na kina Mandela, Kwame Nkrumah, Nyerere, Thabo Mbeki na Patrice Lumumba, kina mama Angela Merkel na Ellen Serlief. Nina uhakika hata Traore anaweza kumzidi kwa sasa
Netanyahu anatumia mamilioni ya kodi za walalahoi wanyonge wa kiyahudi kuhonga vyombo vya habari vya kimataifa na vyuo mbali mbali vimsafishe na kumtengenezea sifa asizokuwa nazo.

Ndiomaana wanataka kumpeleka mahakamani akajibu tuhuma za ufisadi wake yeye na genge lake.
 
Kijana pole sana kwa kukaririshwa mambo ya udini.

Yani kwako wewe mtu akipingana na CNN au BBC unamfananisha na watu wanaoegemea maswala ya dini.

Sasa je Trump ambae huwa haviamini sana vyombo vya habari including BBC na yeye ni mdini?

Lakini pia nikisoma baadhi ya comment zako hapa JF kwa aina ya uandishi wako inaonekana wazi kuwa wewe umekuja ku comment hapa kwa sababu ya mihemko ya kidini ila unakimbilia kujificha kwa kuwabebesha wengine lawama za udini wako.

Anyway unachotakiwa kujua ni kwamba si kila anaepingana na Israel ni muislam. Kina Nyerere, Mandela, Desmond Tutu na wengine wengi walikuwa wakristo, lakini walipingana mno na Israel kutokana na ukatili wao.

Israel ndio lililokuwa taifa la kwanza kuwasaidia makaburu wazi wazi silaha na njia za kuwaangamiza waafrika wa Afrika Kusini waliokuwa wanadai haki zao katika nchi yao kama wanavyofanya kwa wapalestina bila kujali kuwa 99% ya waafrika kusini weusi ni christians.

Halikadhalika kuna viongozi wa nchi za kiislam ambazo zina ushirikiano mzuri na waisrael bila kujali mauaji wanayofanya waisrael kwa waislam wa Gaza na Palestina kwa ujumla wake.

Hivyo usikariri kuwa kila anaeonesha kumpinga Netanyahu, kutoamini BBC au kuongelea mambo ya Iran huyo ni miongoni mwa watu wa dini.. NO.

Kuna wengine hawahusiki na mambo ya dini lakini wanapingana na Israel au Netanyahu kutokana na ukatili wake dhidi ya binadamu huko Palestina au kule Afrika Kusini.

So fungua macho, jadili mambo bila kushirikisha dini yoyote. Hii itakusaidia kujadili mada kiuhuru zaidi mwana JF mwenzangu.

Dini ziache ziongelewe misikitini na makanisani au katika jukwaa la dini kama lipo hapa JF.
Mkuu huyu Wyatt Mathewson ni mjinga sana ebu Achana nae anajibu mada kwa muktadha wa dini san
 
Hata na hili la Shetaninyau kwenda Marekani zaidi ya mara 2 kwa muda wa miezi 6, pamoja na kupewa misaada na Marekani linahitaji ushahidi.

Ama kweli wayahudi wa shithole mna matatizo makubwa ya kutumia akili zenu wenyewe kufikiri vizuri.
Mbona unamuita vibaya hivyo? and Israel anatumia pesa zake tatizo watu wa JF ni mambumbumbu na sababu ni chuki na ushabiki...

Ukisikia msaada si kwamba ni free Israel inalipa kila kitu.
And hii kitu ni nchi zote
 
Kabisa kabisa lakini yote tisa Mungu wacheni aitwe Mungu kuna nchi nyingi zimeisha anza wachukia hao walio laniwa



View: https://youtube.com/shorts/z4A1rXoymhM?si=SyLwaeIsAUr4H0O1

Chuki za Kutengeneza hazinaga mashiko, na haziwezi kudumu, Israel amechukiwa miaka na miaka katika historia na chuki zote ni kufanikiwa kwao popote waishipo. Visingizio wanavyoshambuliwa na watu waliokubuhu kwa uongo wamefanikiwa ila uongo haufui dafu mbele ya uongo mean Muongo ni Iblis na Mkweli ni Mungu... walioasi wataichukia na wamcha Mungu hawawezi ichukia Israel. maigizo yanayoendelea yatapotea tu, Hamas walitaka kuiangamiza Israel mambo yamewageukia wanaumia wao na wanao wa sapoti hawana mashiko.
 
Acha uzushi na uongo

Bill gates, Ellon Musk, Jeff Bezzos Hao wote hawana uhusiano na Wayahudi.

Familia za Walton, Koch na Mars ambazo ndizo familia tatu tajiri Marekani hazina uhusiano wowote na Wayahudi.

Hivyo kusema kuwa uchumi wa Marekani unashika na mayahudi huo ni uongo, bora useme sekta fulani imeshikwa na Wayahudi hapo utaeleweka.
Ingia underground utajua kitu yasemwayo yapo kwenye isue zingine, Hayo mambo ya utajili binafsi yaweke pembeni Wayahudi investing zao katika hao matajiri wamo na wao humo kwa hali ya juu sana, and wana secta zenye nguvu sana.

Remember mtu anaitwa Major Rothchild aliwekeza na kuwaunda hao matajiri Duniani akiwemo Rockerfeller Jp Morgan n.k Mirad ya kina ford n.k so Wayahudi wanasambaza upendo kwenye utajili so wakiamua wameamua, Kuna Siri moja ya yule Mwovu aliyemuambia Yesu mali zote za Duniani yeye ndie alipewa so ni zake zote, so Yesu amsujudie anamkabidhi yeye Yesu akamkatalia, behind the Sory of Major Rothchild alikubali hiyo offer so World Bank, IMF yumo humo, na Ndie aliyesema Wayahudi wawe na Nchi ambayo ni ile ile ya Ahadi. Wachukie wayahudi ila utakuja umia hizo chuki zenu za Spiritual hate malipo yake mtayapata same way na mtashindwa. na Mtaumia..

Netanyahu aliwaambia ndani ya bunge la marekani kuwa atawashinda wote na wanaoandamana ni wapumbavu
 
Kijana pole sana kwa kukaririshwa mambo ya udini.

Yani kwako wewe mtu akipingana na CNN au BBC unamfananisha na watu wanaoegemea maswala ya dini.

Sasa je Trump ambae huwa haviamini sana vyombo vya habari including BBC na yeye ni mdini?

Lakini pia nikisoma baadhi ya comment zako hapa JF kwa aina ya uandishi wako inaonekana wazi kuwa wewe umekuja ku comment hapa kwa sababu ya mihemko ya kidini ila unakimbilia kujificha kwa kuwabebesha wengine lawama za udini wako.

Anyway unachotakiwa kujua ni kwamba si kila anaepingana na Israel ni muislam. Kina Nyerere, Mandela, Desmond Tutu na wengine wengi walikuwa wakristo, lakini walipingana mno na Israel kutokana na ukatili wao.

Israel ndio lililokuwa taifa la kwanza kuwasaidia makaburu wazi wazi silaha na njia za kuwaangamiza waafrika wa Afrika Kusini waliokuwa wanadai haki zao katika nchi yao kama wanavyofanya kwa wapalestina bila kujali kuwa 99% ya waafrika kusini weusi ni christians.

Halikadhalika kuna viongozi wa nchi za kiislam ambazo zina ushirikiano mzuri na waisrael bila kujali mauaji wanayofanya waisrael kwa waislam wa Gaza na Palestina kwa ujumla wake.

Hivyo usikariri kuwa kila anaeonesha kumpinga Netanyahu, kutoamini BBC au kuongelea mambo ya Iran huyo ni miongoni mwa watu wa dini.. NO.

Kuna wengine hawahusiki na mambo ya dini lakini wanapingana na Israel au Netanyahu kutokana na ukatili wake dhidi ya binadamu huko Palestina au kule Afrika Kusini.

So fungua macho, jadili mambo bila kushirikisha dini yoyote. Hii itakusaidia kujadili mada kiuhuru zaidi mwana JF mwenzangu.

Dini ziache ziongelewe misikitini na makanisani au katika jukwaa la dini kama lipo hapa JF.
mimi ni well known atheist hapa JF

sina dini

just to let u know

kumanyoko wote wa third world wote kwenye citizenry wanaogozwa na imani za dini zao kwenye huu mgogoro

akina nyerere,mandela,etc wanaongozwa na socialism zao

who cares what,natumia ubongo wangu kujua kwamba huwezi lipua mahali 7th october halafu eti uachwe,lazima na wewe ulipuliwe to the maximum

nyie mnaosema hamas aachwe ni ******* kupindukia
 
Back
Top Bottom