Hivi ni halali Simba kufurahia kipigo cha leo?

Naona nkana wamesahau Moja ya chawa wao Huku tz
 
Dua la kuku
 
Reactions: Tui
Sijui huu ujasiri mnaupata wapi
 
Reactions: Tui
Nafikiri jana umeelewa ni kwanini walikua wanashangilia
 
Reactions: Tui
Baada ya simba kupata gori moja na mpira kuisha mashabiki wa Simba walifurah sana swali hv Nkana wanawaaonaje kwamba itakuwa rahsi kuwafunga mechi ya marudiano
Ninyi huwa ni wagumu Sana kuelewa, hauna tofauti na kenge kusikia kwake ni mpaka apigwe damu itokee,

SASA umeelewa kwanini Simba walishangilia??
 
Reactions: Tui
Ninyi huwa ni wagumu Sana kuelewa, hauna tofauti na kenge kusikia kwake ni mpaka apigwe damu itokee,

SASA umeelewa kwanini Simba walishangilia??
Mkuu kweli jina la kenge linawafaa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…