Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Walimu sometimes wanakuwa na tabia za ki$h3nz! sanaYaani unakuta mwalimu anamuadhibu mwanafunzi na baridi hili kwa kosa la eti mimi mzazi nimeshindwa kuhudhuria kikao cha wazazi
Ama mwanao anaadhibiwa kisa wewe umeshindwa kufuata taarifa ya Masomo ya mwanao (Report)
Ama aadhibiwe kwa kuwa hujatoa hela ya mchango wa ujenzi wa darasa
Hivi hii ni haki kweli?
Kutowasiliana na wewe haikupi justification ya kumuadhibu mtoto,Ungepungukiwa Nini kama ungewasiliana na mwalimu husika?