francis kibiki
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 477
- 516
WanaJF, nisaidieni kwa hili maana amekomalia apo tu. Nafikiria mbali sana lakini sina imani nae naweza nikawa nalipa hiyo kodi then wanavua chupi wengine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko n kulogwaHapo ukute wazazi wako hawajawahi onja hela yako kwa namna yoyote ile...
Wengine wakivua chupi we vua samaki ule bana.....wana jf nisaidieni kwa hili maana amekomalia apo tu....... Nafikilia mbali sana lakin sina imani nae naweza nikawa nalipa iyo kodi then wanavua chupi wengine
hahahahaHapo ukute wazazi wako hawajawahi onja hela yako kwa namna yoyote ile...
anakuwa binde kuniruusu niende kwakeWengine wakivua chupi we vua samaki ule bana.....
Wait, kwenye hilo geto lake huwa unaenda kulala? Kama unalala mpe hata nusu jameni mwambie ndio umepata, kama huwa hakuruhusu kwenda mwambie hauna kabisa.
wana jf nisaidieni kwa hili maana amekomalia apo tu....... Nafikilia mbali sana lakin sina imani nae naweza nikawa nalipa iyo kodi then wanavua chupi wengine
mkuu asa apo ntakuwa nimeoa sasaAcha uzuzu mwambie ahamie kwako,au mtoa mada unaishi nyumbani afu bado unalipishwa kodi na kademu.
Binde maana ake nini? Au umemaanisha mbinde? Kama ndio hivo bado haujawa wazi anaweza kuwa kwa mbinde ila anakupeleka na unalala fofofo kabisa boxer umetundika juu....kwenye hilo geto unalala?anakuwa binde kuniruusu niende kwake
Kupiga si unapiga pia au unachomeshwa mahindi?mkuu asa apo ntakuwa nimeoa sasa