Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Keep up the spirit my dear Paula, I admire you for that and you know it.Mimi huwa najibu ukweli wangu, sidanganyi wala simjibu mtu vibaya ILA sijibu kila PM.
Kuepuka kutoa hayo majibu ya makali au ya uongo huwa nachagua kutokujibu kabisa.