Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Pitia
Ukimaliza naomba nikuPM kitu
Njoo, nakusubiri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pitia
Ukimaliza naomba nikuPM kitu
Sasa mkuu heb washauri wafanyaje maan wakiondoka mnawasema wakibaki mnawasema [emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hiyo nimejifanya nimebadili ID na avatar kabisa nikaanzisha zangu thread,Kuna watu ni private investigators..wanasense hadi muandiko so wewe jiachie kumbe washakujua kitambo ni nani.. wanajua hadi unafanya kazi ofisi gani na uzi ukishawekwa ndo utawajua kwa michango yao
Siku hiyo nimejifanya nimebadili ID na avatar kabisa nikaanzisha zangu thread,
Nikashangaa wakasema huyu si fulani huyu, tena wako busy kabisa wananifahamu vizuri, eti wamefahamu kupitia mwandiko, nilicheka.!
Kichwa Kichafu ulisema nirudi shule utanilipia ada, mbona kimya.??[emoji725]
Hahahhaaa..!
Unanicheka hadii wewe?? Unathubutuje??
Unatembea tu kwa imani na kumtangulia roho mtakatifu, unaweza kubahatika.!!Katika ya social network ukitongoza ukapata demu wa ajabu ni hii ivi vicoments vinawapagawisha mafal.... Sura huoni, shepu huoni, japo baadhii yao angalau tumeona nusu inakupa go ahead,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Lucas MobutuWewe na mdogo wangu Lenie mahari mnaleta lini sasa.??