Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,982
Unavyotoka lazma unakuwa makini sana na kivazi unachotupia juu.
Ndio. lazma ujipitishie kioo kuhakiki kama kivazi kimekaa vema au kinahitaji marekebisho, lazma uhakiki kama dizaini ya nguo, rangi na kila kitu zinaenda sawa na wewe.
Je kwa chupi unaipa umakini huohuo au unavaa tu unayoiona ipo hapo jirani hlf unasepa zako maana hakuna anayeiona zaidi ya wewe mwenyewe na mungu wako.