Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nyoo
Shida inaanzia hapo, kinakulimit baadhi ya nguo. Fanya mazoezi basi, tukionana uwe fit eeh. Maana napenda mtu anayevaa tshirt😂😂kitambi ni kibaya sana,kuna wakati kilinianzaga nikawa sivai tshirts🤣
😂nilishangaa sana afu walimvizia bibi wa watu usiku, hapo itakuwa kuna jambo kabisa sio bureHahahaa hao watoto mbona hawana adabu! Au kuna namna hapo🤔
Fursa, ushindwe wewe tu leo[emoji23][emoji23]sawa mkuu ngoja nizame PM, maana kanipa like si chini ya 50 leo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
usihofu kabisa honey, nakuhakikishia tukionana utanifungulia Uzi humu 🥰Shida inaanzia hapo, kinakulimit baadhi ya nguo. Fanya mazoezi basi, tukionana uwe fit eeh. Maana napenda mtu anayevaa tshirt😂😂
Lazima bana, maana sio kitu cha kawaida. Hao vijana wajiandae kwa tukio litakalowapata bibi akiamua kutake action😂nilishangaa sana afu walimvizia bibi wa watu usiku, hapo itakuwa kuna jambo kabisa sio bure
yani fursa zaja kama zote ila nimegundua huwa nakosa fursa sababu ya kushinda jukwaa la siasa na jukwaa la Historia😁Fursa, ushindwe wewe tu leo
hahaha kabisa afu wamemuumiza bibi wa watu saivi amelazwa maana vijana watatu sio mchezoLazima bana, maana sio kitu cha kawaida. Hao vijana wajiandae kwa tukio litakalowapata bibi akiamua kutake action
Aaww na venye sijawah kufungua uzi, naomba ufanye namna hadi uzi wangu wa kwanza huku JF uwe ni kuhusu wewe😍😍usihofu kabisa honey, nakuhakikishia tukionana utanifungulia Uzi humu 🥰
Ndo ubadilike sasa, huku ndo kwenye fursa et😂😂yani fursa zaja kama zote ila nimegundua huwa nakosa fursa sababu ya kushinda jukwaa la siasa na jukwaa la Historia😁
Maskin bibi wa watu, wakikamatwa hao vijana miaka 30 iwahusu.hahaha kabisa afu wamemuumiza bibi wa watu saivi amelazwa maana vijana watatu sio mchezo
Kiasi ila sio cha kutishia..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanatuzoom tu wanasema "hiiiii"[emoji23][emoji23] kwakweli mwenyew natamani sana nitoe ya moyoni ila wahusika nawaona kabisa wanazoom uzi... Basi naishia kucheka tu mwenyew
Hi guys,
Nimekumbuka hii ujinga Leo nikaishia kucheka.! Kuna wale watu huwa wanakuja PM kwa mbwembwe kibao, mrembo mrembo nyingi mara mtoto mzuri, (wanadanganyika na avatar obviously) lakini vile huja kupotea ndo wanashangaza na jukwaani unawaona unaishia tu kucheka hiiii'...!!
Huyu wa kwanza alikuja mbwembwe kibao, akauliza umri nikajibu 41, hajawahi kurudi na hata hiyo PM hakujibu, akajionea tu hii kikongwe nimetokana nayo wapi? akatoka ndukii akaniachia mpaka vumbi walaqhi'..!!
Huyu mwingine naye kaja na mbwembwe kama ngombea wa uenyekiti wa Vicoba, akataka kujua nipo wapi, nikamtajia kijiji ambacho hakipo hata kwenye ramani ya Tanzania, akajibu tu 'I thought upo dar nikutafute, nice day', akanipotezea mazima, nikaona ile namna wa mikoani hutengwa waziwazi, hahaa.!!
Huyu mwingine naye eti akaniongelesha busara siku mbili tatu,story za hapa na pale, baadaye akataka kujua nafanya kazi gani, nikamjibu mkulima, I swear mpaka Leo akanipotezea na ile PM hakujibu na huku jukwaani tunakutana zetu kiroho safi,
Hivyo kila nikionaga ID ya miminimkulimaakachekasana naishiaga tu kucheka, huwa natamani iwe 'miminimkulimaetiakanichunia'..!
Hivii huwa mnakutana nahizi sarakasi ama hizi ni kwa ajili yetu tu sisi wabarikiwa?
#nohardfeelings# tupunguze tu stress za corona,
Stay safe guys..!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee kumbe na wewe ni mtoto mzuri, endelea hivyo hivyo usiniige mie dadaako.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi siwezi kumjibu mtu vibaya
Huwa najaribu tu kwenda na mtu kwa jinsi alivyo..baadaye mwenyewe anachoka tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni yule nduguyo mmoja tu ndio niiwahi kumjibu vibaya na nilimuomba msamaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee kumbe na wewe ni mtoto mzuri, endelea hivyo hivyo usiniige mie dadaako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe nakuaminia shosti, kwenye majibu haujawahi niangusha.Mie juzi nimekutana na PM
Yeye:Mambo vp,unatafuta mwanaume?
Mimi:Nioneshe sehemu niliyoandika natafuta nwanaume
Sijui kapotelea wapi
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] khaa yule alistahili kwa kweliNi yule nduguyo mmoja tu ndio niiwahi kumjibu vibaya na nilimuomba msamaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapenda kuimba nyimbo za Aina gani?Kiasi ila sio cha kutishia..