Hivi ni jibu gani uliwahi mpa mtu PM akakuchunia mazima?

Hivi ni jibu gani uliwahi mpa mtu PM akakuchunia mazima?

Saa mbona uko tofauti na wenzako, Hujioni We ni Bonge la mshambaa
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38](joke)
Lol, binadamu hatupo sawa kimawazo/kimtazamo. Kutokufanya kitu wengi wanachokifanya haimaanishi mimi ni mshamba au kufanya kitu wengi wanachokifanya hapanifanyi kuwa mjanja.
Utani nimeupokea Next Man.
 
Heshima yako mkubwa Monk.!
Wewe ni kati ya watu naheshimu sana michango yao ya busara humu ndani.!!

finally, nimetoa ya moyoni.!

Oh! Hii imenifariji mno japo JF naichukulia sehem ya burudani na kupunguza stress.

Sijawahi fikiria kwamba michango yangu inaonekana hivyo kuwa ya busara na inathaminiwa.

Shukrani kwa kujali na kuthamini.

Uwe na wakati mwema.
 
Back
Top Bottom