Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Tena kwa beki ya wawa na kipa pazia๐๐๐๐๐๐๐Lugha ya kuwapiga kama Mbabane imepotea ghafla. Nkana hawawezi kutoka kwa Mchina bila goli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena kwa beki ya wawa na kipa pazia๐๐๐๐๐๐๐Lugha ya kuwapiga kama Mbabane imepotea ghafla. Nkana hawawezi kutoka kwa Mchina bila goli.
Nd, Aden Rage alishasema hawa jamaa ni Mbumbumbu, .....Baada ya simba kupata gori moja na mpira kuisha mashabiki wa Simba walifurah sana swali hv Nkana wanawaaonaje kwamba itakuwa rahsi kuwafunga mechi ya marudiano
Rage aliwagundua mapema sana mkuuNd, Aden Rage alishasema hawa jamaa ni Mbumbumbu, .....
cc: Ndumbula Ndema, WAKO WAPI WATU WAKO, Kalolelo, muokotamatunda, Che mittoga, cariha, bbc, kurlzawaVipi mkuu, sasa somo limeshaingia, au bado unahitaji maelezo zaidi
Naona nkana wamesahau Moja ya chawa wao Huku tzKama mitishamba inafanyakazi kwenye mpira basi Simba wafanye hivyo, bila kupepesa maneno Siioni simba ikipata sare pale Taifa kwenye uwanja mzuri na mkubwa kama ule. Tuombe Mungu simba wasipigwe 3 au 4. Ila katika hali ya kawaida kabisa bila ushabiki Simba atafungwa.
Dua la kukuKama mitishamba inafanyakazi kwenye mpira basi Simba wafanye hivyo, bila kupepesa maneno Siioni simba ikipata sare pale Taifa kwenye uwanja mzuri na mkubwa kama ule. Tuombe Mungu simba wasipigwe 3 au 4. Ila katika hali ya kawaida kabisa bila ushabiki Simba atafungwa.
Hajielewi huyoNaona nkana wamesahau Moja ya chawa wao Huku tz
Sijui huu ujasiri mnaupata wapiKama mitishamba inafanyakazi kwenye mpira basi Simba wafanye hivyo, bila kupepesa maneno Siioni simba ikipata sare pale Taifa kwenye uwanja mzuri na mkubwa kama ule. Tuombe Mungu simba wasipigwe 3 au 4. Ila katika hali ya kawaida kabisa bila ushabiki Simba atafungwa.
TeteteteteteLugha ya kuwapiga kama Mbabane imepotea ghafla. Nkana hawawezi kutoka kwa Mchina bila goli.
Kweli au uongo?Tetetetetete
Kweli au uongo?
Wamebaki CAF ConfederationWametoka wamebaki??
Mkuu vyura wamepagawa. Simba ni habari nyingine.Wametoka wamebaki??
Walikuwa wanacheza wabaki CAF confederation au club champion league??(madhumuni Yao)Wamebaki CAF Confederation
Jibu ni dhahiri kwa swali dhahiri.Walikuwa wanacheza wabaki CAF confederation au club champion league??(madhumuni Yao)
Ninyi huwa ni wagumu Sana kuelewa, hauna tofauti na kenge kusikia kwake ni mpaka apigwe damu itokee,Baada ya simba kupata gori moja na mpira kuisha mashabiki wa Simba walifurah sana swali hv Nkana wanawaaonaje kwamba itakuwa rahsi kuwafunga mechi ya marudiano
Mkuu kweli jina la kenge linawafaa sana.Ninyi huwa ni wagumu Sana kuelewa, hauna tofauti na kenge kusikia kwake ni mpaka apigwe damu itokee,
SASA umeelewa kwanini Simba walishangilia??