Hivi ni halali Simba kufurahia kipigo cha leo?

Lugha ya kuwapiga kama Mbabane imepotea ghafla. Nkana hawawezi kutoka kwa Mchina bila goli.
Tena kwa beki ya wawa na kipa pazia๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Kama mitishamba inafanyakazi kwenye mpira basi Simba wafanye hivyo, bila kupepesa maneno Siioni simba ikipata sare pale Taifa kwenye uwanja mzuri na mkubwa kama ule. Tuombe Mungu simba wasipigwe 3 au 4. Ila katika hali ya kawaida kabisa bila ushabiki Simba atafungwa.
Naona nkana wamesahau Moja ya chawa wao Huku tz
 
Kama mitishamba inafanyakazi kwenye mpira basi Simba wafanye hivyo, bila kupepesa maneno Siioni simba ikipata sare pale Taifa kwenye uwanja mzuri na mkubwa kama ule. Tuombe Mungu simba wasipigwe 3 au 4. Ila katika hali ya kawaida kabisa bila ushabiki Simba atafungwa.
Dua la kuku
 
  • Thanks
Reactions: Tui

Sijui huu ujasiri mnaupata wapi
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Nafikiri jana umeelewa ni kwanini walikua wanashangilia
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Baada ya simba kupata gori moja na mpira kuisha mashabiki wa Simba walifurah sana swali hv Nkana wanawaaonaje kwamba itakuwa rahsi kuwafunga mechi ya marudiano
Ninyi huwa ni wagumu Sana kuelewa, hauna tofauti na kenge kusikia kwake ni mpaka apigwe damu itokee,

SASA umeelewa kwanini Simba walishangilia??
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Ninyi huwa ni wagumu Sana kuelewa, hauna tofauti na kenge kusikia kwake ni mpaka apigwe damu itokee,

SASA umeelewa kwanini Simba walishangilia??
Mkuu kweli jina la kenge linawafaa sana.
 
Back
Top Bottom