Hivi ni busara kupigana na vibaka kama watatu au zaidi kama wanataka kukuibia simu, hela n.k?

Umenikumbusha kisa kimoja,mwanangu mmoja yeye akilewa ukimgusa bahati mbaya anaamsha siyo poa kisa anao mkanda mweusi.
Siku moja akajichanganya kwa boda mmoja zilipigwa mbaya kabisa aligongwa mpaka aibu sasa hivi amekuwa kaacha uduanzi..
 
Its not about knowing ur enemy...its about knowing urself😊😊.......kama una ngoz ya bullet proof basi pambana ila kama huna wape vibaka riziki ili kesho uendelee na mishe zako😩😩😩
 
Hivi ni busara kupigana na vibaka kama watatu au zaidi kama wanataka kukuibia simu, hela n.k au bora uwaachie kama unajua umezidiwa?

Hili kwa wanaume hata kama unajua kupigana unafanyaje?
Kama unawamudu ni busara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…