Just be you mkuu na usinikimbie hata niwe na miaka 63, hivyo tu.!Hahah Unajua pia navyokukubali!!
Itabidi sasa Unifundishe do &donts za masuala ya pm
Sent using Jamii Forums mobile app
Am just a genuine Guy thats all I know!!!Just be you mkuu na usinikimbie hata niwe na miaka 63, hivyo tu.!
Hahaha..!
Walaqhi mdogo wangu niliandika kimalkia pekee sikumix na kitu oote.!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] halafu hata mie id za hivyo huwa nina wasiwasi nazo sana
Atapita hapa atapata huu ujumbeHahhahahaaa..!!
Nimecheka kwa sauti jamani.!! Mwambie unatafuta pesa tu mjini hapa..!!
HahahahahUle usemi usemao nyani mzee amepigwa mishale mingi [emoji86][emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawatonyamaza imagine, watakuja hapa wakilia lia Nuhu awafungulie safina.!
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] imefanyajeHaha,
One thing about you,
'akili yako tu'..!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duuh halafu kweli, uwiii sipatii picha ukigundua itakuwaje aisee. Hivi ukigundua hivyo utafanyaje ??Unaweza kujikuta umemkataa troublemaker akakujuia na ile ID yake nyingine ya Asprin akakupata
JF ina mambo mengi sana
Itabidi niwe mpole ,nikubali tu nimepatikana 😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duuh halafu kweli, uwiii sipatii picha ukigundua itakuwaje aisee. Hivi ukigundua hivyo utafanyaje ??
Daah yaani mimi sijui ningeweka wapi sura yangu, halafu unakuta alivyokutafuta mara ya kwanza ulimjibu vibaya mixer matusi kama yote halafu huku kwa id nyingine ukawa mdogo kama piriton.Itabidi niwe mpole ,nikubali tu nimepatikana [emoji28]
ImeshanikutaUnaweza kujikuta umemkataa troublemaker akakujuia na ile ID yake nyingine ya Asprin akakupata
JF ina mambo mengi sana
Imeshanikuta
Daah yaani mimi sijui ningeweka wapi sura yangu, halafu unakuta alivyokutafuta mara ya kwanza ulimjibu vibaya mixer matusi kama yote halafu huku kwa id nyingine ukawa mdogo kama piriton.
Hahaha nilikonecti tu dots nilivyomuuliza wala hakukataa akanithibitishia no kweli[emoji23][emoji23][emoji23] watu wana makusudi dunia hii. Hatukuwa na uhusiano wa kimapenzi thoughUlijuaje?alikwambia umemkataa kwa ID yake nyingine?
Hakuna jibu la kunikatisha matumaini. Nikitaka kukupata lazima nikutafute kwa udi na uvumbaHi guys,
Nimekumbuka hii ujinga Leo nikaishia kucheka.! Kuna wale watu huwa wanakuja PM kwa mbwembwe kibao, mrembo mrembo nyingi mara mtoto mzuri, (wanadanganyika na avatar obviously) lakini vile huja kupotea ndo wanashangaza na jukwaani unawaona unaishia tu kucheka hiiii'...!!
Huyu wa kwanza alikuja mbwembwe kibao, akauliza umri nikajibu 41, hajawahi kurudi na hata hiyo PM hakujibu, akajionea tu hii kikongwe nimetokana nayo wapi? akatoka ndukii akaniachia mpaka vumbi walaqhi'..!!
Huyu mwingine naye kaja na mbwembwe kama ngombea wa uenyekiti wa Vicoba, akataka kujua nipo wapi, nikamtajia kijiji ambacho hakipo hata kwenye ramani ya Tanzania, akajibu tu 'I thought upo dar nikutafute, nice day', akanipotezea mazima, nikaona ile namna wa mikoani hutengwa waziwazi, hahaa.!!
Huyu mwingine naye eti akaniongelesha busara siku mbili tatu,story za hapa na pale, baadaye akataka kujua nafanya kazi gani, nikamjibu mkulima, I swear mpaka Leo akanipotezea na ile PM hakujibu na huku jukwaani tunakutana zetu kiroho safi,
Hivyo kila nikionaga ID ya miminimkulimaakachekasana naishiaga tu kucheka, huwa natamani iwe 'miminimkulimaetiakanichunia'..!
Hivii huwa mnakutana nahizi sarakasi ama hizi ni kwa ajili yetu tu sisi wabarikiwa?
#nohardfeelings# tupunguze tu stress za corona,
Stay safe guys..!!
Kulwa.Unaweza kujikuta umemkataa troublemaker akakujuia na ile ID yake nyingine ya Asprin akakupata
JF ina mambo mengi sana