Yaani mimi nikiwa na mchepuko, kitu cha kwanza kukubaliana ni pango, hata yote naweza kulipa kama nikipewa mamlaka ya kufika hapo bila kipingamizi.
Unaepuka garama za gest, imagine kama mnakutana mara 4 ndani ya mwezi, kila mkikutana kuna 25-30 ya chumba, mara 4 ni 100,000/-, hapo kuna issue za nauli (kifuta jasho), mnaweza kula au kunywa. Kwa hiyo kila mkutano gharama ni 60+ kwa mwezi 300+ imeondoka.
Wakati nikilipa chumba, siku ya kuja nabeba pombe tu, msosi tutapika home. Hapo nakuwa nimekwepa gharama kibao.