Caesar14
JF-Expert Member
- Aug 10, 2022
- 556
- 1,044
Umenikumbusha kisa kimoja,mwanangu mmoja yeye akilewa ukimgusa bahati mbaya anaamsha siyo poa kisa anao mkanda mweusi.Kuna mwamba mmoja soweto Moshi aliamua kama baridi baridi kama moto moto ila sio vuguvugu, alizichapa ngumi mpaka wakasimama kuangaliana, wakaanza kuongea mwisho wa tukio wakaomba pesa ya bangi na jamaa akawapa 10,000 wakaondoka.
Baadae wakawa marafiki.
Siku moja akajichanganya kwa boda mmoja zilipigwa mbaya kabisa aligongwa mpaka aibu sasa hivi amekuwa kaacha uduanzi..