Hivi ni hapa Dar tu ndio jua linapiga kiasi hiki au ni Tanzania nzima?

Niitikie ndio "nimenuna" ili useme wanaume hawanuni?

Niko na hasira na kinyongo tu inatosha😅
Hahahaha huwa mnanuna sana na mashavu yaliyotuna mithili ya mpuliza moto wa kuni zilizonyeshewa mvua
Hasira na vinyongo kwa mwanaume havikufai
Ukunjue moyo wako maisha ni haya haya usiyachukulie serious kiasi hicho
 
Nimekunjua roho mama ,
umeshinda🙌😅
 
Litakuja Pozwa na Tsunami au El nino!!
 
Hatimaye nafaidi upandaji miti mingi kwenye makazi. Joto halizidi nyuzi 24 centigrade .Wastani Zanzibar ni 28 hadi 32 centigrade.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…