Hivi ni halali kumuadhibu mwanafunzi kwa kosa la mzazi?

Hivi ni halali kumuadhibu mwanafunzi kwa kosa la mzazi?

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,156
Reaction score
10,974
Yaani unakuta mwalimu anamuadhibu mwanafunzi na baridi hili kwa kosa la eti mimi mzazi nimeshindwa kuhudhuria kikao cha wazazi.

Ama mwanao anaadhibiwa kisa wewe umeshindwa kufuata taarifa ya Masomo ya mwanao (Report)

Ama aadhibiwe kwa kuwa hujatoa hela ya mchango wa ujenzi wa darasa.

Hivi hii ni haki kweli?
 
Yaani unakuta mwalimu anamuadhibu mwanafunzi na baridi hili kwa kosa la eti mimi mzazi nimeshindwa kuhudhuria kikao cha wazazi

Ama mwanao anaadhibiwa kisa wewe umeshindwa kufuata taarifa ya Masomo ya mwanao (Report)

Ama aadhibiwe kwa kuwa hujatoa hela ya mchango wa ujenzi wa darasa

Hivi hii ni haki kweli?
Walimu sometimes wanakuwa na tabia za ki$h3nz! sana
 
Back
Top Bottom