Hivi ni halali kweli kumlipia girlfriend wako kodi wakati bado hujamuoa na kazi anayo?

Hivi ni halali kweli kumlipia girlfriend wako kodi wakati bado hujamuoa na kazi anayo?

hao ndio walivyo hawaridhikagi na pesa wewe ni danga la kumpangishia,lazima kuna danga la msosi,danga la saloon na danga la kumtoa out sasa wewe zubaa tu
 
Ukimlipia kodi,una nafasi kubwa ya kwenda muda wowote unaotaka na pia ni ishara ya kumiliki;lipa kodi na endelea kula tunda na ikiwezekana wewe ndio umpangishe kwa jina lako.
 
WanaJF, nisaidieni kwa hili maana amekomalia apo tu. Nafikiria mbali sana lakini sina imani nae naweza nikawa nalipa hiyo kodi then wanavua chupi wengine
We lipa tu si ukitaka unapata hata kama kawapa wengine kizuri kula na wenzio
 
WanaJF, nisaidieni kwa hili maana amekomalia apo tu. Nafikiria mbali sana lakini sina imani nae naweza nikawa nalipa hiyo kodi then wanavua chupi wengine
Kama na wewe umeishamkula humo, lipia hela ya "lodge".
Vinginevyo amua tu kumsaidia kama anavyokusaidia ukiwa na genye.
Hakuna free lunch Dunia hii.
 
Ukiyafikiria hayo, saa hii hata wewe ungekua hujazaliwa...

Kama unamlipia wewe lipa, kama roho haitaki acha...

Cc: mahondaw
 
WanaJF, nisaidieni kwa hili maana amekomalia apo tu. Nafikiria mbali sana lakini sina imani nae naweza nikawa nalipa hiyo kodi then wanavua chupi wengine
doh mi ninamlipia binti mmoja hivi kwa zaidi ya miaka 2 ila naona siku izi mashauzi kama yamezidi namsubiri tu najua kodi inaisha mwez wa saba apo ndo atajua cha mtema kuni
 
Back
Top Bottom