Haaa shida sana!!!Wengine wakivua chupi we vua samaki ule bana.....
Wait, kwenye hilo geto lake huwa unaenda kulala? Kama unalala mpe hata nusu jameni mwambie ndio umepata, kama huwa hakuruhusu kwenda mwambie hauna kabisa.
Mwambie alipe nusu na mimi nitamalizia nusu iliyo baki!!Msaidie kidogo na siyo kubeba yote. Kwani kabla yako alikuwa anafanyaje? Muachie kidogo nae alipe japo anaweza akatafuta sponsor mwingine aimalizie
Haaa shida sana!!!
Amigo naomba unichangie robo tu ntakukaribisha kunywa majiAfate huo ushauri wa Evelyn Salt, unalipia pango mahali ambapo una mamlaka napo.
Tena anakupa na funguo kabisa ili uwe unaenda muda wowote unaotaka. Otherwise mwambie huna.
Amigo naomba unichangie robo tu ntakukaribisha kunywa maji
Perfect gentleman...Yaani mimi nikiwa na mchepuko, kitu cha kwanza kukubaliana ni pango, hata yote naweza kulipa kama nikipewa mamlaka ya kufika hapo bila kipingamizi.
Unaepuka garama za gest, imagine kama mnakutana mara 4 ndani ya mwezi, kila mkikutana kuna 25-30 ya chumba, mara 4 ni 100,000/-, hapo kuna issue za nauli (kifuta jasho), mnaweza kula au kunywa. Kwa hiyo kila mkutano gharama ni 60+ kwa mwezi 300+ imeondoka.
Wakati nikilipa chumba, siku ya kuja nabeba pombe tu, msosi tutapika home. Hapo nakuwa nimekwepa gharama kibao.
Perfect gentleman...
mkuu nina malengo naye mazuri tu lakin yeye hanichukuliii kiivo ananidanga tu huyuMkuu nakushauri kiutu uzima, kama una malengo nahuyo demu mlipie wala usiwaze marambili ila kama huna malengonae unataka kujifurahisha tuu usimlipie, kwanini upoteze garama kubwa kwamtu ambae huna malengonae???????
maitaji madogo madogo kama huwa natimiza ila apo kwenye kodi ndo naona mapicha picha tuUsilipie, mtumie vocha tu na matumizi mengine
hahahahahNi halali.
kweli mkuuHahahaha jiulize Ana deserve? Kama Ana deserve mlipie nusu na nusu alipe mwenyewe...
Mi binafsi kodi namlipia nusu ila narudia tena ILA anastahili hiyo pesa coz tumetoka nae mbali sana na nimempima kwenye vipimo vya ISO naona kabisa Ni haki yake.Ameshawishi moyo na akili yangu kwa kiwango flani kikubwa tu.
Kwanini silipi kodi yote sababu najua mshahara wake sio mdogo kiasi Cha kushindwa kupata hiyo nusu ya Kodi sitaki kudekezana coz nina malengo nae.
Kama una date na kimeo na moyo na akili zinaona Ni kimeo usifanye huo ungese,not worth investing[emoji4][emoji4]
hahahahYaani mimi nikiwa na mchepuko, kitu cha kwanza kukubaliana ni pango, hata yote naweza kulipa kama nikipewa mamlaka ya kufika hapo bila kipingamizi.
Unaepuka garama za gest, imagine kama mnakutana mara 4 ndani ya mwezi, kila mkikutana kuna 25-30 ya chumba, mara 4 ni 100,000/-, hapo kuna issue za nauli (kifuta jasho), mnaweza kula au kunywa. Kwa hiyo kila mkutano gharama ni 60+ kwa mwezi 300+ imeondoka.
Wakati nikilipa chumba, siku ya kuja nabeba pombe tu, msosi tutapika home. Hapo nakuwa nimekwepa gharama kibao.
hhahahahhPapuchi isikuume lipa kodi mambo mengine yaende kwenye mtandao papuchi ina gharama zake