KOLOKOLONI
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 2,476
- 2,371
Pale coco beach wanakabwa sana pale karibu na Falme za kiarabu Emmerate au lile eneo kupita Golden Tulip Kuna pori moja hatari sana ,Oysterbay yale maeneo nyuma ya Ubalozi wa kenya mpaka shule ya msingi Oysterbay kuna bodaboda hao noma wanakushukia kabisa wanakufuata na kisu Mkononi wanakupora wanawasha boda wanatembea .Yaani hapa Bongo Ukiona ulinzi ni Mkali zaidi ujue hilo eneo muda wowote linavamiwa .Wakabaji Bongo wapo kila eneo kama unabisha waulize hao wa madai na OysterbayWatu wa masaki hawawezi kuelewa haso au nasema uwongo viongozi?
Pale coco beach wanakabwa sana pale karibu na Falme za kiarabu Emmerate au lile eneo kupita Golden Tulip Kuna pori moja hatari sana ,Oysterbay yale maeneo nyuma ya Ubalozi wa kenya mpaka shule ya msingi Oysterbay kuna bodaboda hao noma wanakushukia kabisa wanakufuata na kisu Mkononi wanakupora wanawasha boda wanatembea .Yaani hapa Bongo Ukiona ulinzi ni Mkali zaidi ujue hilo eneo muda wowote linavamiwa .Wakabaji Bongo wapo kila eneo kama unabisha waulize hao wa masaki na Oysterbay
wanatukaba sisi waja tunaoenda kwa miguu na bodaPale coco beach wanakabwa sana pale karibu na Falme za kiarabu Emmerate au lile eneo kupita Golden Tulip Kuna pori moja hatari sana ,Oysterbay yale maeneo nyuma ya Ubalozi wa kenya mpaka shule ya msingi Oysterbay kuna bodaboda hao noma wanakushukia kabisa wanakufuata na kisu Mkononi wanakupora wanawasha boda wanatembea .Yaani hapa Bongo Ukiona ulinzi ni Mkali zaidi ujue hilo eneo muda wowote linavamiwa .Wakabaji Bongo wapo kila eneo kama unabisha waulize hao wa madai na Oysterbay
Wewewe wazungu wanaburuzwa mule mpaka wnakuwa wekundu ingawa wanaishi kwenye appartment za mule mule masaki .Si unajua tena wazungu na misomi inavyopenda picha picha na utalii wa kutembea yaani mwamba wanakaba anawavua mpaka nguo kisha wanatembea zao .wanatukaba sisi waja tunaoenda kwa miguu na boda
wenye kwao wanakaaga mbele kule cliffside residence na mitaa ya Chole huko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16] aisee kila mtu ana mawazo yake humu sikupingi mkuuKama hawajakugusa makalio na hapo pengine katikati wala huna haja kupigana nao. Waachie wachukue kama ni simu, hela au chochote (material wise). Wajinga wanaweza kukuchoma bisibisi ukaoza utumbo sababu ya itel.
Kama wana mawazo ya kijinga na makalio yako basi pigana hadi jasho na damu vya mwisho kabisa vitoke
Inatagemea muonekano wako upoje co Km vimbaombao na wafupi wengine lolZali kama hizi natamani zinitokee lakini zinawatokea wengine. Kila siku usiku natembea maksudi keko magurmbasi, temeke mikoroshini, buza, mbagala yani napishana nao tu tunakodoleana macho yananipita kimoyomoyo nasema tu si walianzishe waniv.amia yani huo mkono ntakavoutembeza
Kama wapo zaidi ya kumi kimbia, ila kama wapo chini ya watu kumi watembezee kichapoHivi ni busara kupigana na vibaka kama watatu au zaidi kama wanataka kukuibia simu, hela n.k au bora uwaachie kama unajua umezidiwa?
Hili kwa wanaume hata kama unajua kupigana unafanyaje?
Mwaka kati ya mwaka 2011-12 kuna rafiki yangu alikua anatoka chuo kurudi nyumbani mida ya usiku, njiani akakutana na vibaka wakamwambia awape simu, katika harakati za kujibizana kibaka mmoja akamchoma bisibisi ya moyo, akafariki pale pale.Hivi ni busara kupigana na vibaka kama watatu au zaidi kama wanataka kukuibia simu, hela n.k au bora uwaachie kama unajua umezidiwa?
Hili kwa wanaume hata kama unajua kupigana unafanyaje?
Mimi huwa nacheza nao sana lakini huwa natazama Wana silaha gani mkononi, natizama stance zao yaani namna gani wanavyorusha ngumi au silaha huwa inanisaidia na kujua kuwa Hawa Wana mafunzo ya karatee au laa.
Nikisha jua hawana mafunzo huwa nawatembezea sana kipigo Cha mbwa mwitu yaani napiga mno.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Pokea msaada wa Wahenga huu,huenda ukakufaa...Hivi ni busara kupigana na vibaka kama watatu au zaidi kama wanataka kukuibia simu, hela n.k au bora uwaachie kama unajua umezidiwa?
Hili kwa wanaume hata kama unajua kupigana unafanyaje?
Kimesababishwa na nini..naomba mwenye elimu anifahamishe biologically.Kama rafiki yangu alikuwa mbishi walimpiga panga la Kichwa mpaka leo anakigugumizi hao jamaa sio watu wazuri.
NgoMimi huwa nacheza nao sana lakini huwa natazama Wana silaha gani mkononi, natizama stance zao yaani namna gani wanavyorusha ngumi au silaha huwa inanisaidia na kujua kuwa Hawa Wana mafunzo ya karatee au laa.
Nikisha jua hawana mafunzo huwa nawatembezea sana kipigo Cha mbwa mwitu yaani napiga mno.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mimi mwenyewe nasubiri jibu wataalamu watuelezee walimpiga kwenye kichwa karibia na shingo wakampasua chali.Kimesababishwa na nini..naomba mwenye elimu anifahamishe biologically.
hii ndo jeiefu niliyoizoea mimiMi mwenyewe silaa,naachaje kutembea na silaa hapa dar,na kupiga panga najua,nitapambana aisee ,mi siyo mnyonge kihivyo