Hivi Netanyahu ana elimu kweli, mbona anaendesha nchi kama viongozi wa shithole countries?

Sera yao inafanana na ile ya Uingereza au Ujerumani.

Uingereza wana mfalme, lakini waziri mkuu ndie anaepanga na kusimamia serikali.

Halikadhalika Ujerumani nao wana raisi, lakini kansela ndie anaepanga na kuisimamia serikali.
Aiseee
 
Haifa Refinery ilishambuliwa na Iran na kupata madhara makubwa sana

Habari zikaanza kusambaa sana kuwa mafuta yatapanda sana na kwa kuwa na upungufu huo.
India Times waliripoti hilo

Ila dunia hii kuna za kupikwa pia na ukweli upo ila kuutambua ni kazi siku hizi, hujui nani mkweli

Au Ina maana serikali ndio imeamua kutokupandisha na kufidia hasara?

Hebu nisaidie hapo
Ungeisoma vizuri hiyo habari.
Lakini pia Israel ana oil refinery kubwa mbili hiyo ya Haifa na Ashdood.
Hiyo ya Haifa hata isipofanya kazi bado hawawezi kupata fuel crisis kwa sababu, kila siku wanaingiza mapipa zaidi ya laki 2, huku mahitaji yao kwa siku ni mapipa elfu 70 tu.

Mbali na hilo, pia wana reserve kubwa ya fuel ambayo ipo underground huko Negev.

Hiyo ya Haifa ilishatakiwa kufungwa muda tefu toka 2022 sababu ya uchafuzi wa mazingira, baraza la mawaziri walipiga kura hiyo Haifa refinery ifungwe. So hawawezi kupata crisis sababu ya hiyo ndio maana umeona Kuna insignificant changes kwenye bei ya mafuta
 
Niaje waungwana

Mtu ukiisoma na kuijadili hii thread kimihemko, na kiitikadi bila kuzingatia uhalisia wa kilichoandikwa, hakika itakuwa ngumu mno kunielewa.

Lakini ukiisoma na kuijadili hii thread kisomi, kiakili na kiuweledi. I'm telling you that itakuwa rahisi mno kwako kuielewa na kufahamu kilichoandikwa.

TWENDE SASA KWENYE MADA 👇

Netanyahu ni mmoja wa viongozi wakubwa ambao wamejipatia umaarufu mkubwa kupitia njia za 1. UKATILI
2. CHUKI
3. VITA
4. MAUAJI YA KIMBARI (hii ni kwa mujibu wa kesi yake huko ICC)
5. NA UFISADI (kwa mujibu wa kesi yake ya ufisadi huko Israel)

Inasemekana jamaa hutumia kichaka cha vita, na migogoro ya kisiasa nchini Israel, kuiba mabilioni ya kodi za walalahoi wanyonge wa kiyahudi, na kwenda kuyaficha Marekani.

Sasa basi kinachofanya nimfananishe Netanyahu na viongozi wa nchi za shithole ni aina mbovu ya uongozi wake. Yani kama kiongozi ameshindwa kutengeneza mifumo ya kujitegemea. Anataka kila kitu wawe wanategemea kutoka Marekani na Ulaya. Huyu ana tofauti gani na kina Ndayishimiye wa Burundi?

A) Viongozi wa shithole countries wana utaratibu wa kukimbilia Ulaya, na Marekani kuomba misaada ya kuendesha nchi zao, Na Netanyahu amekuwa akifanya hivyo hivyo. Muda wa miezi 6 tu ashaenda Marekani mara 2 kuomba hela, dawa na silaha za kupambana na vikundi vya vijana wasiozidi elf 20.

B) Viongozi wa shithole wana utaratibu wa kupeleka watoto wao Ulaya kusoma, kwa sababu ya kukwepa uduni wa elimu katika nchi zao, Netanyahu na yeye hivyo hivyo, mtoto wake anaishi na kusomea huko Miami, Marekani kwa sababu ya kukwepa ubovu wa elimu yao huko nchini Israel. Huyu anaonekana hata akipata ugonjwa wa serious ambao utaonekana kuhatarisha usalama wa maisha yake basi ataenda tu kutibiwa Marekani.

Mtu unashindwa kuelewa ni kina nani ambao huwa wanampa ushauri wa namna hii Netanyahu!!

Ni kwanini wasingemshauri atumie mbinu zile walizotumia wajapan na wachina!

Japan walitumia ukaribu wao na nchi za magharibi kupeleka watu wao Ulaya na Marekani, kujifunza mambo mbali mbali kama vile teknolojia, udaktari na mambo mbali mbali ya kimaendeleo. Baada ya muda wajapan walirudi nchini kwao Japan na kuleta mapinduzi makubwa ya kiuchumi nchini kwao, na duniani kwa ujumla. Hadi kupelekea nchi zilizokuwa zinaidharau Japan kuanza kuiheshimu na kuiogopa kwa teknolojia na maendeleo.

Kadhalika China nayo ilipopata mwanya wa kupenyeza watu huko Ulaya na Marekani, waliitumia njia hiyo kujifunza mambo ya teknolojia, uchumi, tiba, na maendeleo. Leo hii tunavyoongea China inashika nafasi ya pili kwa uchumi duniani ikiwa imeziacha mbali nchi zilizotawala dunia kama vile UK, Ufaransa, Ujerumani, Uholanzi nk.

Tukija kwa India nayo pia haikubaki nyuma kimaendeleo ya teknolojia, uchumi, udaktari nk.

Hizo nchi zote nilizozitaja hapo juu (ukiitoa Israel) zinajitegemea kiuchumi, teknolojia, elimu nk.

Sasa kwanini hawa wanaoitwa the chosen one washindwe akili na maarifa na nchi hizo nlizozitaja hapo juu? Wataendelea kuwa wanaenda Marekani kuomba misaada ya kijeshi, madawa na hela za kuendeshea serikali mpaka lini?

Why wasitumie hela za misaada hiyo kujenga taasisi imara za kujisimamia, na kujitegemea kama China na Japan?

Wale wasomi wao wanaoishi Ulaya na Marekani, wanaogopa nini kurudi nyumbani kuijenga nchi na kuiendeleza kama vile walivyofanya wachina na wajapan?

Hata waajemi (Iran) ambao wana vikwazo vya kiuchumi, na kijeshi kwa zaidi ya miaka hatujawahi kuwaona wakikimbilia Marekani, UK, Ufaransa, China, Russia au Uturuki kuomba hela za kuendesha serikali pamoja na silaha za bure.

Sasa kulikoni Israel asiekuwa na vikwazo?

Wanakwama wapi?

Na Netanyahu ana mpango gani kwa future ya baadae.

Maana kuna msemo unaosema kuwa "Mtegemea vya ndugu, hufa masikini".

Ni aibu kwa Netanyahu kwenda Marekani mara 2 kwa muda wa miezi 6, bila kiongozi mkuu wa Marekani Donald Trump kufanya hivyo kwa Israel.

Hili lingefanywa na kiongozi wa nchi ya shithole kila mtu angemcheka, ila kwa Netanyahu watu wamekaa kimya mpaka wenye akili tumeamua kumsanua.
Ni vema ukaishi Israel miaka mitano(kama inawezekana badili na kabila uwe "myahudi") halafu urudi shithole country uje utoe uzoefu wa maisha yao na majirani zake waarabu/waajemi.
 
Israel wako vitani kuzusha bakuri ni must kwa nchi yoyote iliyoko vitani chini ya jua.

Kuna nchi gani Afrika inafanya exports kuipita Israel kabla ya baada ya vita? Unaweza kuwa na hija lkn si uungwana kumfananisha Netanyahu ni kina Samia na kina Ndaishimiye na kina Euro
 
Wee nawe Kwa ujanja wako wote Bado una hangaishwa na hizo false flag za wayahudi !?

Matendo ya netanyahu Yana kushawishi kweli kuweza kuamini kuwa ana IQ Kubwa kuliko Kiongozi yoyote Duniani!? Mbona matendo yake ni ya hovyo sana !?
 
Israel wako vitani kuzusha bakuri ni must kwa nchi yoyote iliyoko vitani chini ya jua.

Kuna nchi gani Afrika inafanya exports kuipita Israel kabla ya baada ya vita? Unaweza kuwa na hija lkn si uungwana kumfananisha Netanyahu ni kina Samia na kina Ndaishimiye na kina Euro
Naunga mkono hoja yako mkuu. Lakini Netanyahu anatakiwa awe na vision ya kufikiria kuhusu after war nchi yake inatakiwa iwe katika nafasi gani ili kuepuka utegemezi. Huwezi kung'ang'ania vita kila siku huku akiiacha nchi ikiendelea kuwa omba omba kama shithole countries.

Watu wengi mpaka wazungu wenzake wanamshauri akubali kuwapa uhuru wapalestina ili kuleta amani ya kudumu na maendeleo ya kweli, lakini yeye anang'ang'ania maisha ya vita kila siku kwa kutegemea jasho la kodi za wanaume wenzake.

Sasa wewe unaona hiyo ni akili na elimu au matope?
 
Kuna speech moja aliitoa kwa wananchi wa iran dhidi ya serikali ya iran ukiisikiliza unajiuliza huyu timamu kweli, anawachukulia watu woote ni watanzania, maana yale maneno yana uchembe chembe wa akili za wanasiasa wengi wa Tanzania
 
Back
Top Bottom