Hivi Netanyahu ana elimu kweli, mbona anaendesha nchi kama viongozi wa shithole countries?

Hivi Netanyahu ana elimu kweli, mbona anaendesha nchi kama viongozi wa shithole countries?

Nafikiri wanazungumzia IQ ya kuomba, ambapo hata hivyo imechakachuliwa sababu bila kuchakachua basi Netanyahu angeonekana mchumba tu mbele ya gwiji la waombaji Matonya.
Kuna watu wamekariri eti Netanyahu ndio binadamu mwenye IQ kubwa wanashindwa kujiongeza kujua highest IQ score ni ngapi na nani anaongoza
IQ yake kwa mujibu wa mtandao ipo kati ya 138-150, yaani 144+/-6 haifiki hata hiyo 180 na bado ina mashaka
Kuna wenye score zaidi ya hiyo, hajamfikia hata Lee Kuan Yew aliyekuwa PM wa Singapore aliyekuwa na 150+ na Barack Obama pia mwenye 150+

Top 10 Wenye Uthibitisho
Kwa kuzingatia ushawishi, ustaarabu wa kupimwa IQ, na uhalali
  1. Kim Ung‑Yong – >276 - Psychology, Neuroscience and Linguistics
  2. Terence Tao – ~230- Mathematics
  3. Marilyn vos Savant – 228 - Logic/Philosophy
  4. Christopher Hirata – 225 - Astrophysics
  5. K. Visalini – IQ 225 (prodigy (mtoto wa kipaji cha ajabu wa India) -
  6. Evangelos Katsioulis – ~198 - Psychiatry, Philosophy
  7. Sho Yano – 200 - Medicine, Genetics, Molecular Biology
  8. Christopher Langan – ~195 - Cognitive Science, Philosophy, Theology
  9. Rick Rosner – ~192 TV Writing, Game Shows
  10. Garry Kasparov – ~190 Chess, Politics
 
1. Kim Ung-Yong – 🇰🇷 (IQ 276)
Kazi: Mhandisi na mwanafizikia
  • Alianza kuongea lugha nne akiwa na miaka 2.
  • Alifanya kazi NASA akiwa na miaka 7–8.
  • Baadaye alihamia Korea Kusini na kuamua kuishi maisha ya kawaida kama profesa.
2. Terence Tao – 🇦🇺/🇺🇸 (IQ ~230)
Kazi: Mwanahisabati
  • Alianza kufanya hesabu ngumu akiwa na miaka 2.
  • Alipata PhD akiwa na miaka 20.
  • Mshindi wa Fields Medal (tuzo ya juu kabisa ya hisabati).
  • Anafundisha katika Chuo Kikuu cha California, Los Angeles (UCLA).
3. Marilyn vos Savant 🇺🇸 (IQ 228)
Kazi: Mwandishi na mchambuzi wa hoja
  • Alitunukiwa rekodi ya Guinness ya IQ ya juu zaidi.
  • Anajulikana kwa safu ya “Ask Marilyn” kwenye gazeti la Parade, ambapo hutatua mafumbo na maswali ya mantiki.
  • Amekuwa msambazaji mkubwa wa elimu ya mantiki kwa umma.
4. Christopher Hirata– 🇺🇸 (IQ 225)
Kazi: Mwanasayansi wa fizikia na kozmolojia
  • Alianza kufanya kazi na NASA akiwa na miaka 14 katika miradi ya kupeleka binadamu Mars.
  • Alipata PhD ya fizikia kutoka Caltech akiwa na miaka 22.
  • Anafundisha katika Chuo Kikuu cha Ohio State.
5. K. Visalini– 🇮🇳 (IQ 225)
Kazi: Mhandisi wa TEHAMA na mhadhiri
  • Msichana wa ajabu kutoka India.
  • Alimaliza masomo ya chuo kikuu akiwa na umri mdogo sana (miaka 13).
  • Amevuka mitihani ya kiwango cha shahada akiwa na umri mdogo sana.
6. Evangelos Katsioulis – 🇬🇷 (IQ 198)
Kazi: Daktari wa akili (psychiatrist)
  • Ana digrii nyingi (udaktari, falsafa, na sayansi ya akili).
  • Mwanachama wa mashirika ya vipaji vya hali ya juu kama Triple Nine Society.
  • Anaandika tafiti kuhusu akili ya binadamu.
7. Sho Yano – 🇺🇸 (IQ 200)
Kazi: Daktari na mtafiti wa magonjwa ya neva
  • Aliandika insha ya kuingia chuo kikuu akiwa na miaka 8.
  • Alipata PhD na MD akiwa na miaka 21.
  • Anafanya kazi katika hospitali za utafiti wa neva.
8. Christopher Langan – 🇺🇸 (IQ 195)
Kazi: Mkufunzi wa mazoezi na mwanafalsafa
  • Anajulikana kama “mtu mwenye akili nyingi zaidi Marekani.”
  • Ametunga nadharia ya “CTMU” (Cognitive-Theoretic Model of the Universe).
  • Aliwahi kuishi maisha ya kawaida, akifanya kazi kama baunsa
9. Rick Rosner– 🇺🇸 (IQ 192)
Kazi: Mwandishi wa TV na mwanafizikia wa kujifunza
  • Alifanya kazi kama mlinzi wa usiku, mtangazaji wa Runinga, na hata mhudumu wa baa.
  • Anafanya vipimo vingi vya IQ kwa burudani na kuhoji mitazamo ya sayansi.
  • Amekuwa maarufu kwa maisha ya kipekee ukilinganisha na IQ yake.
10. Garry Kasparov – 🇷🇺 (IQ 190)
Kazi: Bingwa wa mchezo wa chess
  • Alikuwa bingwa wa dunia wa chess kwa miaka 15 mfululizo.
  • Alijulikana kwa kucheza dhidi ya kompyuta za IBM (Deep Blue).
  • Baadaye aligeukia siasa na utetezi wa demokrasia nchini Urusi.
 
Niaje waungwana

Mtu ukiisoma na kuijadili hii thread kimihemko, na kiitikadi bila kuzingatia uhalisia wa kilichoandikwa, hakika itakuwa ngumu mno kunielewa.

Lakini ukiisoma na kuijadili hii thread kisomi, kiakili na kiuweledi. I'm telling you that itakuwa rahisi mno kwako kuielewa na kufahamu kilichoandikwa.

TWENDE SASA KWENYE MADA 👇

Netanyahu ni mmoja wa viongozi wakubwa ambao wamejipatia umaarufu mkubwa kupitia njia za
1. UKATILI
2. CHUKI
3. VITA
4. MAUAJI YA KIMBARI (hii ni kwa mujibu wa kesi yake huko ICC)
5. NA UFISADI (kwa mujibu wa kesi yake ya ufisadi huko Israel)

Inasemekana jamaa hutumia kichaka cha vita, na migogoro ya kisiasa nchini Israel, kuiba mabilioni ya kodi za walalahoi wanyonge wa kiyahudi, na kwenda kuyaficha Marekani.

Sasa basi kinachofanya nimfananishe Netanyahu na viongozi wa nchi za shithole ni aina mbovu ya uongozi wake. Yani kama kiongozi ameshindwa kutengeneza mifumo ya kujitegemea. Anataka kila kitu wawe wanategemea kutoka Marekani na Ulaya. Huyu ana tofauti gani na kina Ndayishimiye wa Burundi?

A) Viongozi wa shithole countries wana utaratibu wa kukimbilia Ulaya, na Marekani kuomba misaada ya kuendesha nchi zao, Na Netanyahu amekuwa akifanya hivyo hivyo. Muda wa miezi 6 tu ashaenda Marekani mara 2 kuomba hela, dawa na silaha za kupambana na vikundi vya vijana wasiozidi elf 20.

B) Viongozi wa shithole wana utaratibu wa kupeleka watoto wao Ulaya kusoma, kwa sababu ya kukwepa uduni wa elimu katika nchi zao, Netanyahu na yeye hivyo hivyo, mtoto wake anaishi na kusomea huko Miami, Marekani kwa sababu ya kukwepa ubovu wa elimu yao huko nchini Israel. Huyu anaonekana hata akipata ugonjwa wa serious ambao utaonekana kuhatarisha usalama wa maisha yake basi ataenda tu kutibiwa Marekani.

Mtu unashindwa kuelewa ni kina nani ambao huwa wanampa ushauri wa namna hii Netanyahu!!

Ni kwanini wasingemshauri atumie mbinu zile walizotumia wajapan na wachina!

Japan walitumia ukaribu wao na nchi za magharibi kupeleka watu wao Ulaya na Marekani, kujifunza mambo mbali mbali kama vile teknolojia, udaktari na mambo mbali mbali ya kimaendeleo. Baada ya muda wajapan walirudi nchini kwao Japan na kuleta mapinduzi makubwa ya kiuchumi nchini kwao, na duniani kwa ujumla. Hadi kupelekea nchi zilizokuwa zinaidharau Japan kuanza kuiheshimu, na kuiogopa kwa teknolojia na maendeleo yao.

Kadhalika China nayo ilipopata mwanya wa kupenyeza watu wao huko Ulaya na Marekani, waliitumia njia hiyo kujifunza mambo ya teknolojia, uchumi, tiba, na maendeleo. Leo hii tunavyoongea China inashika nafasi ya pili kwa uchumi duniani, ikiwa imeziacha mbali nchi zilizotawala dunia kama vile UK, Ufaransa, Ujerumani, Uholanzi nk.

Tukija kwa India nayo pia haikubaki nyuma kimaendeleo ya teknolojia, uchumi, udaktari nk.

Hizo nchi zote nlizozitaja hapo juu (ukiitoa Israel) zinajitegemea kiuchumi, teknolojia, elimu nk.

Sasa kwanini hawa wanaoitwa the "chosen ones" washindwe akili, na maarifa na nchi hizo nlizozitaja hapo juu? Wataendelea kuwa wanaenda Marekani, na Ulaya kuomba misaada ya kijeshi, madawa na hela za kuendeshea serikali mpaka lini?

Why wasitumie hela za misaada hiyo kujenga taasisi imara za kujisimamia, na kujitegemea kama China na Japan?

Wale wasomi wao wanaoishi Ulaya na Marekani, wanaogopa nini kurudi nyumbani kwao kuijenga nchi yao, na kuiendeleza kama vile walivyofanya wachina na wajapan?

Hata waajemi (Iran) ambao wana vikwazo vya kiuchumi, na kijeshi kwa zaidi ya miaka 50, hatujawahi kuwaona wakikimbilia Marekani, UK, Ufaransa, China, Russia au Uturuki kuomba hela za kuendesha serikali, pamoja na silaha za bure.

Sasa kulikoni Israel asiokuwa na vikwazo?

Wanakwama wapi?

Na Netanyahu ana mpango gani kwa future ya baadae!

Maana kuna msemo unaosema kuwa "Mtegemea vya ndugu, hufa masikini".

Ni aibu kwa Netanyahu kwenda Marekani mara 2 kwa muda wa miezi 6, bila kiongozi mkuu wa Marekani Donald Trump kufanya hivyo kwa Israel.

Hili lingefanywa na kiongozi wa nchi ya shithole kila mtu angemcheka, ila kwa Netanyahu watu wamekaa kimya mpaka wenye akili tumeamua kumsanua.
Usisahau kuwa Netanyahu ndiye kiongozi aliyekaa madarakani muda mrefu zaidi Israel.

Vv
 
Hata jana alikua huko, et anampendekeza Trump na tuzo ya amani.
Netanyahu mjanga, mnafiki na mlaghai sana. Ni kama tu Motto ya Mossad inavyosema kuwa by the way of deception they shall rule the world.
Trump nae alipotunukiwa hiyo barua ya kupendekezwa kupewa tuzo alifurahi sana na kumshukuru netanyau lakini nashangaa sana Trump kushindwa kusoma saikolojia ya kama kujipendekeza kinafiki kwa netanyahu
 
Kuna watu wamekariri eti Netanyahu ndio binadamu mwenye IQ kubwa wanashindwa kujiongeza kujua highest IQ score ni ngapi na nani anaongoza
IQ yake kwa mujibu wa mtandao ipo kati ya 138-150, yaani 144+/-6 haifiki hata hiyo 180 na bado ina mashaka
Kuna wenye score zaidi ya hiyo, hajamfikia hata Lee Kuan Yew aliyekuwa PM wa Singapore aliyekuwa na 150+ na Barack Obama pia mwenye 150+

Top 10 Wenye Uthibitisho
Kwa kuzingatia ushawishi, ustaarabu wa kupimwa IQ, na uhalali
  1. Terence Tao – ~230- Mathematics
  2. Marilyn vos Savant – 228 - Logic/Philosophy
  3. Christopher Hirata – 225 - Astrophysics
  4. K. Visalini – IQ 225 (prodigy (mtoto wa kipaji cha ajabu wa India) -
  5. Kim Ung‑Yong – >210 - Psychology, Neuroscience and Linguistics
  6. Evangelos Katsioulis – ~198 - Psychiatry, Philosophy
  7. Sho Yano – 200 - Medicine, Genetics, Molecular Biology
  8. Christopher Langan – ~195 - Cognitive Science, Philosophy, Theology
  9. Rick Rosner – ~192 TV Writing, Game Shows
  10. Garry Kasparov – ~190 Chess, Politics
Bora umeweka elimu hapa, nina imani wale kina Netanyahu wa mahenge watajifunza kitu kupitia andiko lako.
 
Usisahau kuwa Netanyahu ndiye kiongozi aliyekaa madarakani muda mrefu zaidi Israel.

Vv
Jamaa ni dikteta kama ilivyo viongozi wengi wa shithole countries 🤣🤣🤣
 
Mbonyeza kitufe cha mabomu sijui kwa nini alitoa kidole, ingekua ni mimi kula kulala na hata choo ni hapo hapo , mpaka hao kenge waishe.
Hizo ni ndoto za Mwendawazimu kipindi anaenda kulazwa Milembe Hospital!!!
 
Kuna watu wamekariri eti Netanyahu ndio binadamu mwenye IQ kubwa wanashindwa kujiongeza kujua highest IQ score ni ngapi na nani anaongoza
IQ yake kwa mujibu wa mtandao ipo kati ya 138-150, yaani 144+/-6 haifiki hata hiyo 180 na bado ina mashaka
Kuna wenye score zaidi ya hiyo, hajamfikia hata Lee Kuan Yew aliyekuwa PM wa Singapore aliyekuwa na 150+ na Barack Obama pia mwenye 150+

Top 10 Wenye Uthibitisho
Kwa kuzingatia ushawishi, ustaarabu wa kupimwa IQ, na uhalali
  1. Terence Tao – ~230- Mathematics
  2. Marilyn vos Savant – 228 - Logic/Philosophy
  3. Christopher Hirata – 225 - Astrophysics
  4. K. Visalini – IQ 225 (prodigy (mtoto wa kipaji cha ajabu wa India) -
  5. Kim Ung‑Yong – >210 - Psychology, Neuroscience and Linguistics
  6. Evangelos Katsioulis – ~198 - Psychiatry, Philosophy
  7. Sho Yano – 200 - Medicine, Genetics, Molecular Biology
  8. Christopher Langan – ~195 - Cognitive Science, Philosophy, Theology
  9. Rick Rosner – ~192 TV Writing, Game Shows
  10. Garry Kasparov – ~190 Chess, Politics
Namba moja ni Younghoon Kim, yule dogo ws south Korea ana 276. Rekebisha hilo

Aliyesema kuwa Netanyahu ndio anaongoza, huyo aliyesema hivyo huenda hajui IQ ni nini.

Hili jukwaa la kimataifa ndio jukwaa lenye story nyingi za uongo kuliko jukwaa lingine lolote. Watu ni waongo sana
 
1. Terence Tao – 🇦🇺/🇺🇸 (IQ ~230)
Kazi: Mwanahisabati
  • Alianza kufanya hesabu ngumu akiwa na miaka 2.
  • Alipata PhD akiwa na miaka 20.
  • Mshindi wa Fields Medal (tuzo ya juu kabisa ya hisabati).
  • Anafundisha katika Chuo Kikuu cha California, Los Angeles (UCLA).

2.Marilyn vos Savant 🇺🇸 (IQ 228)

Kazi: Mwandishi na mchambuzi wa hoja
  • Alitunukiwa rekodi ya Guinness ya IQ ya juu zaidi.
  • Anajulikana kwa safu ya “Ask Marilyn” kwenye gazeti la Parade, ambapo hutatua mafumbo na maswali ya mantiki.
  • Amekuwa msambazaji mkubwa wa elimu ya mantiki kwa umma.
3. Christopher Hirata– 🇺🇸 (IQ 225)
Kazi: Mwanasayansi wa fizikia na kozmolojia
  • Alianza kufanya kazi na NASA akiwa na miaka 14 katika miradi ya kupeleka binadamu Mars.
  • Alipata PhD ya fizikia kutoka Caltech akiwa na miaka 22.
  • Anafundisha katika Chuo Kikuu cha Ohio State.
4. K. Visalini– 🇮🇳 (IQ 225)

Kazi: Mhandisi wa TEHAMA na mhadhiri
  • Msichana wa ajabu kutoka India.
  • Alimaliza masomo ya chuo kikuu akiwa na umri mdogo sana (miaka 13).
  • Amevuka mitihani ya kiwango cha shahada akiwa na umri mdogo sana.
5. Kim Ung-Yong – 🇰🇷 (IQ >210)
Kazi: Mhandisi na mwanafizikia
  • Alianza kuongea lugha nne akiwa na miaka 2.
  • Alifanya kazi NASA akiwa na miaka 7–8.
  • Baadaye alihamia Korea Kusini na kuamua kuishi maisha ya kawaida kama profesa.
6. Evangelos Katsioulis – 🇬🇷 (IQ 198)
Kazi: Daktari wa akili (psychiatrist)
  • Ana digrii nyingi (udaktari, falsafa, na sayansi ya akili).
  • Mwanachama wa mashirika ya vipaji vya hali ya juu kama Triple Nine Society.
  • Anaandika tafiti kuhusu akili ya binadamu.
7. Sho Yano – 🇺🇸 (IQ 200)
Kazi: Daktari na mtafiti wa magonjwa ya neva
  • Aliandika insha ya kuingia chuo kikuu akiwa na miaka 8.
  • Alipata PhD na MD akiwa na miaka 21.
  • Anafanya kazi katika hospitali za utafiti wa neva.
8. Christopher Langan – 🇺🇸 (IQ 195)
Kazi: Mkufunzi wa mazoezi na mwanafalsafa
  • Anajulikana kama “mtu mwenye akili nyingi zaidi Marekani.”
  • Ametunga nadharia ya “CTMU” (Cognitive-Theoretic Model of the Universe).
  • Aliwahi kuishi maisha ya kawaida, akifanya kazi kama baunsa
9. Rick Rosner– 🇺🇸 (IQ 192)

Kazi: Mwandishi wa TV na mwanafizikia wa kujifunza
  • Alifanya kazi kama mlinzi wa usiku, mtangazaji wa Runinga, na hata mhudumu wa baa.
  • Anafanya vipimo vingi vya IQ kwa burudani na kuhoji mitazamo ya sayansi.
  • Amekuwa maarufu kwa maisha ya kipekee ukilinganisha na IQ yake.
10. Garry Kasparov – 🇷🇺 (IQ 190)

Kazi: Bingwa wa mchezo wa chess
  • Alikuwa bingwa wa dunia wa chess kwa miaka 15 mfululizo.
  • Alijulikana kwa kucheza dhidi ya kompyuta za IBM (Deep Blue).
  • Baadaye aligeukia siasa na utetezi wa demokrasia nchini Urusi.
Namba moja ni Younghoon Kim, ana IQ 276.

Rekebisha hilo kosa hapo, umerudiarudia kukosea
 
Unazungumzia records za BBC na CNN?
mkuu nenda harvard kaangalie records zake

stop this nonsense

kama huamini harvard records zipo darasani basi kaamini za University of Tehran

naona kila kitu ni waislam versus christians...y'all are religious fanatics,pieces of shit!
 
MTU yeyote anapenda vita Mara nyingi anakuaga na IQ ndogo Sana kwakuwa hana uwezo wa kutumia akili kutatua changamoto zake .
kwahiyo mlitaka hamas alipowashambulia wao wanyamaze?

hamas wao hawapendi vita?

kama mlikua hampendi vita basi hamas wasingetakiwa kuanza kulipua israel

unaanza vita,ukipigwa unaanza kulia,who cares?
 
kwahiyo mlitaka hamas alipowashambulia wao wanyamaze?

hamas wao hawapendi vita?

kama mlikua hampendi vita basi hamas wasingetakiwa kuanza kulipua israel

unaanza vita,ukipigwa unaanza kulia,who cares?
Anayepiga na anayepigwa wanakuwa na low IQ
 
kwahiyo mlitaka hamas alipowashambulia wao wanyamaze?

hamas wao hawapendi vita?

kama mlikua hampendi vita basi hamas wasingetakiwa kuanza kulipua israel

unaanza vita,ukipigwa unaanza kulia,who cares?
Hivi ugomvi wa Palestina na Israel umeanza Oct 7, 2023? Hiyo Hamas imeanzishwa na nini? Na kwanini wanaipinga Israel ? Kabla ya 1948 kulikuwa na ugomvi wowote kati yao?
 
naona kila kitu ni waislam versus christians...y'all are religious fanatics,pieces of shit!
Hebu soma vizuri thread yang halaf uniambie ni wapi nlipoandika kuhusu Waislam versus Christians.

Why umehusisha mambo ya Christians and Muslims katika andiko ambalo halihusiani na mambo ya dini?
Au kwako wewe kutajwa Netanyahu/ Israel au Iran tayari unahusisha na dini?

Nahitaji majibu ili kupima uwezo wako wa elimu uliyonayo.
 
Mtu ni perennial war monger, mchochezi wa vita wa kudumu na asiyetosheka. Amechochea vita na mauaji kwa uongo wake kuanzia Lebanon, Libya, Afghanistan, Sudan, Iraq, Syria na sasa Iran ambapo akimaliza ataenda Pakistan, Turkiye na kumalizana na hao marafiki zake wa Saudia, Imarati na Jordan
Operesheni nyingi za kijeshi dhidi ya Gaza – alihusika katika vita/operesheni kama:
  • 2008–2009 (Operation Cast Lead)
  • 2012 (Pillar of Defense)
  • 2014 (Protective Edge)
  • 2021 na 2023 (Guardian of the Walls na Operation Shield and Arrow)
Msimamo mkali dhidi ya Iran – aliongoza kampeni kali dhidi ya makubaliano ya nyuklia ya Iran, na kuhimiza mashambulizi ya kijeshi au ya siri.
Kukataa mazungumzo ya amani – msimamo mkali dhidi ya Palestina, na kupinga mipango ya kugawana ardhi au kuunda taifa la Palestina.
Siasa za ndani – baadhi ya wachambuzi wanasema amekuwa akitumia migogoro ya kijeshi kama njia ya kujinusuru kisiasa au kupoteza mwelekeo kutoka kwenye mashtaka ya rushwa au kushinda uchaguzi
 
Israel ni tofauti na nchi za shithole unazozitaja, Israel imezungukwa na maadui, iko vitani mara kwa mara.

Misaada wanayoipata si kwa sababu ya udhaifu wa kiuchumi bali ni sehemu ya ushirikiano wa kimkakati na Marekani, ambayo inanufaika sana kijeshi na kijasusi kupitia Israel.

Israel ina maendeleo makubwa kwenye teknolojia, tiba, kilimo na ujasusi kuliko hata baadhi ya mataifa tajiri, na imeweza kujenga uchumi imara wa ubunifu (innovation economy). Hivyo si sahihi kumlinganisha Netanyahu na viongozi wa nchi dhaifu kwa sababu ya mikakati ya ulinzi ya muda mfupi au ya kisiasa.
 
Back
Top Bottom