Hivi nguo ya ndani unaichukuliaje? Upo serious nayo au unavaa yoyote tu iliyo karibu?

Hivi nguo ya ndani unaichukuliaje? Upo serious nayo au unavaa yoyote tu iliyo karibu?

Nina boxer Za L K W (cotton) nyingi kabatini.

kabla ya kuivaa boxer lazima niipige pasi. Inanikaa fresh kiunoni kabla ya kutupia jeans....
 
Unavyotoka lazma unakuwa makini sana na kivazi unachotupia juu.

Ndio. lazma ujipitishie kioo kuhakiki kama kivazi kimekaa vema au kinahitaji marekebisho, lazma uhakiki kama dizaini ya nguo, rangi na kila kitu zinaenda sawa na wewe.

Je kwa chupi unaipa umakini huohuo au unavaa tu unayoiona ipo hapo jirani hlf unasepa zako maana hakuna anayeiona zaidi ya wewe mwenyewe na mungu wako.
Sasa inaitwa nguo ya ndani kwanini ujisumbue nani anayeiona na anayeiona inamsaidia nini?tuwe serious na mambo ya msingi nguo ya nje ndio ya kuzingatia ya ndani Wala usiangaike nayo inatakiwa kuwa safi tu ndio requirements basiiiia
 
Unavyotoka lazma unakuwa makini sana na kivazi unachotupia juu.

Ndio. lazma ujipitishie kioo kuhakiki kama kivazi kimekaa vema au kinahitaji marekebisho, lazma uhakiki kama dizaini ya nguo, rangi na kila kitu zinaenda sawa na wewe.

Je kwa chupi unaipa umakini huohuo au unavaa tu unayoiona ipo hapo jirani hlf unasepa zako maana hakuna anayeiona zaidi ya wewe mwenyewe na mungu wako.
Braza unavaa chupi....wewe ni Upinde bila shaka
 
Mkuu KWELI unakuta nguo ya ndani hasa za MTUMBA zna ramani ya uchafu MTU ana VC AA TU unapata magonjwa unaanza SUMBUA WATU jiulize TU niwangapi humu hufua nguo zao za ndani kwa maji ya moto
 
20250721_091834.jpg
 
Back
Top Bottom