Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,982
mkuu kwani ukiwa wa jinsia flan hauvai chu.pi au?We ni ke au me mbona unanitia mashaka sana.
mkuu jibu hoja au la kaa kimya.One man down! 🌈🌈🌈
mkuu kwani ukiwa wa jinsia flan ndo hauvai chu.pi au?Jinsi yako ?
Nauza 👙 za kisasa kama hii karibu boss wangumkuu jibu hoja au la kaa kimya.
Hiyo ilimwingiza mtu ikuluNauza 👙 za kisasa kama hii karibu boss wanguView attachment 3326686
Yupi huyoHiyo ilimwingiza mtu ikulu
Wanaume hawavai chupi mkuu.mkuu kwani ukiwa wa jinsia flan hauvai chu.pi au?
mkuu huvai chochote ndani hata boxa huvai au ndo tuseme unatembea uchi?Wanaume hawavai chupi mkuu.
Humu ndani uchoko ni mwingi sana, imagine jamaa anjiita Braza Kede ila anavaa chupi!!!Unavyotoka lazma unakuwa makini sana na kivazi unachotupia juu.
Ndio. lazma ujipitishie kioo kuhakiki kama kivazi kimekaa vema au kinahitaji marekebisho, lazma uhakiki kama dizaini ya nguo, rangi na kila kitu zinaenda sawa na wewe.
Je kwa chu.pi unaipa umakini huohuo au unavaa tu unayoiona ipo hapo jirani hlf unasepa zako maana hakuna anayeiona zaidi ya wewe mwenyewe na mungu wako.
Boxer sio chupimkuu huvai chochote ndani hata boxa huvai au ndo tuseme unatembea uchi?
Leo umevaa chupi ya rangi gani mkuu.mkuu kwani ukiwa wa jinsia flan hauvai chu.pi au?