gays wapo jamii zote wana account 5% ya population yeyote ile
cha ajabu hata wewe kwenye ukoo wako unaweza kua na gays halafu upo hapa unapanua domo kama bata
bwana eee,jikite kwenye hoja,kama upo hapa kujua nani anatumia matako yake kwa namna gani huko vyumbani kwani ni matumizi mabaya ya muda wako
wanadamu ni wanadamu,wanachofanya huko vyumbani mwao hatuwezi jua,kwanini tusikite na kile tunachoweza kua na uhakika nacho tunakijua?
israel kuna gays,iran kuna gays,tanzania kuna gays,etc who cares ?
low IQ ni wewe of which we dont care too...
akili zako ni zako,zangu ni zangu,nazijua mwenyewe na zako unazijua mwenyewe....i dont care zina kipimo gani
wewe jibu hoja hapa...mambo binafsi yenu hayanihusu