Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Wivu umeanza lini lakiniUmeanza kuchepuka ee..??
Lol, binadamu hatupo sawa kimawazo/kimtazamo. Kutokufanya kitu wengi wanachokifanya haimaanishi mimi ni mshamba au kufanya kitu wengi wanachokifanya hapanifanyi kuwa mjanja.Saa mbona uko tofauti na wenzako, Hujioni We ni Bonge la mshambaa
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38](joke)
@saint anne naomba hili liwe swali la mwisho. Utamkimbiza huyu jamaaMkuu nafanyiwa utafutaji leo mpaka nitakoma[emoji23][emoji23]
Nitapatikana tu
Sizifagilii ila ikiimbwa nyimbo nzuri biti kali na mpangilio murua nitaupenda!..
Nilipopewa ruhusa ya kukuchukua..Wivu umeanza lini lakini
Hahaha anakimbia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bado sijamaliza kuongea naye
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa huu ni mwanzo tu mbona, utafrahi mwenyew[emoji39][emoji39]
Pambana ya hela yoooteSizifagilii ila ikiimbwa nyimbo nzuri biti kali na mpangilio murua nitaupenda!..
Sababu ya nguvu sina unanionea bure[emoji41][emoji23]
Perfect answer😍Lol, binadamu hatupo sawa kimawazo/kimtazamo. Kutokufanya kitu wengi wanachokifanya haimaanishi mimi ni mshamba au kufanya kitu wengi wanachokifanya hapanifanyi kuwa mjanja.
Utani nimeupokea Next Man.
Kuna lile lingne pia watu wanaweka matangazo yao kabisa ya kutafuta, we unafanya kupick tu mwenye vigezo utakavyopendezwa navyo.
Lile limerahisisha mambo vzuri
Heshima yako mkubwa Monk.!
Wewe ni kati ya watu naheshimu sana michango yao ya busara humu ndani.!!
finally, nimetoa ya moyoni.!
Karibu baby dady😍
Basi nataka nikupe kazi ya kukitumia kipaji chakoSizifagilii ila ikiimbwa nyimbo nzuri biti kali na mpangilio murua nitaupenda!..
Sababu ya nguvu sina unanionea bure[emoji41][emoji23]
Mkuu natafutiwa visa na mikasa!
Izi pointi tatu kabisani watoro[emoji1787],mimi katika vitu nimeshindwa kwenye maisha ni kumkurupukia mwanamke,na nimegundua sisi tunao balance shobo huwa mnatukubali, mnatoa namba wenyewe
Karibu baby dady[emoji7]
Kazi hiyo kazi gani..?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]@saint anne naomba hili liwe swali la mwisho. Utamkimbiza huyu jamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu natafutiwa visa na mikasa!
Itakuwa nipo mikononi mwa nunda kama kitabu cha ben mtobwa[emoji23][emoji23]