KOLOKOLONI
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 2,476
- 2,371
Pale coco beach wanakabwa sana pale karibu na Falme za kiarabu Emmerate au lile eneo kupita Golden Tulip Kuna pori moja hatari sana ,Oysterbay yale maeneo nyuma ya Ubalozi wa kenya mpaka shule ya msingi Oysterbay kuna bodaboda hao noma wanakushukia kabisa wanakufuata na kisu Mkononi wanakupora wanawasha boda wanatembea .Yaani hapa Bongo Ukiona ulinzi ni Mkali zaidi ujue hilo eneo muda wowote linavamiwa .Wakabaji Bongo wapo kila eneo kama unabisha waulize hao wa madai na OysterbayWatu wa masaki hawawezi kuelewa haso au nasema uwongo viongozi?