Hivi ngono ni hitaji la lazima?

Hivi ngono ni hitaji la lazima?

Englishlady

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2013
Posts
2,736
Reaction score
3,644
Wadau wa jukwa hili natumaini hamjambo na kwale waliopata na misukosuko ya mafuriko poleni sana.

Nina swali langu hili.
Baada ya kusoma yale yanayoendelea Mbagala Zakhem watu kufanya ngono mchana kweupe na kununua kwa tsh 3000 na watu kupanga foleni kusubiri zamu zao na wengine hufanya wakiwa 20 kwenye chumba kimoja.
Nikaendelea kutafakari madanguro na wadada wanaojiuza na kuweza kupata wateja wa kununua ngono, nikatafakari ubakaji, kungonoka na wanyama au mwanaume mwenzako nimebaki nimechanganyikiwa na kujiuliza hivi ngono ni hitaji la muhimu kama ilivyo chakula ambapo mtu akikosa anaweza kufa? Ni tendo la lazima ambalo mtu hasa huyu mwanaume akilikosa hupungukiwa na kitu mwilini? Ama ni starehe? Au tendo la UPENDO
Nimeshindwa kuelewa, nimepatwa na msongo wa mawazo ghafla.
Hivi nisipokutana na boyfriend ama mume wangu kwa mwezi ama miezi what should I think?
Hivi nyie wanaume hamuwezi kuvumilia mpka mkanunue ngono kwa wauzaji?
 
Ngono ni moja ya mahitaji muhimu kama ilivyo clothing... yale yaliyotajwa manne kule shuleni waliacha mengine kama sex na kujisaidia. Ilo la kununua ni shida.. kwani usipo fanya sio kwamba utakufa ila kuna shida unapitia. Hao wajinsia moja ni shetani kashika mkondo. Wanunuzi ni wale mnao wakataa wakiwatongoza sasa wapataje hiyo huduma......inasemekana hii ndio huduma pekee ambayo billgates na pessa yake yote nabyule kachala wa kizuiani wanapata yhe same satisfaction. Acheni Mungu Aitwe Mungu.
 
ngono/tendo la ndoa ni hitaji la lazima... labda sema namna hilo hitaji linapatika ndo tatizo ila watu kungonoka wapo kwenye mahitaji yao muhimu kabisa
 
Kumbe wewe ni mwanamke?? Ndiyo maana umeuliza hili swali.
 
Ngono ni moja ya mahitaji muhimu kama ilivyo clothing... yale yaliyotajwa manne kule shuleni waliacha mengine kama sex na kujisaidia. Ilo la kununua ni shida.. kwani usipo fanya sio kwamba utakufa ila kuna shida unapitia. Hao wajinsia moja ni shetani kashika mkondo. Wanunuzi ni wale mnao wakataa wakiwatongoza sasa wapataje hiyo huduma......inasemekana hii ndio huduma pekee ambayo billgates na pessa yake yote nabyule kachala wa kizuiani wanapata yhe same satisfaction. Acheni Mungu Aitwe Mungu.

Tatizo ni neno lililotumiwa...Kwa hiyo ngono si jambo la kuendekeza.

Ila tendo la ndoa ni kitu muhimu sana katika maisha yetu ya kila siku ingwa siyo cha lazima. Mtu hawezi kufa kwa kukosa tendo la ndoa! Ila kuna matatizo makubwa anayapata...Watoto tu ndiyo hawajui umuhimu wake!
 
Asante kwa maelezo mazuri.
Hiyo ya the same satisfaction kati ya tajiri na maskini nimeipenda
 
ngono/tendo la ndoa ni hitaji la lazima... labda sema namna hilo hitaji linapatika ndo tatizo ila watu kungonoka wapo kwenye mahitaji yao muhimu kabisa

Kutimiza hitaji hili inakubidi ujitoe akili ama?
Unanunuaje ngono? Kwa limtu usilolijua?
 
Tatizo ni neno lililotumiwa...Kwa hiyo ngono si jambo la kuendekeza.

Ila tendo la ndoa ni kitu muhimu sana katika maisha yetu ya kila siku ingwa siyo cha lazima. Mtu hawezi kufa kwa kukosa tendo la ndoa! Ila kuna matatizo makubwa anayapata...Watoto tu ndiyo hawajui umuhimu wake!

Kuna matatizo makubwa?

Yapi hayo babu?
 
Ngono ni moja ya mahitaji muhimu kama ilivyo clothing... yale yaliyotajwa manne kule shuleni waliacha mengine kama sex na kujisaidia. Ilo la kununua ni shida.. kwani usipo fanya sio kwamba utakufa ila kuna shida unapitia. Hao wajinsia moja ni shetani kashika mkondo. Wanunuzi ni wale mnao wakataa wakiwatongoza sasa wapataje hiyo huduma......inasemekana hii ndio huduma pekee ambayo billgates na pessa yake yote nabyule kachala wa kizuiani wanapata yhe same satisfaction. Acheni Mungu Aitwe Mungu.

Natamani kujua hiyo shida mnayopitia?
 
jiulize kwanini watu huwa wanajinyonga kwa kusalitiwa?
 
Wanafunzi wanaosoma shule za jinsia moja boarding ndio wenye maelezo mazuri ya shida zitokanazo..... waulize watoto wa kibosho girls ama machame girls watakwambia... pia wale wa kill boys ama oldmoshi hawa wapo mjini sana wanaweza wasijue.. waulize wazee wa Kigonsera boys ama Kygo boy kama wanavyo jiita... watakuambia. Ile kitu ni kwereee ati mbureee..
 
Jifunze biology ya miili ya binadamu Kuna watu wana extra hormones zinazowapelekea kufanya ngono kutwa..wakikosa madanguro watabaka mitaani...ndo maana dunia nzima kuna madanguro na serikali zinajifanya hawaoni
 
Englishlady,

unashindwa kutofautishwa kati ya ngono kama biashara, na ngono nyingine zinazofanyikia katika mahusiano.

suala za mbagala zakhem ni suala ambalo watu wako makazini kama wewe unavyoamka na kwenda ofisini kwako vile.

tuachane na hilo,

tukija kwenye jamii ya kawaida, ngono ni uasherati, kidini... hivyo ni irrelevant na maagizo kutoka kwa aliye juu!

ngono inafanywa kabla ya ndoa, hivyo ni irrelevant kulingana na sheria ya ndoa!

usipofanya ngono kwa muda wa wiki nzima, hautokufa!-- hivyo ngono sio basic need!- sio hitaji la lazima!- proved scientifically!

ukifanya ngono, jamii inakuchukulia kama mtu ambae huna maadili, yani mtovu wa nidhamu- irrelevant na tamaduni!

nimejaribu kuonesha njia mbali mabali ambazo zinapingana na dhana ya kuwa ngono ni kitu cha lazima.. ahsante
 
Last edited by a moderator:
Unapoelekea utauliza na mastabeshen nayo ni hiyari??

Napta tu
 
Excel
Asante
Ila nazungumzia ngono kwa ujamla Wake hasa hawa wateja wa ngono kama biashara? Wanashida gani kichwani? Mpaka ufunge safari kwenda kwenye danguro na kusubiriana kwenye foleni.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom